Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 10,963
- 13,287
Haaaaaa....ujue Kuna vitu vingine unaleta complain za kitoto japo wewe ni mtu mzimaHahahaaa.
See, ni stori tu hizo.
Kama siyo stori tu, watu wanithibitishie kweli kuwa joka linaweza kumpa mtu hela!
Ni stori tu hizo. Na ndo maana hata wewe umeishia kusema uliwahi “kuambiwa”.
Hayapo. Kama yapo, thibitisha.Haaaaaa....ujue Kuna vitu vingine unaleta complain za kitoto japo wewe ni mtu mzima
Udhibitisho sio lazima uone au uletewe
Yote kwa yote haya mambo yapo sana
Ulimbukeni gani?
Hakuna joka wala majoka yatemayo pesa.
Ni stori tu hizo.
Funza wanabadilika na kuwa hela?Kama haujui sema haujui..
Kuna mpaka utajri wa funza wanabadilika wanakuwa hela.
Pesa za matambiko na makafara huwa lazima kuwe na kitu joka.nlishawahi ona testimony live mahali pa kidiniMwenzangu mi mwenyewe naogopag nyoka ila kama linatoa pesa nalitaka kwa kwel, Niko radhi nilale nalo kitandani[emoji23][emoji23]
Hizo ni rumors tu, japokua mikasa kama hiyo ipo sana tu , hakuna anayejua kama ni kweli au si Kweli
Kila mtu anataka hilo joka, Tatizo connection ndo hatuna, labda tuwatafute marafiki wa ginimbi
Funza wanabadilika na kuwa hela?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hakuna lolote. Fiksi tu hizo.
Thats my binamu [emoji7][emoji7][emoji3590][emoji3590], binamu nakupenda, tupendane sisi tu sisi ni zaidi ya ndugu, achana na vijana hao watakusumbua tu, mtu serious tutamjua tu as long utakua unanishirikisha nitakuambia who real loves you, ila tupeane sisi mautamu kwanza lets love lead [emoji3590][emoji3590][emoji3590]....Wanaume wenyewe matapeli bora niolewe na binamu yangu mie nimpe utamu[emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeona mazishi leo wala hakukua na hyo White’s kama alivyosema marehemu , watu wanalia balaa
Fiksi tu hizo!Haya.endelea hivyo hivyo kushangaa.
Fiksi tu hizo!
Hakuna joka la hela wala mjusi wa shilingi.
Pesa za matambiko na makafara huwa lazima kuwe na kitu joka.nlishawahi ona testimony live mahali pa kidini
Ila sasa unaweza ombwa mtoa kafara mwanao mpendwa tena wa pekee,mapenzi wako,mamako etc
Mwisho kafara ikikosekana wanakuchukua wewe
Na pesa unakuwa unazikuta mahali maalum mfano kabatini,halafu hapo kwenye hilo eneo la kutolea pesa wanakupa matunguli yao wanaita ndo mbegu.kila siku usiku saa nane sharti uamke unasikia sijui upepo unavuma joka hili bonge la viper[emoji1787][emoji1787] limekuja kukutembelea
Yanaongea,asubuhi ukifungua kabati madollar kama yote yamejipanga
Ngoja niishie hapa
Sasa kwa maisha haya utaishi na familia kweli?
Kama ndege zinashika moto, seuze gari??Juzi ferari yake ilitaka kuungua Moto.
Jiulize gari Kama Ferrari inaweza kushika Moto kirahisi rahisi?.
Kama ndege zinashika moto, seuze gari??
Kama ndege zinashika moto, seuze gari??
Mambo ya mali zake ni habari zake.Inategemea kwenye mazingira gani.
Tuombe uzima alafu tuone hiizo Mali atarithi nani alafu tutajionea wenyewe
Mambo ya mali zake ni habari zake.
Mi sijali.
Ila usiniambie eti kuna joka ndo litarithi [emoji1787].
Inawezekana zisiwe halali.Mwingine huyu.
Ananunua mahindi gunia 70,000 yeye anauza 42,000.
Utasema Mali zake za halali?View attachment 1626281
Kwani RR nani kakuambia kwamba ni fire proof?Mali Kama hizo MTU UFA NA MALI ZAKE.
Rolls Royce mpaka iungue Moto si mchezo.
Gari zinazoaminika duniani ilipuke kiboya boya vile?
Kwani RR nani kakuambia kwamba ni fire proof?
We naona unasadiki sadiki mambo tu.