Tetesi: Kifo cha ginimbi, mazito yaibuka...

Tetesi: Kifo cha ginimbi, mazito yaibuka...

Hahahaaa.

See, ni stori tu hizo.

Kama siyo stori tu, watu wanithibitishie kweli kuwa joka linaweza kumpa mtu hela!

Ni stori tu hizo. Na ndo maana hata wewe umeishia kusema uliwahi “kuambiwa”.
Haaaaaa....ujue Kuna vitu vingine unaleta complain za kitoto japo wewe ni mtu mzima
Udhibitisho sio lazima uone au uletewe

Yote kwa yote haya mambo yapo sana
 
Mwenzangu mi mwenyewe naogopag nyoka ila kama linatoa pesa nalitaka kwa kwel, Niko radhi nilale nalo kitandani[emoji23][emoji23]

Hizo ni rumors tu, japokua mikasa kama hiyo ipo sana tu , hakuna anayejua kama ni kweli au si Kweli

Kila mtu anataka hilo joka, Tatizo connection ndo hatuna, labda tuwatafute marafiki wa ginimbi
Pesa za matambiko na makafara huwa lazima kuwe na kitu joka.nlishawahi ona testimony live mahali pa kidini
Ila sasa unaweza ombwa mtoa kafara mwanao mpendwa tena wa pekee,mapenzi wako,mamako etc
Mwisho kafara ikikosekana wanakuchukua wewe
Na pesa unakuwa unazikuta mahali maalum mfano kabatini,halafu hapo kwenye hilo eneo la kutolea pesa wanakupa matunguli yao wanaita ndo mbegu.kila siku usiku saa nane sharti uamke unasikia sijui upepo unavuma joka hili bonge la viper[emoji1787][emoji1787] limekuja kukutembelea
Yanaongea,asubuhi ukifungua kabati madollar kama yote yamejipanga
Ngoja niishie hapa

Sasa kwa maisha haya utaishi na familia kweli?
 
Wanaume wenyewe matapeli bora niolewe na binamu yangu mie nimpe utamu[emoji23][emoji23][emoji23]

Nimeona mazishi leo wala hakukua na hyo White’s kama alivyosema marehemu , watu wanalia balaa
Thats my binamu [emoji7][emoji7][emoji3590][emoji3590], binamu nakupenda, tupendane sisi tu sisi ni zaidi ya ndugu, achana na vijana hao watakusumbua tu, mtu serious tutamjua tu as long utakua unanishirikisha nitakuambia who real loves you, ila tupeane sisi mautamu kwanza lets love lead [emoji3590][emoji3590][emoji3590]....
 
Pesa za matambiko na makafara huwa lazima kuwe na kitu joka.nlishawahi ona testimony live mahali pa kidini
Ila sasa unaweza ombwa mtoa kafara mwanao mpendwa tena wa pekee,mapenzi wako,mamako etc
Mwisho kafara ikikosekana wanakuchukua wewe
Na pesa unakuwa unazikuta mahali maalum mfano kabatini,halafu hapo kwenye hilo eneo la kutolea pesa wanakupa matunguli yao wanaita ndo mbegu.kila siku usiku saa nane sharti uamke unasikia sijui upepo unavuma joka hili bonge la viper[emoji1787][emoji1787] limekuja kukutembelea
Yanaongea,asubuhi ukifungua kabati madollar kama yote yamejipanga
Ngoja niishie hapa

Sasa kwa maisha haya utaishi na familia kweli?

Sasa mi itakuaje hakuna ninayempenda kwenye familia yangu[emoji23][emoji23]

Hyo mambo ya utajiri wa kafara nasikia pemba ndo yako , wanakuuliza kabisa unataka kuwaona au hutaki, rafiki yangu alitaka kuwaona , wakamwonyesha joka la ajabu, Lina sura ya kutisha sana Yan mfano wake hakuna, anatisha hata kuliko neno lenyewe kutisha, kichwa kama nusu mtu nusu nyoka na anamuonekano mbaya sana, anadai walimpaka dawa uson hili asizimie wala kufa kwa mshtuko

Mpaka kesho aligoma kusema ila Ali sema ni pemba
 
Jamaa alikuwa na mawe,lakini ukimuangalia ni mshamba fulani yaani ka mchimba chumvi hiviii,muonekano wake hauendani kabisa na maisha aliyotaka tumuone akiishi
 
Mwingine huyu.
Ananunua mahindi gunia 70,000 yeye anauza 42,000.
Utasema Mali zake za halali?
Kama ndege zinashika moto, seuze gari??
Screenshot_20201114-130934.jpg
 
Mali Kama hizo MTU UFA NA MALI ZAKE.
Rolls Royce mpaka iungue Moto si mchezo.
Gari zinazoaminika duniani ilipuke kiboya boya vile?
Kwani RR nani kakuambia kwamba ni fire proof?

We naona unasadiki sadiki mambo tu.
 
Back
Top Bottom