Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 24,893
- 47,768
Utakua ni mbobezi sanaNapendag sana wanaume dizain ya vunja bei na ginimbi, yan najisikia kweli nipo na Mwanaume [emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utakua ni mbobezi sanaNapendag sana wanaume dizain ya vunja bei na ginimbi, yan najisikia kweli nipo na Mwanaume [emoji23][emoji23]
mi pia nashangaa mwenzangu jamaa mbona ana sura ya kiumeMbona ginimbi handsome tu Jaman , halafu ana sura ya kiume, au mlitaka awe na sura kama nuhu mziwanda au richmitindo, mi wanaume kama hawa ndo wananilowesha chupi sio weupe watoto wa mama[emoji23][emoji23]
Yaani hata sijui tatizo nini,!maana wamekazana kudis eti alikuwa ana sura ngumu,....vijana tuna haja ya kutafuta pesa kwa kweli.Mkuu, Joannah halafu mbaya zaidi ni kwamba wanaolalamika wengi ni wanaume.
Ninapoona mwanaume analalamika kisa sura ya mwanaume mwenzie ambaye amafanikiwa kiFedha (multi-millionaire in US dollars), Hapo huwa nashindwa kuelewa, je ni Wivu ama nini?
Vijana tutafute pesa tuache jealous za kipuuzi.
View attachment 1625416Joka kama la GINIMBI
Ujue unazingua, hahahahha hapo pa miamala tofauti nimecheka sana, kwamba miamala ya joka na ya gas sio? Muache binamu na stori zake buana we!Sasa warumi kama unapenda pesa na unasema tetesi ni kwamba jamaa alikua na joka si uende ukalichukue nawewe uwe billionaire???
Vinginevyo namie naungana na mwamba Nyani Ngabu kwamba hizi ni changamsha genge tu.
Kama joka lilikua lina sababisha ukwasi wote huo inamaana biashara za kusambaza gas ilikua ni hadaa na hiyo pesa inachanganywa na zinazoletwa na joka au hizo ni miamala tofauti?
Ujue unazingua, hahahahha hapo pa miamala tofauti nimecheka sana, kwamba miakala ya joka na ya gas sio? Muache binamu na stori zake buana we!
Btw, umefika?
hakuna cha joka wala bibi yake joka,
huyo alikua tapeli kama kina Ivan.
nyie matapeli wenu si hawa wa "tuma ile pesa kwenye namba hii" 🤣 🤣 🤣Utapeli wa level zake huwez kuufanya bila kushirikiana na nguvu za Giza binamu
Ingawa marehemu alikua ni msomi mzuri tu , alikua na masters ya business administration, sasa wenzangu na mie mnataka kuwa kama ginimbi hata certificate hamna
Uzuri matapel wa nchi za wenzetu wako smart sana kichwan , wanatapel had wazungu wenye elimu zao za juu sio bongo hapa, hata kiingereza kuongea shida Sijui wanamtapel nani
nyie matapeli wenu si hawa wa "tuma ile pesa kwenye namba hii" [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Ujue unazingua, hahahahha hapo pa miamala tofauti nimecheka sana, kwamba miamala ya joka na ya gas sio? Muache binamu na stori zake buana we!
Btw, umefika?
Binamu nyama ya hamu... Tunapinduana tu kama vipi tukiona zina kaa sawa vipimo vipo sawa, hapo kwenye kyupi kuloa umemstua binamu nakujilambalamba[emoji39]Midude gan tena binam na wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16]
Vipi yule jamaa wa Uganda nae si alizikwa na hela? Kuna mtu alikwenda kufungua kesi mahakamani kupinga yule jamaa kuzikwa n a hela, je yule mfunguaji wa kesi alifanikiwa?C basi tu jeur ya pesa , na ajaribu kwenda kuzifukua mtu , cha moto watakiona
Mrithi wa mchizi anatakiwa arithi na hilo joka vichwa mbiliC basi tu jeur ya pesa , na ajaribu kwenda kuzifukua mtu , cha moto watakiona