Mwafrika wa Kike
JF-Expert Member
- Jul 5, 2007
- 5,185
- 60
.......maelezo mazuri, kwangu mimi naona maswali ndio kwanza yanazidi!! lakini kama alitumia jina bandia basi records huenda zipo lakini kwa jina hilo bandia!! sasa ishu hapa kwasasa iwe kutafuta jina hilo bandia ni lipi?? ingawa i doubt kama alitumia jina bandia.......!!
jioni njema, y'all.
Hilo jina liliulizwa hapa na halijatolewa bado.
Ndio maana mimi nimesisitiza hapa kwenye suala la kukataa habari za kifo na sio kusema outright kuwa Ballali is alive. Kila kitu kinachotakiwa kuthibitisha kifo hiki bado hakijafanikiwa kuthibitisha hili.
Ninatambua pia hali ya ndugu za Ballali na majonzi wanayoweza kuwa nayo kwa sasa. Silazimishi kupata jina lililotumika au kila kitu kwenye hii habari ila ukweli ni kuwa ukweli wote wa nini kilitokea kwa Ballali na kilitokea lini na wapi na ilikuwaje na records zimetolewa wapi ndio tu utaweka doubts zote hizi to rest.
Otherwise, kwa vile inaonekana kuwa Ballali ni sehemu tu ya wizi wa BoT, basi mimi kwa utaratibu ninalelekeza fight hii (kama nilivyosema kwenye post yangu ya kwanza hapa) kwa wahusika wakuu wa hii issue - Mgonja na Mramba kwa kuanzia.