Kifo cha David Balali: Kauli mbalimbali toka kwa watanzania

Kifo cha David Balali: Kauli mbalimbali toka kwa watanzania

1.
4) FMES: Huyu alikanusha habari za kifo cha Balali mapema sana, tena katika post za mwanzo kabisa za ile thread ya Invisible. Alionekana kuwa na uhakika sana kuhusu ukweli kwamba Balali alikuwa hajafa. Ajabu kubwa kuliko zote, akaibuka na thread ya kutuambia kwamba sasa amethibitisha kwamba Balali amekufa jambo ambalo anaendelea kulitetea katika hii thread ya MWK.

Mkuu kitila,

Heshima yako mkuu, wewe ninakuheshimia kuwa ni kichwa na binadamu solid, sielewi utata uko wapi hapa, mwanzoni sikuwa ninaamini kuwa Balali amefariki nikatoa sababu, huku nikiendelea na uchunguzi nikagundua kuwa ni kweli amefariki na nikatoa hoja ambazo bado ninazisimamia mpaka leo kuwa ninaamini 100% kuwa amefariki, sasa utata kwako mkuu uko wapi hapa?

2.
Kama tukienda na conspiracy theory ya Mtanzania na MWK, kwamba Balali hajafa, ambayo na mimi sasa wameshanishawishi kabisa kukubaliana nao, ni wazi kwamba FMES alikuwa amesaulika katika ule mduara wa waliokuwa wanapika uongo kuhusu kuugua na kifo cha Balali. Inaonekana baadaye akakumbukwa na kupewa directions kwamba aje hapa abadili msimamo wake wakitarajia kwamba, kwa uzito wake hapa JF, hoja zake zitakubalika.

Kama wewe umeamua kwenda na conspiracy theory, basi ni kuweka hoja ya sababu lakini sio kwa kunitaja mimi kwa sababu mimi hapa ni member tu wa JF kama wewe, sasa huu umuhimu ambao sijawahi kuusikia ukiusema unanipa only kwa sababu tu unataka kuthibitisha conspiracy theory yako, mkuu unakuwa hunitendei haki,

Inaonekana wale mnaotaka tumaini kuwa hajafariki mko radhi kufanya anyhting an kusema anything hata kuharibu majina ya members hapa ili wote tukubali kuwa mna ukweli badala ya kuweka hoja ni kwa nini manaamini hivyo,

Familia ya mke wa marehemu ninaifahamu tena kwa karibu sana, lakini kama maneno yako ni kweli nisingemtwanga Butiku hapa ambaye anahusika sana na hiyo familia, kwamba eti wamenipa habari za kusema mkuu naamini una dini ningekuomba uende umuombe Mungu wako akusamehe kwani hii ni dhambi ya bure unajichumia, Mtanzania na watu wengi sana hapa tiutumeongea sana kuhusu hii ishu sikumbuki hata wakati mmoja nimewahi ksuema kuwa ninapewa dataz kutoka kwenye familia hiyo, the matter of fact nimesema wazi toka siku ya kwanza kuwa ningekuwa ninapewa dataz na wao, nisingeigusa hii ishu kabisa hapa,

Ninarudia tena mkuu Kitila, kwamba kama una dini ninaomba umuombe Mungu wako akusamehe kwa haya maneno kwani ni uongo mkubwa sana na ninasikitika sana kwamba unaweza kusemwa na mtu kama wewe bila ya kuwa na uhakika na unachokisema na nitakuheshimu sana au zaidi ukikubali hapa mbele ya wananchi kuwa huna ushahidi wowote wa kuthibitisha hili.

3.
Lazima tukiri kwamba huu mchezo umechezwa vizuri na wahusika wanaijua vizuri sana nguvu ya JF sasa hivi, na ndio maana wakawatumia vinara kabiaa wa JF katika kusambaza na kuaminisha habari za kiini macho kuhusu Balali. Vinara hawa waliotumika, ama kwa kujua au bila wao kujua, ndio hao niliowatajia hapo juu: Invisible, MKJJ na FMES.

Eti huu ni mchezo ambao na mimi nimeshiriki, again sikutegemea this kutoka kwako lakini labda kuishi kwingi ni kuona mengi, kwamba Balali hajafa ila familia yake tu wameamua kwa ksuhirikiana na serikali kumfanya amekufa, lakini yupo mzima, labda unahitaji kunipiga risasi ili mwili wangu uliokufa uamini hayo, kama huamini amekufa basi uwe kama MMJ na MWK anyeuliza maswali ya kihoja, lakini sio kujaribu kuharibu majina ya watu in process, sio utu wala uungwana kwa mtu kama wewe, ningekuwa na tabia hiyo mkuu ningeweza kufanya mambo mengi sana kwa hasara ya watu wengi, lakini labda hunifahamu personally, hata siku moja huwezi kunidanganya na kunishawishi nidanganye kwa faida yako, huku nikiweka jina langu on the line kwenye hili ninakuomba uanzie nyumbani kwangu na mke wangu mpaka ninapofanya kazi, kumbuka hizi tabia za uongo uongo na unafiki zinaanzia nyumbani kwa mtu,

again mkuu ulipaswa kusema kuwa una-assume kuwa huu ni ukweli lakini huna uhakika kuliko kuuweka kuwa ni ukweli, na hasa kwa mtu kama wewe nimeshitushwa sana mkuu na this, sio uongo kwamba msimamo wangu on the ishu unaweza ku-create all this fantasies tena kwa watu credible kama wewe, yaani wewe Kitila niliyekuwa ninakuminia unaweza kuamini kuwa serikali na familia ya Balali zinaweza ku-work pamoja kufanya hii unayoiita picha, halafu na mimi nikahusika na hiyo picha?
 
1.
Sasa kubwa kuliko zote:

i) Kwa nini serikali ya CCM chini ya JK imeamua kuishi kwa kuwadanganya wananchi wake? Kama wameamua kutudanganya kuhusu jambo jepesi kama la kuugua na kufa kawa Balali, tutawaamini vipi katika mambo makubwa ya nchi yetu?

ii) Na ni kwa nini watanzania tunaendelea kukikumbatia chama ambacho kinatoa viongozi wanaotudanganya?


Mkuu Kitila,

Toka mwanzoni mwa habari yako nilijua kuwa una sababu muhimu sana, nayo ni hii hapa ku-promote siasa za chama chako, sasa swali kweli ili kufanya haya ilibidi useme yote yale kule juu mpaka ku-question haki za tunaokubali kuwa Balali amefariki? Kwanini usingesema tu kuwa huamini kuwa Balali amefariki, na kwamba unatka CCM iondoke madarakani? lakini badala yake umetumia njia ndefu mpaka kujaribu kushusha hadhi za watu, kisa ni hiki tu uweze ku-promote siasa za chama chako mkuu? Mkuu hivi hujagundua kuwa siku hizi mimi niliamua kuchana na siasa za vyama niko taifa tu maana ni waste of time!

2
. iii) Ooops, nilisahau kwamba jamii hupata viongozi inayostahili. Kama tunaweza kuwa na wenzetu hapa JF, ambao tumeaminiani na kuheshimiana siku zote hizo na bado wanashiriki katika kutudanganya, tuna haki gani kuwalaumu serikali wanapotudanganya? Kwani sisi tunatofauti gani na wao?

Kwenye hili ndipo unapoharibu mkuu, weka hoja ni kwa nini huamini kuwa Balali amefariki, hii sio hoja huu ni ubabe mkuu, kama wa Mkapa sasa unatka tumaini kuwa mkiingia serikalini kutakuwa na tofauti na Mkapa? Na hoja za nguvu kama hii ambayo unaisema bila hata ya kuwa na ukweli ambayo ndiyo hasa tabia ya Mkapa?

Anayejua ukweli wa ishu hii 100% ni mkuu Jasusi, hilo halina ubishi wengine wote tunasema hoja zinazohusiana na uchunguzi wetu binafsi, so far yote yako sawa kinachokosekana ni jina la Hospitali ambalo mimi ninaamini sio muda mrefu toka sasa nitalipata, kwa sababu kama Jasusi anakubali kuwa habari zangu ni 95% on the ishu, mimi sikati taama kumalizia hiyo 5%, na besides kwenye uchunguzi wowote ni lazima kuwa na uvumlilivu, ninamhakikishia Jasusi na owte hapa kuwa it is only a matter of time kabla sijamalizia hiyo 5% na hasa jina la Hospitali na ukweli utatoka wazi,

Lakini ninaomba kusema kuwa ninaheshimu maoni ya kila mtu on the ishu, lakini siamini kuwa Familia ya Muganda inaweza ku-fekisha kifo wakati Balali yupo, Balozi Sefue ninamuaminia sana hawezi kuwa alienda kwenye msiba bila ya kuuona mwili, unajua nimegundua kuwa serikali inapokosa credibility ni vigumu wananchi kuiamini kwa anything, lakini haina maana kuwa viongozi wake wote ni wabovu bado kuna wenye heshima na ni wastaarabu na huyu Sefue ni mmojawapo, siwezi kuona akishiriki kwenye huu "uongo", kwamba eti dada wa mke wa marehemu ambaye ni kiongozi mkubwa sanw a kanisa moja kule New York, anaweza kushiriki kwenye uongo wa mdogo wake ni aboslutely insane,

With time ukweli wote utatoka tu, lakini mimi ninaamini kuwa Balali amefariki 100% na ninaheshimu wanakataa, lakini tupingane kwa hoja!
 
Mtanzania,
Mkuu bado kabisa hujanijibu swali langu isipokuwa umeweka dhana ya Keko ambayo haina Ushahidi.
Kwanza kabisa nipe sababu ya yeye ku fake kifo kwa sababu isingewezekana kwenda Keko ikiwa hatafutwi na serikali. Pili, ukweli unaonyesha wazi kuwa hata wale walioiba na kutajwa majina yao ndani ya report wanapeta mjini na adhabu kubwa waliyopewa ni kurudisha hizo fedha. Wengine wamo ktk misafara ya rais hivi sasa tunavyozungumza. Lowassa, Karamagi, Chenge na wengine wote ni watu walikutwa na makosa makubwa ya UHUJUMU UCHUMI, hili kosa ni CRIME kubwa sana nchi yeyyote ile isipokuwa Bongo tumeona mchezo ukipozwa kwa kuelekeza mashambulizi sehemui nyingine kabisa as if Uhujumu uchumi ni kazi ya Mungu kutupa binadamu tamaa ya Utajiri.
Hatujaona chochote kimefanyika wala hiyo Keko iweje Balali afikiriwe kufungwa KEKO hali ushihidi wote upo ktk makaratasi yaliyoidhishwa utokaji wa hizo funds..Ukweli ni kwamba hatumhitaji Balali kabisa ikiwa ushahidi upo, hao machunguzi waliweza vipi kupata nyezi zile ambazo hadi leo zimefichwa vunguni!.
Hata kama Balali angekwenda mahakamani na kusema ukweli wote bila supporting documents ingeonekana mzushi lakini karatasi zipo na zimeshikiliwa na wakubwa ambao wanajua ukweli ni upi bila Balali.. Balali ni shahidi tu kuthibitisha yaliyotokea..

Kwa hiyo tukirudi ktk haya maswali ya KIFO chake ningependa kuelewa kama kuna mmoja wenu anaweza kuthibitisha kuwa Amina Chifupa alikufa?..maanake hizo info mnazozitaka zote zinahusiana na picha mara hospital wakati kaburi lipo na ndugu wafanye msiba mkubwa watuwengine watoke nchi tofauti kuja hudhulia msiba feki na serikali ya Marekani wakubali kuunda mchezo ambao kwao hauna maslahi.

Kama ndio hivyo, hata ugonjwa wake unakupeni mashaka.. Nani kati yenu anaweza kuthiobitisha Balali alikuwa Marekani?.. hivi kweli Balali aliondoka hata Tanzani kwenda kutibiwa Marekani, pengine yupo Bongo... someone please prove to me!

Kisha basi toka afike Marekani tumeambiwa habari tofauti za kuwepo kwake huko ktk matibabu, mara anaendelea vizuri, mara atarudi Tanzania kutoa ukweli wote mara hiki lakini yote haya yalikuwa maneno ya magazeti ya Bongo kwa sababu Balali hakuna aliyekuwa akimtafuta...
Kwa taarifa tulizokuwa nazo Balali ndiye aliyetoa barua ya kujiuzuru kabla Kikwete hajachukua hatua yoyote ile na mchezo ulichezwa ionekane kafukuzwa kazi!..Ubalozi wa Marekani walisema wazi kama serikali inamtaka kisheria zipo njia halali za kufanya.. why serikali isitumie njia hizo badala yake watume makachero nje ya sheria wakati Ubalozi huo wa Marekani walisha nyoodsha mkono wao kutoa msaada. Je, hao Makachero walikuwa kweli wa serikali yetu ama walikuwa hitmen!..
In all serikali yetu ilishindwa kutupa habari za Balali toka akiwa mzima, swala la hospitali tu lilitosha kumficha Balali kwa sababu hadi sasa hivi hakuna mtu anayefahamu Balali alikuwa hospital gani...Hao kina Mkapa, Apson na wengine wote hawamhitaji Balali kutupa ushahidi wa kuwafungulia mashtaka kwa sababu hawa watu wameyafanya yote waziwazi mbele ya macho yetu na waathirika ni sisi iweje Balali awe mtu wa mwisho tunayemtgemea wakati ushidi wote tunao...
Kumbukeni hata Uchunguzi wa EPA ulianzia kipindi fulani tu wakati wa Kikwete, serikali hiyo hiyo iliwakataza wachunguzi wasirudi nyuma zaidi ya kipindi ya mwaka 2006..WHY?...
Jamani mweee sio mara ya kwanza benki kuu kuibiwa, iliibiwa wakati Mwinyi tu ameingia madarakani wakachoma Benki nzima hatukuona kilichofanyika... hakukimbia mtu isipokuwa tuliona gavana mwingine wakimwondoa duniani...Hayakuanza jana mnapoteza tu pumzi zenu. badala ya kufikiria jinsi serikali yetu ilivyokuwa dhalimu mnajiwekea mashaka wenyewe na kuipa pumzi kiasi kwamba dhahiri mnatafuta mchawi nje ya serikali yenyewe....Mama Malecela kasema wazi na kutangaza vita, leo Wadanganyika mnatafuta mchawi, kaburu mwafrika mnampa Benefit of the doubt!..Ama kweli - NDIVYO TULIVYO!
 
1.
Mkuu FMES,
Heshima na taadhima mbele, hata kama ikijulikana kuwa Balali amefake kifo chake sitakulaumu, kwa sababu inawezekana kabisa kwa sababu moja au nyingine watu watakuwa wametaka ifahamike hivyo, hilo halitakuwa kosa kwako.

Ninachosema ni hivi, kwa wale wanaoamini kuwa Balali mzima watoe hoja kama Mwanakijiji na MWK, lakini sio viroja na kurusha majina ya member wengine hapa wanaoamini tofauti na wao maana sasa inakuwa kama vita wakati tunachotaka hapa ni elimu na info basi sio ubabe na matusi!

2.
NI kweli kuna maswali mengi ya kujiuliza. Hizo question mark ndio zinafanya baddhi yetu tuhoji lakini haina maana kuwa information yako haina credibility, na hakuna haja ya kujiuzulu Tanzania inakuhitaji

Hapana mkuu ni lazima tuweke ukweli wazi, na ninawaomba wale wote wanaohusika na kutoamini siku watakapopata one thing, siku watakapopata ushaidi kuwa yupo mzima waseme wazi hapa, mimi ninaendelea na uchunguzi na kila ninapoyapata nitasema tena sana na kwa nguvu, na ninaahidi nitakapoamini kuwa hakufa nitasema pia na kukaa pembeni!
 
Mpanda Merikebu,

Naona unasema si muhimu kujua kama Ballali yupo. I think it is critical. You see, we have to know who we are dealing with. If the system can bury Ballali and still have him, and manage to fool us in the process, then we get to know that we are dealing with the devil himself.

You say, and I quote, “Kwa staili hii, come August we will forget who Ballali was! Not if he is still with us! And according to some good people here, he is!

You add “Wakuu wengine wote hapa naomba mnisaidie kitu kimoja; suppose Ballali is not dead, then what? Whether this guy is dead or not, in my opinion, is not relevant to BoT mess since RO declared that he is not wanted

You are wrong there. If Ballali is not dead, then there is a chance that we will get to hear from him, what really happened. But if he is dead, then so is the full story of his involvement at the BoT scam

Mwalimu Mushi,

A few days ago I made a comment on Mzee Mwanakijiji's thread saying that we need to name the devil/enemy so that we can deal with them directly. I think we all have an idea of the devil we are dealing with. If they can decide on silencing Ballali by death (one option) or by faking his death and give him a new identity (another option), either way, it is sickening and it proves that these folks are into a higher league than petty fisadists and I think we agree on this. This is the reason I don't think we should dwell on figuring out whether Ballali is dead or not. I am more concerned with the mastermind behind this.

As for my comment about forgetting about Ballali in August, well, it is true that we may still hear about him if he is alive. My comments were based on the premise that he is dead (like Chifupa) and that's all. In my opinion, our efforts of finding out the truth about Ballali's death (or not) should be directed to monitor activities of those who are on the list of mafisadi and are still alive. I think at the moment we are giving them a huge advantage by making noises about Ballali while they are covering their traces or solidifying their defense on these accusation and who knows, they may be stealing more.

Please understand that I am not trying to discredit good people's (that I respect) doubt about Ballali's situation. I choose not to take part in disagreeing whether or not the man is alive. I just don't want for other culprits to get a way with this while we are talking about Ballali. I think this is our "Get Up, Stand Up" moment because at the end of the day, we all agree that you can fool people sometimes but you can't fool people all the time.

Haika sana mbe!
 
FMES Mkuu.

Hapa jamvini unaheshimika sana, naomba utambue hivyo, sisi ngumbalu tulipojiunga hapa tu, tuliyajua majina yenu kwanza(Invisible, Mwkjj,na pia Kitila)na tutaendelea kuwaheshimu hata kama mtatususa, utu wenu kwa sisi watanzania ni kama Mshumaa, ninyi ndiyo macho yetu, tunawaamini sana ndugu zetu.

Hoja yangu iko hivi, hebu wewe FMES, ukweli wa kifo cha baba yetu ulikishuhudia? tunajua unaishi hapo karibu tu,

Je pale kwenye mazishi ulihudhuria?

FMES, tuwekee hata picha kaka yetu, basi game liishe.

........ sisi tuko nyuma yako baba hadi mwisho wa hii picha...........
 
Naomba picha za Amina Chifupa jamani... siamini kama naye alikufa!
 
Mkuu Isaya,

Heshima mbele mkuu, location yangu huijui na it has nothing to do na msimamo wangu wowote,

Kuna wakati niliwahi kuwa offered mapesa mengi sana ili niseme kuwa Mwenyekiti wa Chadema hakualikwa na Bush kule US kwenye Conventional ya Republican, lakini unajua kuwa kila mahali niliiweka wazi kuwa alialikwa na nilikuwepo, wakarudi na mapesa yao!

Mimi kuanza kuweka mapicha hapa ni dalili za kuwa ninalipwa na mtu kulazimisha kuwa amekufa kweli, mimi nitaendelea na hoja tu, lakini nitakapopata more info nitasema, kwa mfano sasa muda mchaceh uliopita nimepata more info, lakini kwanza ninahitaji kuzi-check then nitaziweka,

Naomba unielewe siko hapa kumlazimisha anybody on this ishu, lakini ni haki yangu kusema ninachokiamini bila kulazimishwa na mtu yoyote yule, na pia ninaheshimu haki za wengine kuamini wanayotaka!
 
FMES Mkuu.

Hapa jamvini unaheshimika sana, naomba utambue hivyo, sisi ngumbalu tulipojiunga hapa tu, tuliyajua majina yenu kwanza(Invisible, Mwkjj,na pia Kitila)na tutaendelea kuwaheshimu hata kama mtatususa, utu wenu kwa sisi watanzania ni kama Mshumaa, ninyi ndiyo macho yetu, tunawaamini sana ndugu zetu.

Hoja yangu iko hivi, hebu wewe FMES, ukweli wa kifo cha baba yetu ulikishuhudia? tunajua unaishi hapo karibu tu,

Je pale kwenye mazishi ulihudhuria?

FMES, tuwekee hata picha kaka yetu, basi game liishe.

........ sisi tuko nyuma yako baba hadi mwisho wa hii picha...........

Naomba picha za Amina Chifupa jamani... siamini kama naye alikufa!

...kuna uwezekano vile vile wa 'kujilaza' kwenye jeneza kama umekufa 'with few touches' toka kwa make up artists, 'utaonekana' ni marehemu haswa!!, ...kumbuka picha ni 'static'!

Dont try it at home, faking death may cause someone to get hurt or die, for real!!!
 

First time I heard about Ballali’s death (if we may speak about such a thing), was from Invisible. He said he got it from reliable sources. There is personal testimony here from Jasusi that he was around when Ballali breathed his last. Now, it used to be that Jasusi and Invisible were one and the same man (or woman, to play it safe). Did Invisible quote himself when he quoted reliable sources?

I do not know where you got this idea that Jasusi and Invisible are one and the same. I have met Invisible and he is not me and am sure if you ask him he would tell you I am not him. He must be laughing all the way to his wedding.
 
Wakuu,

Kwa uchunguzi niliofanya mimi hata kama sio scientific lakini naamini picha inaanza kujengeka.

Habari zote za Ballali kuumwa, kupewa sumu na kufa zimetoka na zinaendelea kutoka source moja. Mwanzo wa yote ni huyo mama Anna Muganda na baada ya hapo inashuka chini kupitia familia yake.

Mtanzania,
Kwa heshima na taadhima nakuomba usimhusishe kabisa Bi Anna Muganda katika mjadala huu. As of now Anna hajazungumza na mtu yeyote au vyombo vya habari kuhusu msiba huu. Mimi kama Jasusi ninachosema kinatoka kwenye kinywa changu kwa mujibu wa maoni yangu na kile ninachokijua. Hold me responsible for what I say and leave anyone out of this. Please?
 
Mpenda Merikebu,

Mkuu vitu vizito sana yaani sijui niseme nini... napenda sana watu ambao siku zote wako ktk mstari, hawayumbi kutafuta wachawi nje ya tatizo lililopo...
 
FMES

Ubishe usibishe Mkuu jina lako liko juu hapa uwanjani, tunatamani kusikia unasema nini, usisahau wewe ni msomi mzuri, msaada wako kwetu unahitajika, tuko tayari kulala chali ili mladi umesema, tuko tayari kwa lolote, na tuko tayari kuamini kile unachokisema Mkuu.

Baba tunapopata mkanganiko wa kimawazo toka kwenu ninyi wakuu wetu hapa jamvini, hakika meli inaweza kuyumba,sasa sisi tushike wapi?

Invisible na wewe(FMES) ndiyo mlituaminisha kifo cha baba yetu, sasa mara mnarukaruka, kwa kuwa Invisible yeye kasafiri hayupo tutaendelea kumsubiri ili aje atujuze zaidi kuliko!!!
 
You know, I have high regard for JF. I did not mind for anyone thinking I am Invisible.
But now just because I happen to belong to the small group someone has already questioned my credibility. Hivi nikisema Balali amejificha Mexico ndiyo nitakuwa credible? People where are we going? Nikitoa maoni na yale ninayoyajua ninatumiwa? Anna ana haja gani ya kusambaza jambo lolote lile katika JF? Amepigiwa simu na magazeti chungu nzima amekataa kuzungumza. Leo ndiyo anitumie mimi for what purpose? Sasa kwa sababu ninyi mmekuwa consumed so much na hizi conspiracy theories kiasi kwamba mtu akisema ukweli mnaquestion credibility yake nawaacheni muendelee. Goodbye for now!
 
Isayamwita,
Mkuu swala hapa ni kutoamini kifo cha mtu.. sasa tupeni hizo Picha za Amina Chifupa ndio tutaamini.. Hayo maneno ya mzazi wake kuwa kazi ya Mungu haitoshi kitu inawezekana naye kafichwa huko Comoro ili mafisadi waendelee kupeta..
Sii ndio theory yenu, kuwekea mashaka hadi kifo... Duh Bongo tungekuwa na utaalam huo mbona ingekuwa poa sana...Yaani hiki kisa cha Balali ama kweli imefunga kazi na kuhakikisha kuwa NDIVYO TULIVYO!
Hivi tuseme akiwa mzima mtafanya nini mkijua aliko? mlishindwa akiwa hai baada ya Mama Meghji kusema Balali alimdanganya, mkaamini maneno yake na kudai Balali ni fisadi arudishwe nchini kujibu tuhuma za Meghji!..
Kama kweli kuna sheria huyu Mama hakutakiwa ku report ktk vyombo vya usalama mapema kuhusiana na kosa hilo hadi aliposikia kapelekwa Marekani kwa Matibau.. Haya Mkapa naye baada ya kusikia kifo ndio kwanza anakuja na excuse zake kuwa anazingiziwa, hivi kweli hatuna ushahidi zaidi isipokuwa Balali!

Siku zote Bongo huwashughulikia wonna be whistleblower!...hapa Balali alishakufa toka siku alotoka Dodoma mengine ni utaratibu kufikia hatma yake.
 

First time I heard about Ballali’s death (if we may speak about such a thing), was from Invisible. He said he got it from reliable sources. There is personal testimony here from Jasusi that he was around when Ballali breathed his last. Now, it used to be that Jasusi and Invisible were one and the same man (or woman, to play it safe). Did Invisible quote himself when he quoted reliable sources?

I do not know where you got this idea that Jasusi and Invisible are one and the same. I have met Invisible and he is not me and am sure if you ask him he would tell you I am not him. He must be laughing all the way to his wedding.

Jasusi,

Hilo la Jasusi kuwa Invisible ni makosa na wengi hapa tunajua kwamba Jasusi sio Invisible.

Tuendelee kukata ishu kwenye huu mjadala maana point nyingi za mwalimu Moshi zinaweza zikaishia kwenye hili kosa moja la kusema Jasusi ni Invisible.

Labda kuna jambo alichanganya ingawaje points zake zingine zote nakubaliana naye.
 
Mpenda Merikebu,

Mkuu vitu vizito sana yaani sijui niseme nini... napenda sana watu ambao siku zote wako ktk mstari, hawayumbi kutafuta wachawi nje ya tatizo lililopo...

Mkuu wangu Mkandara,

Thank you for kind comments and for seeing what I'm seeing. JF tunatakiwa tuwe shaken (it's part of being human) but not stirred (collectively we have power not to be).
 
Back
Top Bottom