Kifo cha David Balali: Kauli mbalimbali toka kwa watanzania

Mimi naamini kuwa iko siku Serikali itajiuzulu tu si kwahili la Balali ila kwa utumbo wa mambo yanayofanyika ndani yake, Watu wenye uchungu wa kuongoza na wenye Imani ya kweli kupeleka watu wake kwenye nchi ya Asali na Maziwa wamebakia kuwa Madereve teksi na vinyozi tu ila mbali kwasasa naanza kuwaona hapa JF !
Kazeni buti tuko Pamoja !
 
Jasusi,

Kama unaweza nisaidie kujibu swali langu, je Balali kafia kwenye hospitali gani? Kama alifia nyumbani ni hospitali gani ambayo ilithibitisha kifo chake.

Nafikiri ni swali rahisi na haliingii ndani kutaka kujua mgonjwa alikuwa anaumwa nini.

Mtanzania,
Katika mazingara ya kawaida jibu kwa swali lako lingekuwa rahisi sana. Lakini katika mazingara haya ambako asilimia 90 humu JF mnaamini tumekula njama za kumficha Balali hata nikikwambia ni hospitali gani aliyolazwa hautaniamini.
Hata nikikutajia hospitali yenyewe haitasaidia kwa sababu aliandikishwa kwa jina bandia baada ya magazeti ya Tanzania kuripoti kuwa serikali imetuma makachero kumtafuta. Kumbuka kuwa huyu ni mtu ambaye kuna baadhi ya watu wazito hawakutaka arudi Tanzania alive. Kauli hiyo ilisemwa na none other than RO himself alipokwenda kumwona Boston mwezi Desemba. Alisema haponi, na kama atapona asirudi nyumbani. Katika hali kama hiyo wewe ungekuwa ndugu yake marhemu ungefanyaje? Maelezo ya FMES ni 95% correct. Ana source nzuri sana. Ila ni kweli Ballali alifanyiwa operesheni Boston mwezi Septemba baada ya kushauriwa na daktari wake. Alipata nafuu akarejea Washington. Hali yake ilipozidi kuwa mbaya akapelekwa katika hospitali iliyo within walking distance kutoka nyumbani kwake.(hint)
Lakini namshangaa jamaa aliyegoogle Social Security kutafuta hati ya kifo cha marhemu. Daudi hajawahi kufanya kazi za Kimarekani. Kwa hiyo huwezi kupata rekodi yake kwenye social security agency. Kama mtu ana ubavu awasiliane na idara za serikali ya DC kutafuta hizo hati na si mambo ya ku-google kwenye internet.Lakini wanaotaka kuamini kuwa Daudi hajafa waendelee na imani hiyo maana naona kuna mmoja anaamini Yesu hakufa msalabani!
 
Mimi naamini kuwa iko siku Serikali itajiuzulu tu si kwahili la Balali ila kwa utumbo wa mambo yanayofanyika ndani yake, Watu wenye uchungu wa kuongoza na wenye Imani ya kweli kupeleka watu wake kwenye nchi ya Asali na Maziwa wamebakia kuwa Madereve teksi na vinyozi tu ila mbali kwasasa naanza kuwaona hapa JF !
Kazeni buti tuko Pamoja !

hiyo imani yako itakuua maana umekuwa kama wale wagonjwa wa ukimwi wanaosali kwa mama lwakatare wakiamini kuwa iko siku watapona au kwa kakobe, au unataka kuwa kama wale waliotudanganya kuwa YESU angerudi mpaka wamekufa kwa kuzeeka babu yangu bibi yangu mama yangu na mimi pia naanza kuzeeka na hatuoni dalili zozote za kurudi kwa YESU sasa kama siyo mchanga wa macho nini,nijuavyo mimi ni kwamba imani ni mama mkuu wa umasikini.kitu pekee kitakachowaokoa hapo Watanzania ni kuanza kushikana mashati live na siyo imani KALAGABAHO
 
mzee aliweza vipi kulazwa kwa jina bandia katika hospitali za Marekani? Najua kwenye hoteli kuna sera za kuwaficha celebrities under assumed names.. lakini kwenye matibabu ni ngumu kidogo. Lakini kwa vile Marehemu keshatutoka sidhani kama kuna ubaya wa hata kutoa jina alilotumia kwani hakuna mtu yeyote anayeweza kumfanya lolote sasa.
 
Mjor umetutukana watanzania tusi baya sana kutuita marehemu, lakini kuna ukweli mwingi sana katika matusi yako. duu!
Rwabugiri, I think you've connected Major's dots -- the guy talk sense. Just imagine:

- Prof. Ndulu alisema aliendelea kuwasiliana na Ballali kwa ushauri baada ya kuingia ofisini mwezi Januari.
- tukaambiwa Seriali ndio iliyokuwa inalipa matibabu ya Ballali kabla ugavana kutenguliwa
- tukaambiwa Balozi alimtembelea Ballali
- Serikali ikaripoti kuwa haijui alipolazwa wala alipo Ballali (nadhani Prof. Ndulu sio sehemu ya Serikali)
- wakazidi kujichanganya wengine kafia Boston, wengine DC hospitali, wengine nyumbani
- mara baada ya kufa BMW akaibuka na majibu ya dharau
- n. k.

Nadhani haya tu yanatosha Ndugu Major kutuita marehemu! Kama sie si marehemu iwaje mtu mzima aje hapa ambapo watu wanaeleza facts yeye anaanza kuleta habari za familia ya Anna Muganda?! Itatusaidia nini, au kwa kuwa anajua kuwa sisi ni marehemu? Lakini ole wao siku mwana wa mtu atapoamua kufufuka, wataisha wao na familia zao.
 
Mtanzania,
Katika mazingara ya kawaida jibu kwa swali lako lingekuwa rahisi sana. Lakini katika mazingara haya ambako asilimia 90 humu JF mnaamini tumekula njama za kumficha Balali hata nikikwambia ni hospitali gani aliyolazwa hautaniamini.
Hata nikikutajia hospitali yenyewe haitasaidia kwa sababu aliandikishwa kwa jina bandia baada ya magazeti ya Tanzania kuripoti kuwa serikali imetuma makachero kumtafuta. Kumbuka kuwa huyu ni mtu ambaye kuna baadhi ya watu wazito hawakutaka arudi Tanzania alive. Kauli hiyo ilisemwa na none other than RO himself alipokwenda kumwona Boston mwezi Desemba. Alisema haponi, na kama atapona asirudi nyumbani. Katika hali kama hiyo wewe ungekuwa ndugu yake marhemu ungefanyaje? Maelezo ya FMES ni 95% correct. Ana source nzuri sana. Ila ni kweli Ballali alifanyiwa operesheni Boston mwezi Septemba baada ya kushauriwa na daktari wake. Alipata nafuu akarejea Washington. Hali yake ilipozidi kuwa mbaya akapelekwa katika hospitali iliyo within walking distance kutoka nyumbani kwake.(hint)
Lakini namshangaa jamaa aliyegoogle Social Security kutafuta hati ya kifo cha marhemu. Daudi hajawahi kufanya kazi za Kimarekani. Kwa hiyo huwezi kupata rekodi yake kwenye social security agency. Kama mtu ana ubavu awasiliane na idara za serikali ya DC kutafuta hizo hati na si mambo ya ku-google kwenye internet.Lakini wanaotaka kuamini kuwa Daudi hajafa waendelee na imani hiyo maana naona kuna mmoja anaamini Yesu hakufa msalabani!

Asante sana Jasusi,

Katika hili sasa mwanga unaanza kuonekana hasa hapo kwenye bold. Naomba tena nirudie kuwa mimi nakataa habari za kifo cha Ballali kwa asilimia 95. Hii ni kwa sababu ya mambo mengi na baadhi ya hayo uliyosema.

Nimefuatilia hii habari ya ugonjwa na hatimaye hii ya kifo cha Ballali sio kwa sababu nataka kuwaudhi au kuwatia uchungu ndugu wa marehemu bali tu ni kutaka kupata ukweli.

Kama ni hivyo kuwa jina lililotumika ni tofauti au ya kuhamia hospitali nyingine ni mwanzo mzuri. Naomba pia nikubaliane nawe kuwa kugoogle social au jina la Ballali kwenye internet sio njia ya kufuata sasa hivi. Katika hili utakumbuka kuwa wengi hapa tulimpinga Mushi alivyojaribu kutumia info za internet kwenye hii issue.

Mimi nimewasiliana na office za serikali DC ikiwemo chief medical examiner office pale massachussets AVE.... nimeombwa kutoa request kwa maandishi na nimefanya hivyo tayari. Bahati mbaya wengine hapa hili jambo limekuwa ni muhimu sana na kila kitu kinafanyika. All I can tell you ni kwamba, habari hii sio convincing sana kuelekea kwenye kuamini kifo cha Ballali unless kama pia hapa itasemwa kuwa jina lililotumika kureport kifo ni tofauti au kuwa office ya CME haikujulishwa kifo hiki au imejulishwa with instruction na kutotoa habari.

Nothing personal mkuu, natumai utaelewa kwenye hili!
 
mzee aliweza vipi kulazwa kwa jina bandia katika hospitali za Marekani? Najua kwenye hoteli kuna sera za kuwaficha celebrities under assumed names.. lakini kwenye matibabu ni ngumu kidogo. Lakini kwa vile Marehemu keshatutoka sidhani kama kuna ubaya wa hata kutoa jina alilotumia kwani hakuna mtu yeyote anayeweza kumfanya lolote sasa.

That's correct Mkjj...

Hii thread ni sehemu muhimu sana ya kurekebisha habari potofu zilizopo nje. Nadhani hapo inaweza kuwa mwanzo mzuri wa kuelekea kwenye ukweli zaidi.
 
Mtanzania,
Katika mazingara ya kawaida jibu kwa swali lako lingekuwa rahisi sana. Lakini katika mazingara haya ambako asilimia 90 humu JF mnaamini tumekula njama za kumficha Balali hata nikikwambia ni hospitali gani aliyolazwa hautaniamini.
Hata nikikutajia hospitali yenyewe haitasaidia kwa sababu aliandikishwa kwa jina bandia baada ya magazeti ya Tanzania kuripoti kuwa serikali imetuma makachero kumtafuta. Kumbuka kuwa huyu ni mtu ambaye kuna baadhi ya watu wazito hawakutaka arudi Tanzania alive. Kauli hiyo ilisemwa na none other than RO himself alipokwenda kumwona Boston mwezi Desemba. Alisema haponi, na kama atapona asirudi nyumbani. Katika hali kama hiyo wewe ungekuwa ndugu yake marhemu ungefanyaje? Maelezo ya FMES ni 95% correct. Ana source nzuri sana. Ila ni kweli Ballali alifanyiwa operesheni Boston mwezi Septemba baada ya kushauriwa na daktari wake. Alipata nafuu akarejea Washington. Hali yake ilipozidi kuwa mbaya akapelekwa katika hospitali iliyo within walking distance kutoka nyumbani kwake.(hint)
Lakini namshangaa jamaa aliyegoogle Social Security kutafuta hati ya kifo cha marhemu. Daudi hajawahi kufanya kazi za Kimarekani. Kwa hiyo huwezi kupata rekodi yake kwenye social security agency. Kama mtu ana ubavu awasiliane na idara za serikali ya DC kutafuta hizo hati na si mambo ya ku-google kwenye internet.Lakini wanaotaka kuamini kuwa Daudi hajafa waendelee na imani hiyo maana naona kuna mmoja anaamini Yesu hakufa msalabani!

Lakini alikuwa ana own property US...au alikuwa hailipii kodi hiyo property yake?
 
Mada hii imeniacha hoi kabisa na nitaendelea kuwa msomaji .Maana duh!!!
 
Jamani yaani nchi nzima tumedanganywa? Kwani hakuna waliohudhuria mazishi huko Washington? Balozi wetu huko nilisikia alikuwako ina maana hakuna anayeweza kupata ttarifa zake? Nilichosikia nikuwa mwili wake haukuonyeshwa, watu walikuwa wakiangalia jeneza tu! But this is not from a trusted source, so do not quote me.
 
Thread ya invinsible ilipotoka niliandika hivi:
Ballali kafanyiwa plastic surgery
Linalofanyika ni scientific msukule au political ndondocha
Yaonekana wengi hamkuelewa. Sasa mnaanza kukubaliana nami kuwa yawezekana lilizikwa gogo tu.
Mwafrika wa kike nakushukuru sana kwa thread hii. Nina maswali machache
-Hujatueleza uliona kitu gani hasa pale DC kwenye mazishi?. Maana ulifika na kuona lakini uliyoyaona yamesababisha uamini kwa 95% kuwa Ballali hakufa -Uliona nini?
Kwa taratibu za mazishi ya wakatoliki, kuna wakati sanduku linafunuliwa na maiti inanyunyiziwa maji ya baraka - Je hili halikufanyika? au hukupata upenyo wa kuchungulia kwenye sanduku?. Huwa pia kuna utaratibu wa salaam za mwisho; hapa napo sanduku hufunguliwa - je hukupata upenyo? Au hasa uliona nini?

Kwa jasusi anayetetea kuwa Ballali amekufa - kuna mambo unatuchanganya. Tulijulishwa kuwa Ballali alikufa ijumaa, wewe wasema alikufa jumapili -which is which now?
Unasema alibadilisha jina baada ya kujua kuwa makachero wa TZ walikuwa huko wakimtafuta. Hao makachero walienda wiki za mwisho, actually the same week tunayoambiwa alikufa, je hapo mwanzoni alitumia jina gani na hospitali gani? kama alibadili tangu mwanzo basi kwa nini alihofia mapema?
 
Rwabugiri, I think you've connected Major's dots -- the guy talk sense. Just imagine:

- Prof. Ndulu alisema aliendelea kuwasiliana na Ballali kwa ushauri baada ya kuingia ofisini mwezi Januari.
- tukaambiwa Seriali ndio iliyokuwa inalipa matibabu ya Ballali kabla ugavana kutenguliwa
- tukaambiwa Balozi alimtembelea Ballali
- Serikali ikaripoti kuwa haijui alipolazwa wala alipo Ballali (nadhani Prof. Ndulu sio sehemu ya Serikali)
- wakazidi kujichanganya wengine kafia Boston, wengine DC hospitali, wengine nyumbani
- mara baada ya kufa BMW akaibuka na majibu ya dharau
- n. k.

Nadhani haya tu yanatosha Ndugu Major kutuita marehemu! Kama sie si marehemu iwaje mtu mzima aje hapa ambapo watu wanaeleza facts yeye anaanza kuleta habari za familia ya Anna Muganda?! Itatusaidia nini, au kwa kuwa anajua kuwa sisi ni marehemu? Lakini ole wao siku mwana wa mtu atapoamua kufufuka, wataisha wao na familia zao.

Ee bana ndiyoo!! Bravo!! You said it!! Many are as good as brain dead, you know? Its not really what someone says that matters its who says it.
 
Maelezo ya FMES ni 95% correct. Ana source nzuri sana. Ila ni kweli Ballali alifanyiwa operesheni Boston mwezi Septemba baada ya kushauriwa na daktari wake. Alipata nafuu akarejea Washington. Hali yake ilipozidi kuwa mbaya akapelekwa katika hospitali iliyo within walking distance kutoka nyumbani kwake.(hint)
Lakini namshangaa jamaa aliyegoogle Social Security kutafuta hati ya kifo cha marhemu. Daudi hajawahi kufanya kazi za Kimarekani. Kwa hiyo huwezi kupata rekodi yake kwenye social security agency. Kama mtu ana ubavu awasiliane na idara za serikali ya DC kutafuta hizo hati na si mambo ya ku-google kwenye internet.Lakini wanaotaka kuamini kuwa Daudi hajafa waendelee na imani hiyo maana naona kuna mmoja anaamini Yesu hakufa msalabani!

Jasusi;

Unaongea kwa mamlaka na kujiamani, lakini kama unajua lolote kuhusu agency za Serikali ya US na swala la privacy linavyo chukuliwa, basi usinge weza kusema mtu "awasiliane na idara za serikali ya DC" kutafuta info za mwenye Social Security Number. Hakuna idara ya Serikali inaweza kukupa info za mtu mwingine.

Pili, ili kuwa na social security profile na rekodi kuwepo idara ya Social Security, sio lazima uwe umefanya kazi Serikalini. Ingekuwa hivyo, basi Wamarekani wasiofanya kazi Serikalini wangekuwa hawapewi SSNumber.

Tatu, information za SSN za mtu zinaweza kupatikana mitandaoni informally, na ndio maana kuna tatizo la wizi wa identity Marekani, moja ya jinai inayoongezeka kuliko zote nyakati hizi za mapinduzi ya habari za elektronik.

Kwa hiyo mjomba, hili swala la upatikanaji wa social securiy information inaonekana hulijui jui vizuri, to say the least. Lete "dataz" kwenye eneo jingine, labda mambo ya "Nationa Insurance Number" za Uingereza , au "Social Insurance Number" za Canada na kwingineko ambapo unaweza "kutupeleka peleka" unavyo taka wale ambao hatujui lolote kuhusu viwanja hivyo. (And bear in mind, Google tunayo siku zote, kwa hiyo, chonde chonde hata huko kwenye "dataz" za viwanja vingine!)

Nadhani pia umejaribu kutugawa katika makundi ya "Wanaoamini kafa" na "Wasio amini kafa" wakati wengine tunatafuta tu habari bila kutetea tetea pande kishabiki. And, with such shattered credibility on your own info, labda bia umepoteza authority ya kutetea source za watu wengine as "95% correct!"
 
SASA KWELI NIMEAMINI U ARE AN INFORMAL SPOKESMAN OF THE GOVERNMENT, BUT STILL TANZANIANS ARE NOT FOOLS TO BUY YOUR STORY. KUNA WALIKINI KATIKA STORY HII YA KIFO CHA BALALI. MAULANA WETU ATATUONYESHA NJIA. MUNGU IBARIKI TANZANIA.
_904728_brick_150.jpg
"In the quiet words of the Virgin Mary... come again?"
 
Originally Posted by green29:

huu ni utata sana, unaweza kukuta hata MAREHEMU alihudhuria kwenye MSIBA/MAZISHI yake!

This is a very lorgical observation! !!

Green' unatengenezaji fikra kama hizi?

Siunajua ungeweza kutoa tuition kwa viongozi wetu wengi walio a fikra ziizopinda kabisa.?

Kwanza wangekuwa safi Kichwani wasigefanya hayo mazingaumbwe..yanayoendelea..!
 
Mtanzania,
Katika mazingara ya kawaida jibu kwa swali lako lingekuwa rahisi sana. Lakini katika mazingara haya ambako asilimia 90 humu JF mnaamini tumekula njama za kumficha Balali hata nikikwambia ni hospitali gani aliyolazwa hautaniamini.
Hata nikikutajia hospitali yenyewe haitasaidia kwa sababu aliandikishwa kwa jina bandia baada ya magazeti ya Tanzania kuripoti kuwa serikali imetuma makachero kumtafuta. Kumbuka kuwa huyu ni mtu ambaye kuna baadhi ya watu wazito hawakutaka arudi Tanzania alive. Kauli hiyo ilisemwa na none other than RO himself alipokwenda kumwona Boston mwezi Desemba. Alisema haponi, na kama atapona asirudi nyumbani. Katika hali kama hiyo wewe ungekuwa ndugu yake marhemu ungefanyaje? Maelezo ya FMES ni 95% correct. Ana source nzuri sana. Ila ni kweli Ballali alifanyiwa operesheni Boston mwezi Septemba baada ya kushauriwa na daktari wake. Alipata nafuu akarejea Washington. Hali yake ilipozidi kuwa mbaya akapelekwa katika hospitali iliyo within walking distance kutoka nyumbani kwake.(hint)
Lakini namshangaa jamaa aliyegoogle Social Security kutafuta hati ya kifo cha marhemu. Daudi hajawahi kufanya kazi za Kimarekani. Kwa hiyo huwezi kupata rekodi yake kwenye social security agency. Kama mtu ana ubavu awasiliane na idara za serikali ya DC kutafuta hizo hati na si mambo ya ku-google kwenye internet.Lakini wanaotaka kuamini kuwa Daudi hajafa waendelee na imani hiyo maana naona kuna mmoja anaamini Yesu hakufa msalabani!

Mkuu Jasusi,

Mmmmhhhhh!!! yaani hapa naona mambo yanaanza kujipanga inavyotakiwa.

nashukuru kwa jibu lako ila nami naungana na Mzee Mwanakijiji, kwasasa Ballali amefairiki na hao aliokuwa anawaogopa hawawezi kumpata tena, hata tukiambiwa jina la bandia alilokuwa anatumia hakutakuwa na ubaya.
 
Jasusi;

Unaongea kwa mamlaka na kujiamani, lakini kama unajua lolote kuhusu agency za Serikali ya US na swala la privacy linavyo chukuliwa, basi usinge weza kusema mtu "awasiliane na idara za serikali ya DC" kutafuta info za mwenye Social Security Number. Hakuna idara ya Serikali inaweza kukupa info za mtu mwingine.

Pili, ili kuwa na social security profile na rekodi kuwepo idara ya Social Security, sio lazima uwe umefanya kazi Serikalini. Ingekuwa hivyo, basi Wamarekani wasiofanya kazi Serikalini wangekuwa hawapewi SSNumber.

Tatu, information za SSN za mtu zinaweza kupatikana mitandaoni informally, na ndio maana kuna tatizo la wizi wa identity Marekani, moja ya jinai inayoongezeka kuliko zote nyakati hizi za mapinduzi ya habari za elektronik.

Kwa hiyo mjomba, hili swala la upatikanaji wa social securiy information inaonekana hulijui jui vizuri, to say the least. Lete "dataz" kwenye eneo jingine, labda mambo ya "Nationa Insurance Number" za Uingereza , au "Social Insurance Number" za Canada na kwingineko ambapo unaweza "kutupeleka peleka" unavyo taka wale ambao hatujui lolote kuhusu viwanja hivyo. (And bear in mind, Google tunayo siku zote, kwa hiyo, chonde chonde hata huko kwenye "dataz" za viwanja vingine!)

Nadhani pia umejaribu kutugawa katika makundi ya "Wanaoamini kafa" na "Wasio amini kafa" wakati wengine tunatafuta tu habari bila kutetea tetea pande kishabiki. And, with such shattered credibility on your own info, labda bia umepoteza authority ya kutetea source za watu wengine as "95% correct!"

Unaona? A classic example the logical fallacy of argumentum ad verecundiam or appeal to misleading authority. This is exactly what I just remarked in my posting above: some dude thinks he can serve us bullshit because people (falsely) believe he somehow has unlimited access to classified government information and other kind of "top secret" stuff, kumbe ni kamba zake tu! Damn!
 
Back
Top Bottom