Kifo cha David Balali: Kauli mbalimbali toka kwa watanzania

Kifo cha David Balali: Kauli mbalimbali toka kwa watanzania

Mtanzania,
Hata picha za kuagwa kwa Bilali tumeziona kinachotakiwa ni zaidi ya watu waliohudhuria na hayo ma Limo ya maiti. Kuumwa kwake sio lazima uzipate picha kwani hakuugulia Tanzania na wala hakuna picha zake akiondoka Tanzania...
Kinachohitajika hapa ni picha za Balali mwenyewe akiwa ktk jeneza au sio?... ndivyo tunavyotaka picha za Amina Chifupa akiwa amekufa huko Lugalo..kwa sababu kuumwa sio kufariki..mimi nadhani yuko Comoro anakula kuku tu..
Jamani acheni kumchulia mtu alokufa, yaani hapa JF mmeshindwa kabisa kuheshimu maiti..mnachokitaka haswa ni kitu gani lakini? tuyaacheni haya wakuu turudi kwenye hoja za maana hivi ni VIOJA vitupu.
Inasikitisha sana.. NDIVYO TULIVYO!
 
Wakuu,

Kwa uchunguzi niliofanya mimi hata kama sio scientific lakini naamini picha inaanza kujengeka.

Habari zote za Ballali kuumwa, kupewa sumu na kufa zimetoka na zinaendelea kutoka source moja. Mwanzo wa yote ni huyo mama Anna Muganda na baada ya hapo inashuka chini kupitia familia yake.

Mtanzania,
Kwa heshima na taadhima nakuomba usimhusishe kabisa Bi Anna Muganda katika mjadala huu. As of now Anna hajazungumza na mtu yeyote au vyombo vya habari kuhusu msiba huu. Mimi kama Jasusi ninachosema kinatoka kwenye kinywa changu kwa mujibu wa maoni yangu na kile ninachokijua. Hold me responsible for what I say and leave anyone out of this. Please?

Jasusi,

Mafia wote wa dunia huwa hawasemi kitu, wanawaachia wa chini yao kueneza ujumbe wao.

Hata kama Mama Muganda hajasema kitu lakini kwenye hili yeye ndio main player wa huu mchezo wa kuamua kutudanganya Watanzania. Labda anazidiwa na Ballali mwenyewe tu.
 
Mtanzania,
Nitakuuliza kitu kimoja tu.. Kama Mama Muganda ndiye aliyecheza mchezo huu wote, ilikuwaje ndugu za marehemu Balali wautake mwili huo ukazikwe Tanzania karibu na kaburi ya baba yake.. why go through all this wakati wakijua Balali ni mzima?
 
Mtanzania,
Hata picha za kuagwa kwa Bilali tumeziona kinachotakiwa ni zaidi ya watu waliohudhulia na hayo ma Limo ya maiti. Kuumwa kwake sio lazima uzipate picha kwani hakuugulia Tanzania na wala hakuna picha zake akiondoka Tanzania...
Kinachohitajika hapa ni picha za Balali mwenyewe akiwa ktk jeneza au sio?... ndivyo tunavyotaka picha za Amina Chifupa akiwa amekufa huko Lugalo..kwa sababu kuumwa sio kufariki..mimi nadhani yuko Comoro anakula kuku tu..
Jamani acheni kumchulia mtu alokufa, yaani hapa JF mmeshindwa kabisa kuheshimu maiti..mnachokitaka haswa ni kitu gani lakini? tuyaacheni haya wakuu turudi kwenye hoja za maana hivi ni VIOJA vitupu.
Inasikitisha sana.. NDIVYO TULIVYO!

Mkandara,

Msiba wa Amina Chifupa ulihudhuriwa na watu wengi na waliona mwili wake. Pia tunajua hospitali alikofia na daktari waliongea.

Lakini msiba wa Ballali watu wamekataa toka siku ya kwanza, kulikuwa na haja gani ya kukataa watu wasiuage mwili wa marehemu?

Kikomo cha utata ni facts, kuna utata kwenye hili la Ballali, tupeni facts ili sisi Thomaso nasi tuhakikishe. Hatutaki mambo mengi, tunataka hospitali tu alikofia na hilo jina la bandia alilokuwa anatumia. Kuna ugumu gani kutoa hizo info?

Ukifuatilia habari zote za Ballali ambazo zilikuwa zinakuja kidogo kidogo, unagundua ilikuwa planned toka mwanzoni.

Tatizo hapa sio familia ya Ballali maana mimi naamini wengi wao hata hawajui nini kinaendelea. Tatizo ni kundi dogo la watu lililoamua kuwadanganya Watanzania kwa kushirikiana na mafisadi ambao wanaona Ballali asingekubali kufa peke yake, wangeumbuka wengi sana.
 
You know, I have high regard for JF. I did not mind for anyone thinking I am Invisible.
But now just because I happen to belong to the small group someone has already questioned my credibility. Hivi nikisema Balali amejificha Mexico ndiyo nitakuwa credible? People where are we going? Nikitoa maoni na yale ninayoyajua ninatumiwa? Anna ana haja gani ya kusambaza jambo lolote lile katika JF? Amepigiwa simu na magazeti chungu nzima amekataa kuzungumza. Leo ndiyo anitumie mimi for what purpose? Sasa kwa sababu ninyi mmekuwa consumed so much na hizi conspiracy theories kiasi kwamba mtu akisema ukweli mnaquestion credibility yake nawaacheni muendelee. Goodbye for now!


Jasusi heshima mbele mzee,
I know what you going through , it takes a man kuweza kuchangia thread hii kwa yale yalikufika, poleni sana na natumaini bwana bado anawaongoza kwenye kipindi hiki kigumu.

Please don't take it personal , hii habari inachanganya watu wengi hata wewe ungekua sio insider kuna uwezekano ungekua kwenye nafasi za akina MWK, kwa hiyo naomba ujue kuwa maswali yetu kwenu lengo lake ni kupata ukweli tu hamna kingine mkuu.

Kwa kusema hivyo basi, naomba kama unaweza unisaidie kunitatulia maswali yangu haya yanayonitinga kama unaweza kama huwezi please...is your take;

1) kwanza naomba ukanushe au unithibitishie kauli ya FMES kuwa merehemu (RIP) hajawahi kutibiwa Boston

2) Marehemu(RIP) amefia nyumbani, jee alirudishwa nyumbani baada ya hali yake kuwa nzuri au maradhi yake kushindwa kutibika?

3) pia ulisema hujui jina alilotumia marehemu(RIP) hospitali lakini ulienda kumuona, kwa ufahamu wangu mimi Hospitali za USA huandikwa jina la mgonjwa mlangoni jee hilo pia hujalisoma? naamini hawezi kulificha hilo ukizingatia ni jina bandia right.Halafu hata dawa, kitanda alicho lala kina majina yake ni kwali Mkuu huya yaona?

Again, sio nia yangu kuku kumbusha kipindi kigumu mlichokua nacho ila ni dukuduku tu mzee

Amani iwe kwanu
 
Mtanzania,
Nitakuuliza kitu kimoja tu.. Kama Mama Muganda ndiye aliyecheza mchezo huu wote, ilikuwaje ndugu za marehemu Balali wautake mwili huo ukazikwe Tanzania karibu na kaburi ya baba yake.. why go through all this wakati wakijua Balali ni mzima?

Mkandara,

Wewe unaambiwa na shemeji yako kwamba kakako kafa, utafanya nini? Kila mtu mwanzoni aliamini Ballali amekufa, lakini ukipunguza majonzi na kuanza kufikiri hapo ndipo uwongo taratibu unaanza kujionyesha.

Mwili ungepelekwa TZ, kwa mila za makabila mengi ni lazima watu waone mwili, labda kama uso umeharibika sana. Kwenye hili pamoja na utata wote, bado wameona ili wasiumbuke, njia ni kujifanya kazikwa USA.
 
Mtanzania,
Hata picha za kuagwa kwa Bilali tumeziona kinachotakiwa ni zaidi ya watu waliohudhuria na hayo ma Limo ya maiti. Kuumwa kwake sio lazima uzipate picha kwani hakuugulia Tanzania na wala hakuna picha zake akiondoka Tanzania...
Kinachohitajika hapa ni picha za Balali mwenyewe akiwa ktk jeneza au sio?... ndivyo tunavyotaka picha za Amina Chifupa akiwa amekufa huko Lugalo..kwa sababu kuumwa sio kufariki..mimi nadhani yuko Comoro anakula kuku tu..
Jamani acheni kumchulia mtu alokufa, yaani hapa JF mmeshindwa kabisa kuheshimu maiti..mnachokitaka haswa ni kitu gani lakini? tuyaacheni haya wakuu turudi kwenye hoja za maana hivi ni VIOJA vitupu.
Inasikitisha sana.. NDIVYO TULIVYO!

Mkandala,
Tatizo sio kutoheshimu maiti mkuu, kifo cha Amina(RIP) tumeambiwa Alikuwa anaugulia Hospitali gani , je cha Ballali(RIP) tumeambiwa
mbona hata siku aliyokufa kila mtu anasema yake?
Mkandala Please
 
Mtanzania,
Hawa watu ndugu zake Balali wamehudhulia mazishi...hivyo sioni point yako. He kuna msichana alikufa Detroit, wengi tulihudhulia lakini hatukuona mwili na wala Tanzania hawakuuona mwili isipokuwa ndugu na jamaa...wapo watu kibao waliokufa bila mwili kuonyeshwa kulingana na mila za makabila yao na wamezikwa wengi sana huku ambao miili yao haikuonyeshwa hadharani kwa kila mtu.
Nitarudia kukuuliza kuna faida gani kwako ukiuona mwili utaamini?... au ndio utasema yule aliyelala hapo ni mtu wa kutengezeza maanake fedha mkuu zinaweza kufanya lolote. Hukumuona Balali toka atoke Dodoma, awe hospitalini na hadi amekufa... kwanza sisi kama akina nani haswa kiasi kwamba uonyeshwe mwili wa marehemu.
 
Mchelea Mwema,
Umeambiwa hospital umekataa sasa wafanye nini zaidi?
 
...Hata kama Mama Muganda hajasema kitu lakini kwenye hili yeye ndio main player wa huu mchezo wa kuamua kutudanganya Watanzania. Labda anazidiwa na Ballali mwenyewe tu.

Mtanzania, nakubaliana na wewe 100%.

Nimeshituka kuona Jasusi anasema tumuache Anna Muganda nje ya hili swala.

Mpaka sasa hivi si Rais Kikwete, si Gavana Ndullu, si Balozi Semfue, si makachero tuliosikia wamekuja kumtafuta, si daktari, si Mama yake wa Boko, si wakili Mkono aliyemtetea tetea Marehemu mbele ya vyombo vya habari, si mwosha maiti, si yeyoye aliyeruhusiwa na Anna Muganda kujihusisha au kupewa taarifa juu ya kifo cha Ballali.

Anna Muganda sio main player. Anna Muganda is the only player!

Huwezi kuchambua usiri uliogubika kifo cha Ballali halafu ukasema tusimjadili mwenye siri. Isipokuwa kama na wewe unataka kumlinda linda mficha siri, au kuonekana na wewe ni mtu wa ndani, wa karibu na mficha siri!
 
Hospital gani mnayoulizia hapa?...maanake tusiwe tunazungumziza vitu viwili tofauti..
 
Mtanzania,
unajua wakati mwingine ni swala la kutumia logic. Hapa unauliza hospital aliyofia Balali wakati huna hakika kafia hospital!...haya tena na kama kafa nje ya hospital nikueleze ni ipi ilohakikisha kifo chake! - Mimi nani ktk familia hiyo na hata siku moja sijawahi kuhudhuria mazishi ya mtu nikaomba hospital iliyooidhinisha kifo...
Mimi sio mtu nayetunza Death au Obitury Records, wala sikuwepo wakati maiti inachukuliwa toka sehemu ilikokuwa imetunzwa. Jambo ambalo hukulifanyia kazi wewe mwenye maswali kwa kuuliza wahusika isipokuwa unatafutia sababu..wakati ukijua fika kwamba serikali ya Marekani haiwezi kuingia mkenge wa kuandaa mazishi ya mtu asiyekuwa na kibali hicho. Balozi wetu Sefue hawezi ambaye namfahamu mimi hawezi kupelekea habari za uongo kwa kwa rais wake ili kuficha ukweli unaomhusu Balali.. yaani jamani mnazidi kunichefua tu.
Je, hao waliotangaza kifo cha Chifupa hawawezi kucheza mchezo kama huu kutangaza kitu ambacho hakikutokea?... kwani daktari nani si mtu anayelipwa na serikali hiyo hiyo ya Tanzania tena basi hospital yenyewe Lugalo!....

Kwa mtaji huu CCM watatawala daima, maanake ni rahisi sana kuwaondoa Wadanganyika ktk hoja muhimu na kuwapachika dhana dhaifu wakaimeza..
 
Mtanzania,
unajua wakati mwingine ni swala la kutumia logic. Hapa unauliza hospital aliyofiwa wakati huna hakika kafia hospital na kama kafa nje ya hospital nikueleze ni ipi ilohakikisha kifo chake! Mimi nani ktk familia hiyo na hata siku moja sijawahi kuhudhulia mazishi ya mtu nikaomba hospitalk iliyooidhinisha kifo... Mimi sio mtu nayetunza Death au Obitury Records, wala sikuwepo wakati maiti inachukuliwa toka sehemu ilikokuwa imetunzwa. Jambo ambalo hukulifanyia kazi kwa wahusika isipokuwa unatafutia sababu..Na wala serikali ya Marekani haiwezi kuingia mkenge wa kuandaa mazishi ya mtu asiyekuwa na kibali hicho. balozi wetu hawezi Sifue ambaye namfahamu mimi hawezi kupelkea habari za uongo kwa kwa rais wake.. yaani jamani mnazidi kunichefua tu. Hao waliotangaza kifo cha Chifupa hawawezi kucheza mchezo kama huu kutangaza kitu ambacho hakikutokea?... kwani daktari nani si mtu anayelipwa na serikali hiyo hiyo ya Tanzania tena basi hospital yenyewe Lugalo!....

Kwa mtaji huu CCM watatawala daima, maanake ni rahisi sana kuwaondoa Wadanganyika ktk hoja muhimu na kupachika

Mkandara,

Ndio maana nilishangaa uliposema hospitali iliwahi tajwa hapa.

Haya mambo yote yanakuja kwasababu kuna wananchi tunaona tunatupiwa changa la macho, njia ya kuondoa uvumi ni kutoa facts.

Hili swali ni kwa hao wanafamilia, nimekuuliza wewe kwasababu uliandika hiyo hospitali ilitajwa.

Achana na hayo ya kwamba hili haliwezekanani au lile haliwezekani, ni uvivu wa kufikiri. Tuna mifano chungu nzima ya watu wanaofake vifo. Kuna hata familia moja hapa UK sasa wako Lupango. Walifake kifo miaka minanae, hata watoto waliamini baba yao kafa. Serikali ikaamini na kutoa death certificate, Insurance wakaamini na kulipa maelfu. Mpaka huyo baba kawa bored huko South America na kajifanya kurudi eti kapoteza kumbukumbu ndio mambo yote yakatoka.

Kwenye hili kuna pande mbili ambazo zina interest na hili jambo, Ballali mwenyewe na serikali. Walikuwa na miezi tisa ya kutafuta njia ya kujiokoa. Ghafla tunaambiwa amekufa bila hata kutoa ushahidi wa kifo, nani ataamini ujinga huo?

Unasema balozi Sefui, yeye anajua nini zaidi ya kwenda kusindikiza gogo kanisani? Si ajabu watu wa JF hapa wanajua mengi mno kuliko huyo balozi. Ndio tatizo ya kazi za kutegemea fadhila ya mtu, ningekuwa mimi nisingeweza kwenda kwenye msiba ambao una utata bila kuwa na ushahidi wa kutosha.

Mwulize huyo Sefui alienda kuaga nini?

CCM itaongoza daima shauri ya watu kama nyie ambao mnataka wananchi wakubali kila wanachoambiwa na serikali. Utaiamini hii serikali ya wasanii kwa mambo mangapi?
 
Nilikuwa na maana hospital alikokuwa amelazwa, kisha tukaambiwa karudi nyumbani hali yake iliendelea vizuri na baadaye atarudi TZ kutoa ushahidi.. yote haya hamkuyawekea mashaka isipokuwa leo mliposikia amekufa!..
Yaani mnadai kujua zaidi kuhusu maiti kuliko alipokuwa hai as if kutabalisha kitu.. sasa kama hii sio NDIVYO TULIVYO nini hasa!
 
Mkandara... kwa taarifa zote ambazo zipo unaweza kusema ni State gani Ballali amefarikia? (haijalishi kama ni nyumbani au hospitali).
 
Back
Top Bottom