Kifo cha Hayati Magufuli kilivyosababisha Stevev Makigo bosi wa Mayanga Construction azimie mara tatu

SAWA.
Ila picha iliyojengeka kuhusu ule uwanja, ilinipa makisio ya juu zaidi kuliko hiyo bilioni 53 unayoeleza hapa.
Tumia mitandao vizuri,unaweza kugoogle utaona kila kitu bro.
 
Ule uwanja ulikua na kazi moja tu,, kumrudisha boss home bila kupita mwanza airport, hasa awapo na mizigo isiyotaka masuali mengi.. (money)😁😁
Mawazo yako matamu

Shida ni kwambaa!! Ndivyo alivyowaza? Au tu kila hisia zako ni lazima ziwe hivyo kumhusu?
 
Hali ilivyo kwa sasa uwanja wananchi wanautumia kuanika mazao na shughuli nyingine za kijamii hakuna ndege inatua chato kwakifupi hela za watanzania zimepotea.
 
Hali ilivyo kwa sasa uwanja wananchi wanautumia kuanika mazao na shughuli nyingine za kijamii hakuna ndege inatua chato kwakifupi hela za watanzania zimepotea.
Huko kichwani mwa Magufuli kulikuwa na mkanganyiko wa ajabu sana.
Baadhi ya mambo aliyoyafanya ni yeye tu angeweza kuyaeleza kwa nini anayafanya.

Lakini dalili zilikuwepo toka mwanzo, hata kabla ya urais wake.
Unakumbuka yale mataa ya barabarani mjini Chato yaliyokuwa yakitumika kuwavusha punda eneo la barabara?
Mji ambao hata magari hamsini yalikuwa hayapo!
 
Kwa hiyo ulikuwepo wakati anazimia?
Au na wewe umepewa simulizi? Haahahahahaha
Baada ya hii chai leta chai nyingine kuhusu Magufuli…hahahaha na uzuri watu wameshajua wewe ni mtunzi mzuri…….😂😂😂😂😂😂😂
 
Bosi mimi mbona sio hodari wa kutunga stori we amini ninachopost
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…