William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
1.
Mkuu kitila,
Heshima yako mkuu, wewe ninakuheshimia kuwa ni kichwa na binadamu solid, sielewi utata uko wapi hapa, mwanzoni sikuwa ninaamini kuwa Balali amefariki nikatoa sababu, huku nikiendelea na uchunguzi nikagundua kuwa ni kweli amefariki na nikatoa hoja ambazo bado ninazisimamia mpaka leo kuwa ninaamini 100% kuwa amefariki, sasa utata kwako mkuu uko wapi hapa?
2.
Kama wewe umeamua kwenda na conspiracy theory, basi ni kuweka hoja ya sababu lakini sio kwa kunitaja mimi kwa sababu mimi hapa ni member tu wa JF kama wewe, sasa huu umuhimu ambao sijawahi kuusikia ukiusema unanipa only kwa sababu tu unataka kuthibitisha conspiracy theory yako, mkuu unakuwa hunitendei haki,
Inaonekana wale mnaotaka tumaini kuwa hajafariki mko radhi kufanya anyhting an kusema anything hata kuharibu majina ya members hapa ili wote tukubali kuwa mna ukweli badala ya kuweka hoja ni kwa nini manaamini hivyo,
Familia ya mke wa marehemu ninaifahamu tena kwa karibu sana, lakini kama maneno yako ni kweli nisingemtwanga Butiku hapa ambaye anahusika sana na hiyo familia, kwamba eti wamenipa habari za kusema mkuu naamini una dini ningekuomba uende umuombe Mungu wako akusamehe kwani hii ni dhambi ya bure unajichumia, Mtanzania na watu wengi sana hapa tiutumeongea sana kuhusu hii ishu sikumbuki hata wakati mmoja nimewahi ksuema kuwa ninapewa dataz kutoka kwenye familia hiyo, the matter of fact nimesema wazi toka siku ya kwanza kuwa ningekuwa ninapewa dataz na wao, nisingeigusa hii ishu kabisa hapa,
Ninarudia tena mkuu Kitila, kwamba kama una dini ninaomba umuombe Mungu wako akusamehe kwa haya maneno kwani ni uongo mkubwa sana na ninasikitika sana kwamba unaweza kusemwa na mtu kama wewe bila ya kuwa na uhakika na unachokisema na nitakuheshimu sana au zaidi ukikubali hapa mbele ya wananchi kuwa huna ushahidi wowote wa kuthibitisha hili.
3.
Eti huu ni mchezo ambao na mimi nimeshiriki, again sikutegemea this kutoka kwako lakini labda kuishi kwingi ni kuona mengi, kwamba Balali hajafa ila familia yake tu wameamua kwa ksuhirikiana na serikali kumfanya amekufa, lakini yupo mzima, labda unahitaji kunipiga risasi ili mwili wangu uliokufa uamini hayo, kama huamini amekufa basi uwe kama MMJ na MWK anyeuliza maswali ya kihoja, lakini sio kujaribu kuharibu majina ya watu in process, sio utu wala uungwana kwa mtu kama wewe, ningekuwa na tabia hiyo mkuu ningeweza kufanya mambo mengi sana kwa hasara ya watu wengi, lakini labda hunifahamu personally, hata siku moja huwezi kunidanganya na kunishawishi nidanganye kwa faida yako, huku nikiweka jina langu on the line kwenye hili ninakuomba uanzie nyumbani kwangu na mke wangu mpaka ninapofanya kazi, kumbuka hizi tabia za uongo uongo na unafiki zinaanzia nyumbani kwa mtu,
again mkuu ulipaswa kusema kuwa una-assume kuwa huu ni ukweli lakini huna uhakika kuliko kuuweka kuwa ni ukweli, na hasa kwa mtu kama wewe nimeshitushwa sana mkuu na this, sio uongo kwamba msimamo wangu on the ishu unaweza ku-create all this fantasies tena kwa watu credible kama wewe, yaani wewe Kitila niliyekuwa ninakuminia unaweza kuamini kuwa serikali na familia ya Balali zinaweza ku-work pamoja kufanya hii unayoiita picha, halafu na mimi nikahusika na hiyo picha?
4) FMES: Huyu alikanusha habari za kifo cha Balali mapema sana, tena katika post za mwanzo kabisa za ile thread ya Invisible. Alionekana kuwa na uhakika sana kuhusu ukweli kwamba Balali alikuwa hajafa. Ajabu kubwa kuliko zote, akaibuka na thread ya kutuambia kwamba sasa amethibitisha kwamba Balali amekufa jambo ambalo anaendelea kulitetea katika hii thread ya MWK.
Mkuu kitila,
Heshima yako mkuu, wewe ninakuheshimia kuwa ni kichwa na binadamu solid, sielewi utata uko wapi hapa, mwanzoni sikuwa ninaamini kuwa Balali amefariki nikatoa sababu, huku nikiendelea na uchunguzi nikagundua kuwa ni kweli amefariki na nikatoa hoja ambazo bado ninazisimamia mpaka leo kuwa ninaamini 100% kuwa amefariki, sasa utata kwako mkuu uko wapi hapa?
2.
Kama tukienda na conspiracy theory ya Mtanzania na MWK, kwamba Balali hajafa, ambayo na mimi sasa wameshanishawishi kabisa kukubaliana nao, ni wazi kwamba FMES alikuwa amesaulika katika ule mduara wa waliokuwa wanapika uongo kuhusu kuugua na kifo cha Balali. Inaonekana baadaye akakumbukwa na kupewa directions kwamba aje hapa abadili msimamo wake wakitarajia kwamba, kwa uzito wake hapa JF, hoja zake zitakubalika.
Kama wewe umeamua kwenda na conspiracy theory, basi ni kuweka hoja ya sababu lakini sio kwa kunitaja mimi kwa sababu mimi hapa ni member tu wa JF kama wewe, sasa huu umuhimu ambao sijawahi kuusikia ukiusema unanipa only kwa sababu tu unataka kuthibitisha conspiracy theory yako, mkuu unakuwa hunitendei haki,
Inaonekana wale mnaotaka tumaini kuwa hajafariki mko radhi kufanya anyhting an kusema anything hata kuharibu majina ya members hapa ili wote tukubali kuwa mna ukweli badala ya kuweka hoja ni kwa nini manaamini hivyo,
Familia ya mke wa marehemu ninaifahamu tena kwa karibu sana, lakini kama maneno yako ni kweli nisingemtwanga Butiku hapa ambaye anahusika sana na hiyo familia, kwamba eti wamenipa habari za kusema mkuu naamini una dini ningekuomba uende umuombe Mungu wako akusamehe kwani hii ni dhambi ya bure unajichumia, Mtanzania na watu wengi sana hapa tiutumeongea sana kuhusu hii ishu sikumbuki hata wakati mmoja nimewahi ksuema kuwa ninapewa dataz kutoka kwenye familia hiyo, the matter of fact nimesema wazi toka siku ya kwanza kuwa ningekuwa ninapewa dataz na wao, nisingeigusa hii ishu kabisa hapa,
Ninarudia tena mkuu Kitila, kwamba kama una dini ninaomba umuombe Mungu wako akusamehe kwa haya maneno kwani ni uongo mkubwa sana na ninasikitika sana kwamba unaweza kusemwa na mtu kama wewe bila ya kuwa na uhakika na unachokisema na nitakuheshimu sana au zaidi ukikubali hapa mbele ya wananchi kuwa huna ushahidi wowote wa kuthibitisha hili.
3.
Lazima tukiri kwamba huu mchezo umechezwa vizuri na wahusika wanaijua vizuri sana nguvu ya JF sasa hivi, na ndio maana wakawatumia vinara kabiaa wa JF katika kusambaza na kuaminisha habari za kiini macho kuhusu Balali. Vinara hawa waliotumika, ama kwa kujua au bila wao kujua, ndio hao niliowatajia hapo juu: Invisible, MKJJ na FMES.