Kifo cha Edgar Lungu na uhaini wa Tundu Lissu ni funzo kwa Rais Samia

CCM huwezi kuifananisha na KANU, Lazima ujue CCM siyo chama ni mfumo yaani kuitoa ni kama kutoa chumvi baharini
Bado umo usingizini, huku ukiota ndoto mbaya kabisa.

CCM sasa hivi ni kopo tupu. Limebaki tu na muundo ambao haushikiliwi/hauunganishwi na kitu chochote. Kwahadi kufikia hapa leo.

Samia Suluhu Hassan hatalivusha hili kopo tupu! kutojuwa kwako maswala ya aina hii, bado unaichukulia CCM katika hadhi ile ya zamani iliyoachwa na waasisi wake.
CCM siyo CCP (China Communist Party); ambao ndio muundo iliokuwa nao hapo mwanzo. Muundo huo ulianza kulegea palipoingizwa na maazimio, kama lile la Zanzibar, chini ya Mwinyi.
Shukuru sana kwamba, kutokana na udhaifu wa vyama vya upinzani, hili kopo tupu limeweza kuhimiri
 
Unajitekenya tu, CCM ndio chama kikubwa na chenye nguvu Africa kwa sasa. Nyie wa kelele wa mitandaoni ni wachache sana
 
Unajitekenya tu, CCM ndio chama kikubwa na chenye nguvu Africa kwa sasa. Nyie wa kelele wa mitandaoni ni wachache sana
Unajuwa hali ya "uchizi" huwasumbua sana watu wanaoupata?
Nilipo kujibu nilijuwa namjibu chizi; kwa sababu nakutambua hivyo siku zote humu JF.
 
Nikikuita mpumbavu utalalamika nimekutukana. Lissu hajafanyiwa ubaya wowote na Dr Samia. Ni upumbavu wake mwenyewe kuropoka maneno yaliyojaa uovu. Mahakama ndo itaamua kama hajavunja sheria. Halafu mimi sina haja ya kusoma makala za BBC wakati habari za Tanzania, Zambia na Kenya nazipata toka jikoni kabla hazijawafikia BBC ili wawaandikie wananchi wa kawaida kama wewe.
 
Inasemekana behind the scene kuna shinikizo kutaka HH awafutie kesi za ufisadi Mrs Lungu na watoto wake mahakamani. Lakini inawezekanaje kumfutia kesi Mrs Lungu aliyekutwa na USD 400,000 nyumbani bila maelezo ya alikozipata?
 
Aliyesema kukinukisha na uasi hata Mungu hapendi, aliyataka mwenyewe kuyatamka hayo maneno, misifa ya kushangiliwa na wafuasi wake ilimponza.
 
Wapo wengi wamezikwa nje kama
Iddi amini
Mobutu seseko,
Mwisho wa ubaya ni aibu
 
Unajuwa hali ya "uchizi" huwasumbua sana watu wanaoupata?
Nilipo kujibu nilijuwa namjibu chizi; kwa sababu nakutambua hivyo siku zote humu JF.
Jifunze kuipenda utaiacha madarani wewe na wanao pia
 
Wapo wengi wamezikwa nje kama
Iddi amini
Mobutu seseko,
Mwisho wa ubaya ni aibu
Ubaya ubwela. Chifu Hangaya akiendelea na utekaji, akifa atazikwa kwa mababu zake Uarabuni.
 
Unajitekenya tu, CCM ndio chama kikubwa na chenye nguvu Africa kwa sasa. Nyie wa kelele wa mitandaoni ni wachache sana
Ukubwa wake una manufaa gani kwa raia wanaowatawala? Una ushabiki wa kijinga sana mkuu.
 
Sasa unataka nini hapa, nishiriki kwenye mjadala wa kichizi unaotokana na Bange nyingi kuharibu kichwa chako?
Huyo chizi achana naye mkuu. Anataka kutuletea ushabiki mandazi usiokuwa na faida yoyote kwa maendeleo ya nchi hii. Muulize CCM imeleta manufaa gani tangu nchi ipate uhuru. Hajui chochote. Anakuja hapa kutunisha makalio na kutuumiza kichwa bila sababu ya msingi.
 
Unajitekenya tu, CCM ndio chama kikubwa na chenye nguvu Africa kwa sasa. Nyie wa kelele wa mitandaoni ni wachache sana
Huu ndio ukubwa wa CCM unaosema. Kama ni huu, nakubaliana nawe πŸ’― % mkuu
Your browser is not able to display this video.
 
Huu ujumbe umfikie ajuza samia
 
Wewe kwa sababu ya uchizi na uchawa huna akili za kusoma maandiko konki kama haya kwa kuwa akili zako umezikabidhi Lumumba. Upo sahihi kabisa mkuu. Mungu akufanyie wepesi akurudishie akili zako uanze kujitambua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…