babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Lugumi nayo ya kwake tena tuseme hivyo.Fuatilia kisa cha Lugumi utaelewa vizuri
Hivi huyo mtu upuuzi wote mnamwangushia anawezaje kumudu mambo yote hayo kwa wakati mmoja.
Mnakaa mnaandika tu upuuzi wenu, Magu sio mtakatifu kihivyo ila this is too much mnavyomchafua ,na ni kwasababu hayuko hai.😪
Ila Mungu anawaona pumbavu nyie mtakufa kifo kibaya sana.
Muda utaongea