JohnShaaban
JF-Expert Member
- Aug 23, 2007
- 464
- 116
FMES,Familia ya mke wa marehemu, ni kubwa sana nafikri kama sikosei kwa wale tuliowahi kufika Musoma, hawa ni next almost to familia ya Mwalimu, kwa heshima ya African Clan, wametokea kwenye very strong family values kwa sababu baba yao alikuwa kiongozi mkubwa sana wa dini ya Christianity kule, watoto wote wamesoma sana isipokuwa mmoja tu wa mwisho, ni familia inyoheshimika sana kwa ujumla, ni watu very objective na kwa wale tunaowajua kwa kairibu ni watu wenye very strong mind na very independent kwamba sio rahisi kuwafanya wote wakubali kunyamaza wakati wanajua ukweli kuwa ni tofauti na unaosemwa,
Ina maana kuwa baada ya yote haya, Balali na mkewe wataendelea kusihi kama kaiwada, hao wazungu marafiki zao wa IMF wataendeelea kuwatembelea kama kawaida, kina Sefue wataendelea kushirikiana nao kama kawaida,
Halafu Mkuu Freeman, ambaye wengi tunamtegemea kuja kuwa rais wetu one day, na yeye amepoteza muda wote huu kuilaumu serikali kwa kitu ambacho anajua kuwa sio kweli, akakubali kuweka credibility yake na sisi wananchi at stake kwa kuwaheshimu sana familia ya Balali kuliko sisi wananchi, kwa sababu familia hiyo imemuahidi kuwa Balali hatakuja kuonekana tena maana watamficha vizuri sana?
Halafu watoto wa familia nzima ya watu wa Balali na Muganda waliokuwepo kwenye msiba mpaka mazishi, na wao pia wataendelea kuelimishwa kila siku kuwa uncle Balali hajafa ila tulikuwa tu tunadanganya for a good reasons, kwa hiyo msishangae mlipokuwa watoto tulimzika that was not him ila tulikuwa tunadanganay tu!
It does not make a sense at all!
...are you trying to convince all visitors here (JF) that Ballali has died AMID all doubts? Do you want to tell us that faking death to Ballali's saga is NON-SENSE! I thought you're patriot to let others view their opnions, but now I start sensing that they trying using you knowing JF's member believe in whatever come from your keyboard!!
The point is, since you started a thread proves Ballali's death someone has started this STICKY thread negate your theory. Here, JF members are trying to raise their concerns as to why Ballali's death has faked and not NON-SENSE. PLEASE tells whomever send you to negate that "PEOPLE have awaken and no one will take them BACK"! If you don't know yet, go and ask Pinda!