Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Basi sawa. Sipo hapa kubishana.Ni kama hujui misingi yake utadhani vinafanana, lakini CCM iko kila kona yaani ni system kamili

Bado umo usingizini, huku ukiota ndoto mbaya kabisa.CCM huwezi kuifananisha na KANU, Lazima ujue CCM siyo chama ni mfumo yaani kuitoa ni kama kutoa chumvi baharini
Jifunze kuipenda CCMBasi sawa. Sipo hapa kubishana.
Unajitekenya tu, CCM ndio chama kikubwa na chenye nguvu Africa kwa sasa. Nyie wa kelele wa mitandaoni ni wachache sanaBado umo usingizini, huku ukiota ndoto mbaya kabisa.
CCM sasa hivi ni kopo tupu. Limebaki tu na muundo ambao haushikiliwi/hauunganishwi na kitu chochote. Kwahadi kufikia hapa leo.
Samia Suluhu Hassan hatalivusha hili kopo tupu! kutojuwa kwako maswala ya aina hii, bado unaichukulia CCM katika hadhi ile ya zamani iliyoachwa na waasisi wake.
CCM siyo CCP (China Communist Party); ambao ndio muundo iliokuwa nao hapo mwanzo. Muundo huo ulianza kulegea palipoingizwa na maazimio, kama lile la Zanzibar, chini ya Mwinyi.
Shukuru sana kwamba, kutokana na udhaifu wa vyama vya upinzani, hili kopo tupu limeweza kuhimiri
Unajuwa hali ya "uchizi" huwasumbua sana watu wanaoupata?Unajitekenya tu, CCM ndio chama kikubwa na chenye nguvu Africa kwa sasa. Nyie wa kelele wa mitandaoni ni wachache sana
🤣 🤣 🤣 SwadaktaWaendesha baiskeli za kijani sidhani kama watakuelewa
Nikikuita mpumbavu utalalamika nimekutukana. Lissu hajafanyiwa ubaya wowote na Dr Samia. Ni upumbavu wake mwenyewe kuropoka maneno yaliyojaa uovu. Mahakama ndo itaamua kama hajavunja sheria. Halafu mimi sina haja ya kusoma makala za BBC wakati habari za Tanzania, Zambia na Kenya nazipata toka jikoni kabla hazijawafikia BBC ili wawaandikie wananchi wa kawaida kama wewe.Mkuu ina maana huoni uhusiano uliopo kati ya ushenzi ambao Samia anamfanyia Tundu Lissu na ushenzi ambao Lungu alimfanyia Hichelema? Hebu soma hapa chini kwanza ufunguke ubongo wako uliovurugwa na uchawa uliomo kichwani mwako. Na, je, ushenzy ambao Magufuli alimfanyia Tundu Lissu unasameheka?
Soma hapa chini uujue kwa undani ushenzi wa Lungu kwa Hichelema. Je, amemkamata na kumtia kizuizini mara ngapi?
![]()
Ugomvi wa marais ambao hata kifo hakikuweza kuumaliza - BBC News Swahili
Inawezekana ugomvi huo ulikuwa ni suala binafsi lakini limegeuka kuwa jambo la kisiasa nchini Zambia.www.bbc.com
Inasemekana behind the scene kuna shinikizo kutaka HH awafutie kesi za ufisadi Mrs Lungu na watoto wake mahakamani. Lakini inawezekanaje kumfutia kesi Mrs Lungu aliyekutwa na USD 400,000 nyumbani bila maelezo ya alikozipata?Family ya ECL imejaa uswahili sana kama familia za Magomeni bana!!! Yani Mkuu wa Nchi sio mali ya familia bali ni Mali ya umma
Kukomaa azikwe SA tena kwa Private burial ni Ujuha kabisa hio familia itamzika ECL halafu itarejea zambia kuendelea Na Maisha bure kabisa hao watu
Family imeona itumie msiba wa ECL kugain public attention, Juzi remains za ECL zilikuwa ziwe reptriated to Zambia na Everything was on Place ila later kabisa family ika deny
Good enough HH amefanya state adress na Kudai kuwa kama Taifa sasa wanazitisha muda wa Kuomboleza na Kila kitu kirudi Normal, Ametoa pia Room kwa family Kufanya engagements na Serikali kwa ajili ya State funeral ya Mkuu huyo wa Nchi Wa sita baada ya HH kutoa hio Short Hotuba kesho yake familia ya ECl imeamka na Kusema itamzika ECL South africa.
Aliyesema kukinukisha na uasi hata Mungu hapendi, aliyataka mwenyewe kuyatamka hayo maneno, misifa ya kushangiliwa na wafuasi wake ilimponza.Naingia kwenye hoja moja kwa moja pasipo kuwachosha wala kuwapotezea muda. Naomba niwapitishe kwenye kisa kichungu lakini chenye nguvu kinachotokea Zambia leo, ambacho kila dikteta wa Kiafrika anapaswa kuzingatia kwa umakini mkubwa sana.
Mnamo mwaka 2017, Edgar Lungu alikuwa Rais wa Zambia. Wakati huo, mpinzani wake mkuu, Hakainde Hichilema, alikuwa kiongozi wa upinzani tu. Lungu hakupenda kupingwa, hivyo alifanya kile ambacho viongozi wengi wa Afrika hufanya; alitumia mamlaka ya nchi kuwaadhibu wapinzani wake. Aliagiza Hakainde akamatwe na kutupwa gerezani.
Lakini mnamo 2021, mambo yalibadilika. Wananchi wa Zambia walipiga kura, na meza ikapinduka. Hakainde Hichilema akachaguliwa kuwa Rais. Edgar Lungu sasa akawa mpinzani. Akawekwa kando na akawa hana udhibiti tena.
Ilipofika mwaka 2025 Edgar Lungu akaanza kuumwa. Hali yake ilihitaji matibabu ya haraka nje ya nchi. Familia yake iliomba ruhusa kutoka kwa Serikali ya Hakainde Hichelema ili asafirishwe hadi Afrika Kusini kwa matibabu.
Lakini serikali ya Hichelema ikachelewsha ruhusa ya Lungu kwenda kutibiwa. Ruhusa haikuja haraka. Mchakato ulikuwa wa polepole, na kila walipozidi kuchelewa kulifanya hali ya afya ya Lungu kuzidi kudorora.
Mpaka walipomruhusu Lungu kusafiri, walikuwa wamechelewa. Alitua Afrika Kusini, lakini afya yake ilikuwa tayari imezorota kupita kiasi. Ndani ya siku chache, Edgar Lungu alifariki.
Sasa taifa linaomboleza, lakini uchungu katika moyo wa familia yake ni mkubwa zaidi. Wanaamini kwamba ikiwa serikali ingemruhusu kuondoka mapema, huenda angali hai hadi leo.
Katika uamuzi wa ujasiri na wa kimhemko, familia imekataa mazishi ya serikali. Hawataki serikali ambayo wanalaumu kwa mateso yake kumlaza. Badala yake wameamua kumzika Lungu huko Afrika Kusini.
Ndiyo, kwa mara ya kwanza katika historia ya Afrika, mkuu wa zamani wa nchi atazikwa katika nchi ya kigeni. Hii sio tu kuhusu Zambia. Huu ni ujumbe kwa viongozi wote wa Afrika wanaotumia madaraka kunyamazisha upinzani.
Nguvu ni ya muda. Watu unaowaonea leo wanaweza kukuongoza kesho. Na jiulize siku hiyo ikifika watakuchukuliaje? Hebu kisa hiki cha Edgar Lungu kiwe onyo. Usitumie madaraka kukandamiza watu. Kwa sababu bila kujali jinsi unavyopanda juu, siku moja meza itapinduka.
Pumzika kwa Amani Edgar Lungu.
Wapo wengi wamezikwa nje kamaNaingia kwenye hoja moja kwa moja pasipo kuwachosha wala kuwapotezea muda. Naomba niwapitishe kwenye kisa kichungu lakini chenye nguvu kinachotokea Zambia leo, ambacho kila dikteta wa Kiafrika anapaswa kuzingatia kwa umakini mkubwa sana.
Mnamo mwaka 2017, Edgar Lungu alikuwa Rais wa Zambia. Wakati huo, mpinzani wake mkuu, Hakainde Hichilema, alikuwa kiongozi wa upinzani tu. Lungu hakupenda kupingwa, hivyo alifanya kile ambacho viongozi wengi wa Afrika hufanya; alitumia mamlaka ya nchi kuwaadhibu wapinzani wake. Aliagiza Hakainde akamatwe na kutupwa gerezani.
Lakini mnamo 2021, mambo yalibadilika. Wananchi wa Zambia walipiga kura, na meza ikapinduka. Hakainde Hichilema akachaguliwa kuwa Rais. Edgar Lungu sasa akawa mpinzani. Akawekwa kando na akawa hana udhibiti tena.
Ilipofika mwaka 2025 Edgar Lungu akaanza kuumwa. Hali yake ilihitaji matibabu ya haraka nje ya nchi. Familia yake iliomba ruhusa kutoka kwa Serikali ya Hakainde Hichelema ili asafirishwe hadi Afrika Kusini kwa matibabu.
Lakini serikali ya Hichelema ikachelewsha ruhusa ya Lungu kwenda kutibiwa. Ruhusa haikuja haraka. Mchakato ulikuwa wa polepole, na kila walipozidi kuchelewa kulifanya hali ya afya ya Lungu kuzidi kudorora.
Mpaka walipomruhusu Lungu kusafiri, walikuwa wamechelewa. Alitua Afrika Kusini, lakini afya yake ilikuwa tayari imezorota kupita kiasi. Ndani ya siku chache, Edgar Lungu alifariki.
Sasa taifa linaomboleza, lakini uchungu katika moyo wa familia yake ni mkubwa zaidi. Wanaamini kwamba ikiwa serikali ingemruhusu kuondoka mapema, huenda angali hai hadi leo.
Katika uamuzi wa ujasiri na wa kimhemko, familia imekataa mazishi ya serikali. Hawataki serikali ambayo wanalaumu kwa mateso yake kumlaza. Badala yake wameamua kumzika Lungu huko Afrika Kusini.
Ndiyo, kwa mara ya kwanza katika historia ya Afrika, mkuu wa zamani wa nchi atazikwa katika nchi ya kigeni. Hii sio tu kuhusu Zambia. Huu ni ujumbe kwa viongozi wote wa Afrika wanaotumia madaraka kunyamazisha upinzani.
Nguvu ni ya muda. Watu unaowaonea leo wanaweza kukuongoza kesho. Na jiulize siku hiyo ikifika watakuchukuliaje? Hebu kisa hiki cha Edgar Lungu kiwe onyo. Usitumie madaraka kukandamiza watu. Kwa sababu bila kujali jinsi unavyopanda juu, siku moja meza itapinduka.
Pumzika kwa Amani Edgar Lungu.
Jifunze kuipenda utaiacha madarani wewe na wanao piaUnajuwa hali ya "uchizi" huwasumbua sana watu wanaoupata?
Nilipo kujibu nilijuwa namjibu chizi; kwa sababu nakutambua hivyo siku zote humu JF.
Sasa unataka nini hapa, nishiriki kwenye mjadala wa kichizi unaotokana na Bange nyingi kuharibu kichwa chako?Jifunze kuipenda utaiacha madarani wewe na wanao pia
Huyo chizi achana naye mkuu. Anataka kutuletea ushabiki mandazi usiokuwa na faida yoyote kwa maendeleo ya nchi hii. Muulize CCM imeleta manufaa gani tangu nchi ipate uhuru. Hajui chochote. Anakuja hapa kutunisha makalio na kutuumiza kichwa bila sababu ya msingi.Sasa unataka nini hapa, nishiriki kwenye mjadala wa kichizi unaotokana na Bange nyingi kuharibu kichwa chako?
Peleka ng'ombe hizooo .....😂😂Yeah, nadhani vyama vinavyoendesha siasa za kutisha wapinzani, kuteka na kuua wanaowakosoa, kusomba watu kwenye malori kupeleka mikutanoni, kuhonga wananchi kofia, baiskeli, khanga na tishet Ni CCM pekee kwa sasa. Mifano hiyo hapo
View attachment 3377896
View attachment 3377897
View attachment 3377899
Huu ujumbe umfikie ajuza samiaNaingia kwenye hoja moja kwa moja pasipo kuwachosha wala kuwapotezea muda. Naomba niwapitishe kwenye kisa kichungu lakini chenye nguvu kinachotokea Zambia leo, ambacho kila dikteta wa Kiafrika anapaswa kuzingatia kwa umakini mkubwa sana.
Mnamo mwaka 2017, Edgar Lungu alikuwa Rais wa Zambia. Wakati huo, mpinzani wake mkuu, Hakainde Hichilema, alikuwa kiongozi wa upinzani tu. Lungu hakupenda kupingwa, hivyo alifanya kile ambacho viongozi wengi wa Afrika hufanya; alitumia mamlaka ya nchi kuwaadhibu wapinzani wake. Aliagiza Hakainde akamatwe na kutupwa gerezani.
Lakini mnamo 2021, mambo yalibadilika. Wananchi wa Zambia walipiga kura, na meza ikapinduka. Hakainde Hichilema akachaguliwa kuwa Rais. Edgar Lungu sasa akawa mpinzani. Akawekwa kando na akawa hana udhibiti tena.
Ilipofika mwaka 2025 Edgar Lungu akaanza kuumwa. Hali yake ilihitaji matibabu ya haraka nje ya nchi. Familia yake iliomba ruhusa kutoka kwa Serikali ya Hakainde Hichelema ili asafirishwe hadi Afrika Kusini kwa matibabu.
Lakini serikali ya Hichelema ikachelewsha ruhusa ya Lungu kwenda kutibiwa. Ruhusa haikuja haraka. Mchakato ulikuwa wa polepole, na kila walipozidi kuchelewa kulifanya hali ya afya ya Lungu kuzidi kudorora.
Mpaka walipomruhusu Lungu kusafiri, walikuwa wamechelewa. Alitua Afrika Kusini, lakini afya yake ilikuwa tayari imezorota kupita kiasi. Ndani ya siku chache, Edgar Lungu alifariki.
Sasa taifa linaomboleza, lakini uchungu katika moyo wa familia yake ni mkubwa zaidi. Wanaamini kwamba ikiwa serikali ingemruhusu kuondoka mapema, huenda angali hai hadi leo.
Katika uamuzi wa ujasiri na wa kimhemko, familia imekataa mazishi ya serikali. Hawataki serikali ambayo wanalaumu kwa mateso yake kumlaza. Badala yake wameamua kumzika Lungu huko Afrika Kusini.
Ndiyo, kwa mara ya kwanza katika historia ya Afrika, mkuu wa zamani wa nchi atazikwa katika nchi ya kigeni. Hii sio tu kuhusu Zambia. Huu ni ujumbe kwa viongozi wote wa Afrika wanaotumia madaraka kunyamazisha upinzani.
Nguvu ni ya muda. Watu unaowaonea leo wanaweza kukuongoza kesho. Na jiulize siku hiyo ikifika watakuchukuliaje? Hebu kisa hiki cha Edgar Lungu kiwe onyo. Usitumie madaraka kukandamiza watu. Kwa sababu bila kujali jinsi unavyopanda juu, siku moja meza itapinduka.
Pumzika kwa Amani Edgar Lungu.
Wewe kwa sababu ya uchizi na uchawa huna akili za kusoma maandiko konki kama haya kwa kuwa akili zako umezikabidhi Lumumba. Upo sahihi kabisa mkuu. Mungu akufanyie wepesi akurudishie akili zako uanze kujitambua.Nikikuita mpumbavu utalalamika nimekutukana. Lissu hajafanyiwa ubaya wowote na Dr Samia. Ni upumbavu wake mwenyewe kuropoka maneno yaliyojaa uovu. Mahakama ndo itaamua kama hajavunja sheria. Halafu mimi sina haja ya kusoma makala za BBC wakati habari za Tanzania, Zambia na Kenya nazipata toka jikoni kabla hazijawafikia BBC ili wawaandikie wananchi wa kawaida kama wewe.
Hata kama hajausoma, humu ndani kuna chawa wake akina MamaSamia2025 , ChoiceVariable na Tlaatlaah watamfokishia ujumbe.Huu ujumbe umfikie ajuza samia