Kifo cha Hayati Magufuli kilivyosababisha Stevev Makigo bosi wa Mayanga Construction azimie mara tatu

Kifo cha Hayati Magufuli kilivyosababisha Stevev Makigo bosi wa Mayanga Construction azimie mara tatu

Fuatilia kisa cha Lugumi utaelewa vizuri
Lugumi nayo ya kwake tena tuseme hivyo.
Hivi huyo mtu upuuzi wote mnamwangushia anawezaje kumudu mambo yote hayo kwa wakati mmoja.
Mnakaa mnaandika tu upuuzi wenu, Magu sio mtakatifu kihivyo ila this is too much mnavyomchafua ,na ni kwasababu hayuko hai.😪
Ila Mungu anawaona pumbavu nyie mtakufa kifo kibaya sana.
Muda utaongea
 
Magu alikuwa anaelekea pabaya,yaan baadae kila kitu kingegoma,hii tabia ya kufikiria pesa zilizo kwenye account za watu sio kabisa
 
Back
Top Bottom