Huenda Wananchi wanaogopa bambikiwa kesi za uhujumu ndio maana Wanajifanya kugalagala ili DPP awaone
Mabeberu ilikuwa chorus ya lile genge lililokuwa linamdanganya Rais, watu washatoka huko kwa sasa.Weka ushahidi wa tuhuma zako. Mmeaibika mawakala wa mabeberu!!
Usiwasemee wengine, pengine kuna walioenda hukakikisha ni kweli kafa ili waamini hakuna kinachomshinda Mungu.Siyo watanzania wengi waliotumiwa, bali ni watanzania wachache waliokuwa mafisadi. Magufuli alidhibiti mafisadi! Mafisadi na watoto wao ndio wenye chuki na Magufuli.
Ona mwenyewe nyomi iliyokuwa inamuaga kwa heshima zote shujaa wa Taifa! Walitandika na nguo barabarani ili gari lililobeba mwili wa shujaa wa Taifa ili likanyage juu ya nguo!!
Who knows ?Mie niwe na kazi na marehemu? π³π³π³
Who knows ?
Acha upumbavu wako wewe!are
πΉπΉπΉπΉπΉπΉAcha upumbavu wako wewe!
πΉπΉπΉπΉπΉπΉ
πSitumii hiyo kitu peleka kwingine.
Acha hasira, Rais wetu alikuwa anapendwa Sana!! Huo ndio ukweli ambao Dunia imelazimika kuuona live!!
Yaani acha tu!Na itachukua muda sana kuondoka ...its a psychological thing, yan unafurahia kua maskini na unajiona uko sawa na tajiri mwenye comfortable life , na ndio hao wameenda kukanyagana huko uwanjani na kusababisha vifo
Sent using Jamii Forums mobile app
Unadhani na hizo chaneli za nje zimetekwa kama za hapa? No.Ila hili la channel za mataifa ya nje kupotezea linashangaza sana...
Wangeonesha kidogo ile nyomi ya pale uwanja wa taifa alafu hakuna cha social distance wala barakoa na watu wanadunda na afya zao njema...
BBC wanaripoti uhalisia! Kama huoni mgawanyiko wa taifa uliopo basi umepofushwa na manufaa unayopata kutokana na utawala huu mbaya wa kidikteta.BBC naona ni wajinga tena wa kiwango cha infinity, hivi unawezaje kusema Taifa limegawanyika? hata kama unazo za kushikiliwa huwezi ona ? Magufuli ametumia muda mwingi kuijenga Tanzania, kudeal na makampuni yaliyokuwa yanakwepa kodi, kupambana na ufisadi kwa vitendo, na kuwasaidia wananchi wa chini ambao walionewa na kuwa wakimbikizi katika nchi yao, Rais kama yule lazima ashutumiwe vikali na matajiri wenyewe pia na nchi za magharibi ambazo zimezoea kuinyonya Africa. Hilo jambo ambalo huhitaji hata kwenda chekechea kujifunza, katandaza miradi ya maji kila mahari hata ambako ilikuwa ngumu kufika.