Kifo cha Hayati Magufuli kilivyosababisha Stevev Makigo bosi wa Mayanga Construction azimie mara tatu

Huyo ndiye alikuwa msimamizi wa wizi wa Magufuli kupitia hiyo kampuni yake
 
Kuna baadhi ya watu wanasema Mwamba JPM hajaacha "legacy" lakini JF mpaka leo miaka miwili Mwamba JPM ameondoka bila threads zake JF inapooza kama kuna msiba. Watu wanataka kusikia habari zake tu. Ziwe nzuri, ziwe mbaya. Hawataki kusikia habari za mikutano ya Chadema wala sijui Mama kaagiza mchele kutoka nje baada ya kuuza wetu nje! Ahahahahah!

Watu wanataka habari za Mwamba JPM tu. Hata kama ni za uongo kama hii. Wewe leta tu! Watu wanazitaka ili wasisimke!!
 
Kumbe,lakini mi huwa naleta za ukweli,ukweli mtupu
 
Bwana mdukuzi umekula umeshiba unaropoka tu 😊😊😊

Kuna wajinga wanatiririka hapa kwenye comments eti wana wasiwasi na wewe utakuwa TISS 😊😊😊... hivi mnadhani TISS huwaga ni wajingawajinga wa kuzungumza vya hovyo visivyojulikana na visivyo na uhakika wapate tu attention kutoka kwa raia wajinga wa design hii?!

Haya baadae uje ulete kisa kuwa aliuwawa na Mzee wa watu mzee Kikwete... Bin-Adam tuna kasumba sana! 😊
 
WEWE NI MUONGO
 
hohehahe ndugu yangu sio rahisi kumuua incumbent president,tena suspect awe a mere citizen ,hata kama ni rais mstaafu,unafahamu Rais ni amiri jeshi mkuu wa vyombo vya ulinzi na usalama,kuuliwa na raia ni kashfa na uzembe sana kwa victim

Ninachoamini Magufuli alikuwa mgonjwa siku nyingi na siku yake ilifika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…