Mtanzania,
Hata picha za kuagwa kwa Bilali tumeziona kinachotakiwa ni zaidi ya watu waliohudhuria na hayo ma Limo ya maiti. Kuumwa kwake sio lazima uzipate picha kwani hakuugulia Tanzania na wala hakuna picha zake akiondoka Tanzania...
Kinachohitajika hapa ni picha za Balali mwenyewe akiwa ktk jeneza au sio?... ndivyo tunavyotaka picha za Amina Chifupa akiwa amekufa huko Lugalo..kwa sababu kuumwa sio kufariki..mimi nadhani yuko Comoro anakula kuku tu..
Jamani acheni kumchulia mtu alokufa, yaani hapa JF mmeshindwa kabisa kuheshimu maiti..mnachokitaka haswa ni kitu gani lakini? tuyaacheni haya wakuu turudi kwenye hoja za maana hivi ni VIOJA vitupu.
Inasikitisha sana.. NDIVYO TULIVYO!