Mkuu Mushi1,
Punguza jaziba mkuu, huyu balali awe amekufa au yuko hai kwa sasa liko nje ya control yetu lakini tunaweza kutumia plan B iwapo tutatulia na kuangalia clue kwani naamini kabisa kama hakufa wametudanya tutajua, kwani lazima tutapata clue inayoonyesha hivyo, kama alikufa tutajua tu mimi naamini kuwa watanzania wote sio wajinga kiasi ambacho serikali inafikiri.
Membe katoka kusema kuwa serikali isituishwe mzigo wa kifo cha balali, lakini hakuna jinsi ya kuacha kuioji serikali kwani tangia alipoondoka wao walionyesha kujiusisha zaidi kwa kulipa bili ya hospitali isiyojulikana ndo maana wananchi wanataka kujua kutoka serikalini.
Mimi naomba tuunmgane badala ya kubishana, mtu akipata data atuwekee hapa kwani naamini kabisa kuna clue walizosahau, vitu vya aina hii havikosagi clue lazima tutaipata na serikali itajikuta haina cha kuwaeleza wananchi ukweli utakapo julikana.
Tusidharau hata kidogto mawazo ya wenzetu na kuwaacuse kuwa wamenunuliwa na CCM kwani kila mtu ana mawazo tofauti, kuna watu wanaoamini kuwa mpaka sasa balali hajafa na kuna wanaoamini kafa wote wako sawa till ushaidi wa kuwa amekufa au hakufa umepatikana.