Kifo cha David Balali: Kauli mbalimbali toka kwa watanzania

Kifo cha David Balali: Kauli mbalimbali toka kwa watanzania

.......maelezo mazuri, kwangu mimi naona maswali ndio kwanza yanazidi!! lakini kama alitumia jina bandia basi records huenda zipo lakini kwa jina hilo bandia!! sasa ishu hapa kwasasa iwe kutafuta jina hilo bandia ni lipi?? ingawa i doubt kama alitumia jina bandia.......!!

jioni njema, y'all.

Hilo jina liliulizwa hapa na halijatolewa bado.

Ndio maana mimi nimesisitiza hapa kwenye suala la kukataa habari za kifo na sio kusema outright kuwa Ballali is alive. Kila kitu kinachotakiwa kuthibitisha kifo hiki bado hakijafanikiwa kuthibitisha hili.

Ninatambua pia hali ya ndugu za Ballali na majonzi wanayoweza kuwa nayo kwa sasa. Silazimishi kupata jina lililotumika au kila kitu kwenye hii habari ila ukweli ni kuwa ukweli wote wa nini kilitokea kwa Ballali na kilitokea lini na wapi na ilikuwaje na records zimetolewa wapi ndio tu utaweka doubts zote hizi to rest.

Otherwise, kwa vile inaonekana kuwa Ballali ni sehemu tu ya wizi wa BoT, basi mimi kwa utaratibu ninalelekeza fight hii (kama nilivyosema kwenye post yangu ya kwanza hapa) kwa wahusika wakuu wa hii issue - Mgonja na Mramba kwa kuanzia.
 
Soma tena yaliyoandikwa na familia ya Ballali uone kuwa ilisemwa kuwa Ballali alikuwa anaishi DC kwenye walking distance ya hospitali ili apate matibabu hospitali. Hayo ya visiting nurse yote nayajua ila ninayachukulia maneno ya familia ya Ballali.

Kama Ballali alikuwa kwenye walking distance ya hospitali, basi inamaanisha kuwa alikuwa akienda hospitali kutibiwa na kama unakumbuka ile habari ya Ballali kuwa na life support nyumbani kwake ilipingwa hapa JF. Ohh kumbuka pia kuwa imesemwa hapa kuwa lilitumika jina fake kwa usalama wake.

Mtu yeyote akifia nyumbani bila medical attention (kwa mujibu wa habari za kifo cha Ballali zilizotolewa hapa) inabidi kifo chake kithibitishwe na hii office ya CME kwa DC (inajulikana kama coroner office au whatever kwenye States zingine). Ok, nilichochunguza mimi na kupata ni nothing kwenye records au reports za kifo cha Ballali kwenye office ya serikali inayohusika.

Kumbuka kuwa kama hii story ya Ballali itabadilika (kama ambavyo imekuwa inabadilika hapa JF) na kusema vingine kuhusu mazingira ya kifo chake basi na mimi nitaadjust mbinu zangu za ufuatiliaji. So far wamesema kuwa alifia home baada ya kuzidiwa na sio hospitali - kitu ambacho kinamuhitaji CME kuthibitisha kifo chake - kama hospitali au dakitari wake hajafanya hili.

Natumaini wewe utajua zaidi process ya kuita kifo cha mtu (make a call of the death, time and day) zinazofanywa kwenye sekta ya afya kama mmoja wa wataalamu kwenye hilo.

Duh, hii kali. Mwafrika wa kike, I salute you!!!

Hawa jamaa inabidi kupambana nao kisayansi. Nafikiri kuna haja ya kutafuta lawyer (ama registered private investigator) ambaye atatusaidia kuthibitisha hiki kifo. Gharama za lawyer ni kubwa, lakini I guess tunaweza piga harambee US, UK, na hata Tanzania. Ninaamini watu wa IPPMEDIA (THISDAY to be exact), Mwanahalisi, Raiamwema n.k. wanaweza kutusaidia kulipia hata half ya hii kitu. Then na sisi tunaweza amua kujipigapiga na kumalizia hizo gharama. I don't think ita-cost so much because sio kazi ya kuchukua zaidi ya masaa mawili ku-come up with a legal report.

Lawyer mwenye license ya ku-pracice US ana uwezo wa kuingia popote na kusechi information about hiki kifo. Mnaweza kufikiri HIPPAA inaweza kumzuia Lawyer kufanya hivyo. Lakini mimi nadhani HIPPAA inazuia kuangalia baadhi ya health information, not death information.

Hata kama Ballali alifia nyumbani, sheria ya US inasema kila kifo lazima kiwe certified na legally acceptable professional. Sidhani kwamba mke wa Ballali anaruhusiwa kisheria ku-certify hiki kifo. Kama watu wangekua wanajifia tu halafu vifo vyao haviwi certified, si kungekuwa na massive fraud kwenye social security system?

Kwa kuwa Ballali ni mkazi wa US kwa siku nyingi lazima atakuwa na social security number. Ballali hata kama alibadilisha jina na kuitwa Rosemary McDonald, bado kule hospitali atakuwa aliendelea kutumia social security number yake. Hospitali unaruhusiwa kutumia jina jingine, lakini health information yako yote itabakia katika ile ile original social security number yako.

Kama ikija julikana kwamba huyu jamaa hakufa, masalaleee... itakuwa ni nuksi. Maana hii ni FRAUD babkubwa.

This is the right time ya kumtafuta huyo lawyer ama Private investigator ili tu-conclude hii kitu. Let's do it now!!!
 
Duh, hii kali. Mwafrika wa kike, I salute you!!!

Nafikiri kuna haja ya kutafuta lawyer (ama registered private investigator) ambaye atatusaidia kuthibitisha hiki kifo. Gharama za lawyer ni kubwa, lakini I guess tunaweza piga harambee US, UK, na hata Tanzania. Ninaamini watu wa IPPMEDIA (THISDAY to be exact), Mwanahalisi, Raiamwema n.k. wanaweza kutusaidia kulipia hata half ya hii kitu. Then na sisi tunaweza amua kujipigapiga na kumalizia hizo gharama. I don't think ita-cost so much because sio kazi ya kuchukua zaidi ya masaa mawili ku-come up with a legal report.

Lawyer mwenye license ya ku-pracice US ana uwezo wa kuingia popote na kusechi information about hiki kifo. Mnaweza kufikiri HIPPAA inaweza kumzuia Lawyer kufanya hivyo. Lakini mimi nadhani HIPPAA inazuia kuangalia baadhi ya health information, not death information.

Hata kama Ballali alifia nyumbani, sheria ya US inasema kila kifo lazima kiwe certified na legally acceptable professional. Sidhani kwamba mke wa Ballali anaruhusiwa kisheria ku-certify hiki kifo. Kama watu wangekua wanajifia tu halafu vifo vyao haviwi certified, si kungekuwa na massive fraud kwenye social security system?

Kwa kuwa Ballali ni mkazi wa US kwa siku nyingi lazima atakuwa na social security number. Ballali hata kama alibadilisha jina na kuitwa Rosemary McDonald, bado kule hospitali atakuwa aliendelea kutumia social security number yake. Hospitali unaruhusiwa kutumia jina jingine, lakini health information yako yote itabakia katika ile ile original social security number yako.

Kama ikija julikana kwamba huyu jamaa hakufa, masalaleee... itakuwa ni nuksi. Maana hii ni FRAUD babkubwa.

This is the right time ya kumtafuta huyo lawyer ama Private investigator ili tu-conclude hii kitu. Let's do it now!!!

Mkuu mengi zaidi yanafanyika ila inaonekana kuna pose kidogo ili kuipa familia nafasi ya kutuliza akili kidogo kwenye hili. Kuna mengi hapo uliyosema sio tu kwamba hayahitaji lawywer au yoyote kwenye sheria kuyapata, bali ni kuwa pia yako wazi kwa yoyote yule akiyauliza.

Kuthibitisha kifo cha mtu hakupingani na sheria ya privacy kwenye huduma za afya. Na katika hili bado naamini kuwa ni ukweli tu ndio utaweka hii issue to rest. Uthibitisho wa kifo hiki na hospitali, au dakitari, au CME office, au office ya records za vifo ndio pekee utathibitisha kifo cha Ballali. Kwa vile so far hili halijafanyika na uchunguzi wote unapata zero records kwenye hili, bado mimi nasimamia msimamo wangu wa kutokubali hizi habari za kifo.

Hata hivyo nasisitiza kuwa, wizi wa BoT una wahusika wengi. Kama kina Mramba, Mgonja na wenzao walidhani huu ni mwisho, basi wajiandae for a very long ride ambayo itaanza muda si mrefu.
 
I agree with you 100% kwenye yote uliyosema. Vilevile nakubaliana na wewe kwamba Mgonja et al kwa kuwa bado hawajapigwa polonium, bado tunao katika mapambano yetu. Hai-make any sense kwa mkuu wa nchi kuendelea kuwabeba hawa watu kwa sababu sahihi zao zimo katika documents ambazo "marehemu" Ballali alizisaini.

Ila, mimi nafikiri tukipata a CERTIFIED LEGAL DOCUMENT from a registered lawyer kwamba this guy (Ballali) is still alive, then tutakuwa tumewapiga bao la mwaka. Ninakubaliana na wewe kwamba kila mtu anaweza kupata "public information" kuhusiana na kifo cha Ballali. Ila, bado nafikiri, tukiwa na hiyo document ambayo iko signed na mtu anayekubalika kisheria US (i.e. mwanasheria) itakuwa more credible than hizi tetesi tunazozisikia from familia ya marehemu na wengine wanao-support kifo hiki.

Tukishapata hii document, we can do so many things. Tunaweza isambaza kokote tutakapotaka... Pia individual people can do whatever they want with this document.. Mimi nita-sue in small claims court kwa lolote lile (hata kama nitasema ninawadai $ 1200 - they'll have to show up mahakamani ku-prove siwadai) ili defendant(s) watokee mahakamani kujitetea, tena ntatumia services za sheriff's Department ku-deliver hiyo court order, halafu wasijitokeze huko kortini.

Mtu huwezi ficha ukweli milele bwana!!!!!
 
I agree with you 100% kwenye yote uliyosema. Vilevile nakubaliana na wewe kwamba Mgonja et al kwa kuwa bado hawajapigwa polonium, bado tunao katika mapambano yetu. Hai-make any sense kwa mkuu wa nchi kuendelea kuwabeba hawa watu kwa sababu sahihi zao zimo katika documents ambazo "marehemu" Ballali alizisaini.

Ila, mimi nafikiri tukipata a CERTIFIED LEGAL DOCUMENT from a registered lawyer kwamba this guy (Ballali) is still alive, then tutakuwa tumewapiga bao la mwaka. Ninakubaliana na wewe kwamba kila mtu anaweza kupata "public information" kuhusiana na kifo cha Ballali. Ila, bado nafikiri, tukiwa na hiyo document ambayo iko signed na mtu anayekubalika kisheria US (i.e. mwanasheria) itakuwa more credible than hizi tetesi tunazozisikia from familia ya marehemu na wengine wanao-support kifo hiki.

Tukishapata hii document, we can do so many things. Tunaweza isambaza kokote tutakapotaka... Pia individual people can do whatever they want with this document.. Mimi nita-sue in small claims court ili defendant(s) watokee kujitetea, tena ntatumia services za sheriff's Department ku-deliver hiyo court order, halafu wasijitokeze huko kortini.

Mtu huwezi ficha ukweli milele bwana!!!!!

Mkuu,

Sidhani kama unataka kupata certified document ya kuonesha kuwa mtu fulani yuko hai. Unaweza kupata document ya kuthibitisha kifo cha mtu lakini hii ya kuthibitisha kama mtu fulani yuko hai inaonekana kinda stretched (sijui na naweza kuwa wrong kwenye hili).

So far ndio maana mimi napinga habari za kifo cha Ballali kwa kuhitaji uthibitisho wa kifo chake. Kutaka kuthibitisha kama yuko hai bado sijui ni process gani ya kisheria itatumika hapa na nitahitaji mwongozo wako kwenye hili.
 
Good observation Mwafrika wa kike.

I will ask my friend who is a lawyer in DC... Will let you know. Give me some few hours maana sasa hivi hapatikani kwenye cell... time za kazi sasa hivi.

Ila I think lazima kutakuwa kuna namna ya kutumia legal services ku-find out kama mtu kafa ama hajafa... especially when fraud is suspected, kama wale ndugu zetu wa Ki-Nigeria walivyogundulika waki-abuse Life Insurance system kwa kufoji vifo. The same applies in our case.
 
Good observation Mwafrika wa kike.

I will ask my friend who is a lawyer in DC... Will let you know. Give me some few hours maana sasa hivi hapatikani kwenye cell... time za kazi sasa hivi.

Ila I think lazima kutakuwa kuna namna ya kutumia legal services ku-find out kama mtu kafa ama hajafa... especially when fraud is suspected.

Ni kweli kuna namna ya kutafuta kujua kama mtu amekufa na hili laweza kuwa na certification kind of. Lakini kutafuta mtu kucertify kuwa mtu fulani yuko hai inahitaji mengi zaidi na muda wa kutosha wa kufanya hili. Nadhani hii itakuwa ndicho wezi waliobakia Tanzania kina Mramba na wenzake kina Mgonja wanategea kuwa tuanze kufanya hapa. Kutumia muda mwingine kumpata Ballali akiwa hai badala ya kuwapeleka mafisadi waliosalia bongo keko wanakostahili kuwa right now - ukichukulia kuwa Mgonja bado anapeta pale wizara ya fedha. Kuthibitisha kifo hasa kwenye open societies kama US ni rahisi zaidi kuliko kuthibitisha uzima wa mtu.

Ndio maana mimi nawasubiria familia ya Ballali au yoyote anayehusika hapa kuthibitisha kifo cha Ballali ili kuweka to rest hizi doubts zote.
 
God is my father, daddy, and inventor.....next.....

Any Thing or Living Person could stand in for "God", not less of which is none other than your true and only worldly Father and Inventor "Raj Patel" (who now goes by the pseudonym "Manji Supporter".) You cannot dispute this fact, as you've already admitted it not so long ago, and in fact several times, in this very forum.
 
....and your point is.......?
 
Dude, unless you happen to be intellectually challenged, why don't you read between the friggin' lines yourself, and make up your own goddamn mind?

Because I can't read anything between your dumb, stupid, and retarded nonsense that you are writing.....get it?
 
Because I can't read anything between your dumb, stupid, and retarded nonsense that you are writing.....get it?

I understand you believe yourself to be so DAMN SMART, and as shameless and cocky as you happen to be, you could even dare challenge your daddy and inventor, Raj Patel, to a game of "Who ate all the banana-peel biscuits"! Now thats some real freaky stuff right there!
 
Hahahahahahaaaa....you are three years behind.....
Get with the program and get up to speed...
 
Jamani waheshimiwa Nyani Ngabu na Nyama Hatari, si mngeanzisha thread yenu spesho ya matusi na mkai-lebo "Matusi - Open at your own risk" halafu mkawa mnatukaniana humo? Mnavuruga mtiririko wa habari nyeti.
 
I dont follow what is going on in here! Are you two trying to show off r what?
 
Back
Top Bottom