Jasusi,
Kama unaweza nisaidie kujibu swali langu, je Balali kafia kwenye hospitali gani? Kama alifia nyumbani ni hospitali gani ambayo ilithibitisha kifo chake.
Nafikiri ni swali rahisi na haliingii ndani kutaka kujua mgonjwa alikuwa anaumwa nini.
Mimi naamini kuwa iko siku Serikali itajiuzulu tu si kwahili la Balali ila kwa utumbo wa mambo yanayofanyika ndani yake, Watu wenye uchungu wa kuongoza na wenye Imani ya kweli kupeleka watu wake kwenye nchi ya Asali na Maziwa wamebakia kuwa Madereve teksi na vinyozi tu ila mbali kwasasa naanza kuwaona hapa JF !
Kazeni buti tuko Pamoja !
Rwabugiri, I think you've connected Major's dots -- the guy talk sense. Just imagine:Mjor umetutukana watanzania tusi baya sana kutuita marehemu, lakini kuna ukweli mwingi sana katika matusi yako. duu!
Mtanzania,
Katika mazingara ya kawaida jibu kwa swali lako lingekuwa rahisi sana. Lakini katika mazingara haya ambako asilimia 90 humu JF mnaamini tumekula njama za kumficha Balali hata nikikwambia ni hospitali gani aliyolazwa hautaniamini.
Hata nikikutajia hospitali yenyewe haitasaidia kwa sababu aliandikishwa kwa jina bandia baada ya magazeti ya Tanzania kuripoti kuwa serikali imetuma makachero kumtafuta. Kumbuka kuwa huyu ni mtu ambaye kuna baadhi ya watu wazito hawakutaka arudi Tanzania alive. Kauli hiyo ilisemwa na none other than RO himself alipokwenda kumwona Boston mwezi Desemba. Alisema haponi, na kama atapona asirudi nyumbani. Katika hali kama hiyo wewe ungekuwa ndugu yake marhemu ungefanyaje? Maelezo ya FMES ni 95% correct. Ana source nzuri sana. Ila ni kweli Ballali alifanyiwa operesheni Boston mwezi Septemba baada ya kushauriwa na daktari wake. Alipata nafuu akarejea Washington. Hali yake ilipozidi kuwa mbaya akapelekwa katika hospitali iliyo within walking distance kutoka nyumbani kwake.(hint)
Lakini namshangaa jamaa aliyegoogle Social Security kutafuta hati ya kifo cha marhemu. Daudi hajawahi kufanya kazi za Kimarekani. Kwa hiyo huwezi kupata rekodi yake kwenye social security agency. Kama mtu ana ubavu awasiliane na idara za serikali ya DC kutafuta hizo hati na si mambo ya ku-google kwenye internet.Lakini wanaotaka kuamini kuwa Daudi hajafa waendelee na imani hiyo maana naona kuna mmoja anaamini Yesu hakufa msalabani!
mzee aliweza vipi kulazwa kwa jina bandia katika hospitali za Marekani? Najua kwenye hoteli kuna sera za kuwaficha celebrities under assumed names.. lakini kwenye matibabu ni ngumu kidogo. Lakini kwa vile Marehemu keshatutoka sidhani kama kuna ubaya wa hata kutoa jina alilotumia kwani hakuna mtu yeyote anayeweza kumfanya lolote sasa.
Mtanzania,
Katika mazingara ya kawaida jibu kwa swali lako lingekuwa rahisi sana. Lakini katika mazingara haya ambako asilimia 90 humu JF mnaamini tumekula njama za kumficha Balali hata nikikwambia ni hospitali gani aliyolazwa hautaniamini.
Hata nikikutajia hospitali yenyewe haitasaidia kwa sababu aliandikishwa kwa jina bandia baada ya magazeti ya Tanzania kuripoti kuwa serikali imetuma makachero kumtafuta. Kumbuka kuwa huyu ni mtu ambaye kuna baadhi ya watu wazito hawakutaka arudi Tanzania alive. Kauli hiyo ilisemwa na none other than RO himself alipokwenda kumwona Boston mwezi Desemba. Alisema haponi, na kama atapona asirudi nyumbani. Katika hali kama hiyo wewe ungekuwa ndugu yake marhemu ungefanyaje? Maelezo ya FMES ni 95% correct. Ana source nzuri sana. Ila ni kweli Ballali alifanyiwa operesheni Boston mwezi Septemba baada ya kushauriwa na daktari wake. Alipata nafuu akarejea Washington. Hali yake ilipozidi kuwa mbaya akapelekwa katika hospitali iliyo within walking distance kutoka nyumbani kwake.(hint)
Lakini namshangaa jamaa aliyegoogle Social Security kutafuta hati ya kifo cha marhemu. Daudi hajawahi kufanya kazi za Kimarekani. Kwa hiyo huwezi kupata rekodi yake kwenye social security agency. Kama mtu ana ubavu awasiliane na idara za serikali ya DC kutafuta hizo hati na si mambo ya ku-google kwenye internet.Lakini wanaotaka kuamini kuwa Daudi hajafa waendelee na imani hiyo maana naona kuna mmoja anaamini Yesu hakufa msalabani!
Lakini alikuwa ana own property US...au alikuwa hailipii kodi hiyo property yake?
Nadhani hiyo deed ya property alishamkabidhi yule mke wake mama watoto.
Rwabugiri, I think you've connected Major's dots -- the guy talk sense. Just imagine:
- Prof. Ndulu alisema aliendelea kuwasiliana na Ballali kwa ushauri baada ya kuingia ofisini mwezi Januari.
- tukaambiwa Seriali ndio iliyokuwa inalipa matibabu ya Ballali kabla ugavana kutenguliwa
- tukaambiwa Balozi alimtembelea Ballali
- Serikali ikaripoti kuwa haijui alipolazwa wala alipo Ballali (nadhani Prof. Ndulu sio sehemu ya Serikali)
- wakazidi kujichanganya wengine kafia Boston, wengine DC hospitali, wengine nyumbani
- mara baada ya kufa BMW akaibuka na majibu ya dharau
- n. k.
Nadhani haya tu yanatosha Ndugu Major kutuita marehemu! Kama sie si marehemu iwaje mtu mzima aje hapa ambapo watu wanaeleza facts yeye anaanza kuleta habari za familia ya Anna Muganda?! Itatusaidia nini, au kwa kuwa anajua kuwa sisi ni marehemu? Lakini ole wao siku mwana wa mtu atapoamua kufufuka, wataisha wao na familia zao.
Maelezo ya FMES ni 95% correct. Ana source nzuri sana. Ila ni kweli Ballali alifanyiwa operesheni Boston mwezi Septemba baada ya kushauriwa na daktari wake. Alipata nafuu akarejea Washington. Hali yake ilipozidi kuwa mbaya akapelekwa katika hospitali iliyo within walking distance kutoka nyumbani kwake.(hint)
Lakini namshangaa jamaa aliyegoogle Social Security kutafuta hati ya kifo cha marhemu. Daudi hajawahi kufanya kazi za Kimarekani. Kwa hiyo huwezi kupata rekodi yake kwenye social security agency. Kama mtu ana ubavu awasiliane na idara za serikali ya DC kutafuta hizo hati na si mambo ya ku-google kwenye internet.Lakini wanaotaka kuamini kuwa Daudi hajafa waendelee na imani hiyo maana naona kuna mmoja anaamini Yesu hakufa msalabani!
SASA KWELI NIMEAMINI U ARE AN INFORMAL SPOKESMAN OF THE GOVERNMENT, BUT STILL TANZANIANS ARE NOT FOOLS TO BUY YOUR STORY. KUNA WALIKINI KATIKA STORY HII YA KIFO CHA BALALI. MAULANA WETU ATATUONYESHA NJIA. MUNGU IBARIKI TANZANIA.
Originally Posted by green29:
huu ni utata sana, unaweza kukuta hata MAREHEMU alihudhuria kwenye MSIBA/MAZISHI yake!
Mtanzania,
Katika mazingara ya kawaida jibu kwa swali lako lingekuwa rahisi sana. Lakini katika mazingara haya ambako asilimia 90 humu JF mnaamini tumekula njama za kumficha Balali hata nikikwambia ni hospitali gani aliyolazwa hautaniamini.
Hata nikikutajia hospitali yenyewe haitasaidia kwa sababu aliandikishwa kwa jina bandia baada ya magazeti ya Tanzania kuripoti kuwa serikali imetuma makachero kumtafuta. Kumbuka kuwa huyu ni mtu ambaye kuna baadhi ya watu wazito hawakutaka arudi Tanzania alive. Kauli hiyo ilisemwa na none other than RO himself alipokwenda kumwona Boston mwezi Desemba. Alisema haponi, na kama atapona asirudi nyumbani. Katika hali kama hiyo wewe ungekuwa ndugu yake marhemu ungefanyaje? Maelezo ya FMES ni 95% correct. Ana source nzuri sana. Ila ni kweli Ballali alifanyiwa operesheni Boston mwezi Septemba baada ya kushauriwa na daktari wake. Alipata nafuu akarejea Washington. Hali yake ilipozidi kuwa mbaya akapelekwa katika hospitali iliyo within walking distance kutoka nyumbani kwake.(hint)
Lakini namshangaa jamaa aliyegoogle Social Security kutafuta hati ya kifo cha marhemu. Daudi hajawahi kufanya kazi za Kimarekani. Kwa hiyo huwezi kupata rekodi yake kwenye social security agency. Kama mtu ana ubavu awasiliane na idara za serikali ya DC kutafuta hizo hati na si mambo ya ku-google kwenye internet.Lakini wanaotaka kuamini kuwa Daudi hajafa waendelee na imani hiyo maana naona kuna mmoja anaamini Yesu hakufa msalabani!
Jasusi;
Unaongea kwa mamlaka na kujiamani, lakini kama unajua lolote kuhusu agency za Serikali ya US na swala la privacy linavyo chukuliwa, basi usinge weza kusema mtu "awasiliane na idara za serikali ya DC" kutafuta info za mwenye Social Security Number. Hakuna idara ya Serikali inaweza kukupa info za mtu mwingine.
Pili, ili kuwa na social security profile na rekodi kuwepo idara ya Social Security, sio lazima uwe umefanya kazi Serikalini. Ingekuwa hivyo, basi Wamarekani wasiofanya kazi Serikalini wangekuwa hawapewi SSNumber.
Tatu, information za SSN za mtu zinaweza kupatikana mitandaoni informally, na ndio maana kuna tatizo la wizi wa identity Marekani, moja ya jinai inayoongezeka kuliko zote nyakati hizi za mapinduzi ya habari za elektronik.
Kwa hiyo mjomba, hili swala la upatikanaji wa social securiy information inaonekana hulijui jui vizuri, to say the least. Lete "dataz" kwenye eneo jingine, labda mambo ya "Nationa Insurance Number" za Uingereza , au "Social Insurance Number" za Canada na kwingineko ambapo unaweza "kutupeleka peleka" unavyo taka wale ambao hatujui lolote kuhusu viwanja hivyo. (And bear in mind, Google tunayo siku zote, kwa hiyo, chonde chonde hata huko kwenye "dataz" za viwanja vingine!)
Nadhani pia umejaribu kutugawa katika makundi ya "Wanaoamini kafa" na "Wasio amini kafa" wakati wengine tunatafuta tu habari bila kutetea tetea pande kishabiki. And, with such shattered credibility on your own info, labda bia umepoteza authority ya kutetea source za watu wengine as "95% correct!"
Mada hii imeniacha hoi kabisa na nitaendelea kuwa msomaji .Maana duh!!!