Kifo cha Edgar Lungu na uhaini wa Tundu Lissu ni funzo kwa Rais Samia

Nilitegemea kwamba Hichilema aliyekuwa mpinzani asifanye Yale ambayo Rungu alifanya Ili kuonesha tofauti.

Kama hakuna hiyo tofauti na ni mwendo wa kukomeshana,nawasihi CCM wawakomeshe vya kutosha Wapinzani maana siku wakishika Dola watawakomesha wao pia.

So hakuna funzo hapo Bali ndio siasa halisi za Afrika.
 
Kwani CCM watawakomesha wapinzani mara ngapi? Kitendo cha kujaribu kumuua Tundu Lissu na kumfungulia mashtaka bandia ya uhaini, lazima mtakuja kulipa sawa sawa na matendo yenu.
 
Umezaliwa lini hadi uandike hivi? Hii si mara ya kwanza mkuu wa nchi kuzikwa nje ya taifa lake. Nikupeleke hapo jirani tu Uganda lddi Amini Dada. Nadhani umeelewa.
Hata hivyo ECL anazikwa Juni 23,2025 nchini Zambia kwa heshima zote na kwa gharama za Serikli.
 
We bwege Tanzania na Zambia kwenye suala la siasa ni vitu viwili tofauti. LinganishaTanzania ya CCM na China ya CPC. Mtaokoteza kila takataka ila sisi tuna siasa yetu ya kipekee Afrika.
WE NI MAVI. It is just matter of TIME, Tuendelee kuomba uzima wa AFYA, Malipo ni hapa hapa
 
ramli nonsense kabisaa hizo gentleman 🐒
Mpelekee ujumbe chawa wake. Siku akifia Uarabuni atazikwa hukohuko kwa wajomba zake. Rais Tundu Lissu hatakubali mwili wake urejeshwe nyumbani kutokana na huu uhaini wa mchongo aliomtungia. Magufuli alinusurika kumuua kwa risasi halafu leo hii Chifu Hangaya naye anakuja kumfungulia mashtaka ya uwongo na kumuweka kwenye selo isiyokuwa na hewa, choo na maji? Anataka kumuua kabla hajasikilizwa mahakamani? Kwanini amfunge karibu na chumba cha watu waliohukumiwa kunyongwa wakati bado hajahukumiwa? Jaribu kuwa wastaarabu japo kidogo. Mateso mnayomtesa Lissu yatakuja kuwageukia wapuuzi wakubwa nyie!
 
WE NI MAVI. It is just matter of TIME, Tuendelee kuomba uzima wa AFYA, Malipo ni hapa hapa
Hawo mbweha hawajitambui kabisa. Wanadhani watatawala milele!
 
Kwa hiyo unakubaliana nami kuwa dikteta Chifu Hangaya atazikwa nje ya nchi kama dikteta mwenzake Idd Amin? Mpaka hapo nadhani tupo pamoja mkuu.
 
Kwa hiyo unakubaliana nami kuwa dikteta Chifu Hangaya atazikwa nje ya nchi kama dikteta mwenzake Idd Amin? Mpaka hapo nadhani tupo pamoja mkuu.
Umenoa.
Nilikuwa nasahihisha urongo uliotaka kutuamisha. Hayo mengine si yangu.
 
Usisahau
NO REFORMS NO ELECTION
 
Aisee
 
Wazungu wanatukumbusha kwamba what comes around, goes around. Wema hauozi. Watendee mema wapinzani wako wa kisiasa kwani hujui kesho Mungu atawapa madaraka gani ili nao wakunyooshe jinsi ulivyokuwa ukiwanyoosha.
Hapo sasa yaani madaraka ukiyatumia vibaya kuna kuisha vibaya , wajitathimini sana .
 

Former First Lady's Theft Case Adjourned to July 25

The Lusaka Magistrate Court has adjourned to July 25 the case in which former First Lady ESTHER LUNGU and five others are facing charges of theft involving motor vehicles.

The matter, which was scheduled for hearing today, did not take off after defense lawyers informed the court that Mrs. LUNGU is currently out of the country and unable to attend proceedings.

Mrs. LUNGU and four co-accused are facing four counts of theft, involving three vehicles allegedly belonging to Elizabeth Phiri, a relative of the former First Lady.

The matter was held in chambers before Magistrate MBUYWANA SINVULA who subsequently adjourned the case to July 25, 2025 for continuation of trial.
#courts

ZNBC Today
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…