Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
April7,huyo jamaa ni mfia dini,tena kama ilivyo dini yenyewe kwamba inaendeshwa na vitisho.
Na ndo maana hata jamaa hapa anatuonesha picha za studio ili tutishike na kumuamini pia,
lajisahaulisha kuwa kaulizwa maswali mengi na anatakiwa kuyajibu yena kwa hoja.
Simon,Ukileta matusi haitakusaidia kupata majibu ya maswali yako.
Nimeamua kuchagua kukaa kimya ili tusifanane mkuu, kwaheri!!!
Mapokeo yanamezwa mazima mazima, hakuna ku-reason. Uki-reason, ni dhambi kubwa hadi kupelekea mhusika wa hayo mambo kubadilika rangi ya mashavu yake.Wenzetu hawa wanaamini mambo ya ajabu kabisa.
Mapokeo yanamezwa mazima mazima, hakuna ku-reason. Uki-reason, ni dhambi kubwa hadi kupelekea mhusika wa hayo mambo kubadilika rangi ya mashavu yake.Wenzetu hawa wanaamini mambo ya ajabu kabisa.
Huo ni uongo uliopikwaMkuu, we ulijuaje kama watahiniwa wale wa darasa la saba 71% ni waislamu? Maanake wale watoto walitumia namba and hence nambers hazina dini, how did you know? Isije ikawa ndio ule ule uongo unaotengenzwa maabara halafu unaletwa mtaani na sisi tunamezeshwa tu. HAlafu, tuweni wakweli, watoto 71% ni waislamu and then 29% ni Wakristo, so hakuna wapagani wala Budhha au dini zingine isipokua waislamu na Wakristo tu? Again, siamini kama Waislamu mpo wengi hivyo, nambie tu, ulijuaje hiyo % yao.
Mazindu,
Mimi nataka tujadili na nakuwekea hapa bandiko tuanze mjadala:
''...lakini tuende kielimu. Ninayo ripoti ya mwaka huu. Waliofanya mtihani wa darasa la saba kuingia darasa la tisa, asilimia 71 Waislamu. Asilimia 29 ni wengine. Walioshinda katika wale asilimia 71 ni asilimia 21. Katika wale 29 walioshinda tena sema mwenyewe. Katika asilimia 29 waliokwenda shuleni ni asilimia 79. Katika asilimia 71 waliokwenda darasa la tisa ni asilimia 21.
Sasa kuna moja, ama Waislamu wajinga ama akili yao haifanyi kazi, ama mtu ukiwa Muislamu wewe huna kitu, ama kuna kitu. Sasa namwomba Waziri anayehusika, anaposema aseme ya kwamba kwa hali ilivyo Waislamu wameumbwa wajinga. Au kwa hali ilivyo kuna sababu kadha, kadha. Mwalimu Nyerere alisema zamani ifanywe bidii ya kuwanyanyua waliokuwa chini. Sasa bidii hii siyo ya kuwanyanyua waliokuwa chini. Bidii hii ni ya kuwakandamiza waliokuwa chini...''
(Hotuba ya Mh. Kitwana Kondo Bungeni 1999).
Mazindu,
Shule kweli zimetaifishwa lakini hali ndiyo hiyo hapo juu.
Qwy,
Uzoefu wangu wa miaka mingi ya kuishi katika jamii ambayo kuna watu hawaujui Uislam umenifunza mengi vipi ''psychology'' yao inavyofanya kazi.
Wakati wa sakata la Salman Rushdie niko Uingereza na wanafunzi tuliguswa sana na fatwa
ya Khomeni kuwa Rushdie auawe.
Siku moja katika mjadala wa hukumu ile Muingereza mmoja mwanafunzi mwenzangu akaniuliza mbele ya kadamnasi kama mimi nikipewa nafasi nitaweza kumuua Rushdie?
Jibu langu lilikuwa ndiyo.
Mshtuko auliotokeza pale hausemeki.
''Why, Mohamed why would you kill him?''
Kwa taratibu nikajibu, ''Rushdie has insulted the Prophet SAW he has to die.''
''Rushdie amemtukana Mtume SAW na hukumu yake ni kifo.''
Huwezi kuelewa haya hadi uwe Muislam.
Ile kuwa yeye Ataturk kukataa mathalan kuzikwa inarudi pale pale kuwa ile akili ya kukataa ndiyo hiyo ardhi imemkataa.
King,Hiyo hukumu ya kifo inatolewaje na binadamu mwingine kwenye mapungufu lukuki kama ya Rushdie?
Je Rushdie kuendelea kuwa hai ina maana gani kwa Yule aliyemleta hapa duniani?
Mikocheni,Huo ni uongo uliopikwa
Ndio maana spika wa bunge aliamua utupwe jalalani
Ati waislam 71%[emoji28][emoji28]
Hawa watu dini ikishawaingia wanakua km wajinga
Mikocheni,Ulimwamini kondo? Mzushi aliyekua anatembea ananuka udini
Ati 71% waislam
Na wewe ukaamini kabisa
Naongelea uoga wa kukimbia hoja.Kiranga,
Hapana sidhani kama uoga ni sifa yangu.
Wewe ndiye muoga kwani umejificha nyuma ya jina bandia mimi naandika kwa jina langu.
Alipoweka picha badala ya kujibu hoja ndiyo kajiumbua kabisa.huyo jamaa ni mfia dini,tena kama ilivyo dini yenyewe kwamba inaendeshwa na vitisho.
Na ndo maana hata jamaa hapa anatuonesha picha za studio ili tutishike na kumuamini pia,
lajisahaulisha kuwa kaulizwa maswali mengi na anatakiwa kuyajibu yena kwa hoja.
Sitaki kuamini. Kwangu kuamini si kitu muhimu.Kiranga,
Amini upendavyo.
Sijakuomba chochote brazakaka, kama umefikia ukomo kwenye hii hoja ni vyema ulivofanya. Nafikiri ujumbe umekufikia sawia kabisa bila chenga.Abdulhakim,
Mimi si mtu wa nipe nikupe una uhuru wa kufanya utakavyo.
Sina upuuzi wa kuandika matusi, quote japo tusi moja katika bandiko langu otherwise utakuwa unatafuta excuse ya kukimbia mjadala.Ukileta matusi haitakusaidia kupata majibu ya maswali yako.
Nimeamua kuchagua kukaa kimya ili tusifanane mkuu, kwaheri!!!
Nami ndugu Mohamed naifahamu "psychology" ya watu walio brainwashed na doctrine za kiimani.Qwy,
Uzoefu wangu wa miaka mingi ya kuishi katika jamii ambayo kuna watu hawaujui Uislam umenifunza mengi vipi ''psychology'' yao inavyofanya kazi.
Wakati wa sakata la Salman Rushdie niko Uingereza na wanafunzi tuliguswa sana na fatwa
ya Khomeni kuwa Rushdie auawe.
Siku moja katika mjadala wa hukumu ile Muingereza mmoja mwanafunzi mwenzangu akaniuliza mbele ya kadamnasi kama mimi nikipewa nafasi nitaweza kumuua Rushdie?
Jibu langu lilikuwa ndiyo.
Mshtuko auliotokeza pale hausemeki.
''Why, Mohamed why would you kill him?''
Kwa taratibu nikajibu, ''Rushdie has insulted the Prophet SAW he has to die.''
''Rushdie amemtukana Mtume SAW na hukumu yake ni kifo.''
Huwezi kuelewa haya hadi uwe Muislam.
Ile kuwa yeye Ataturk kukataa mathalan kuzikwa inarudi pale pale kuwa ile akili ya kukataa ndiyo hiyo ardhi imemkataa.
Mikocheni,
Spika hakusema kuwa taarifa zile ni uongo.
Zimebaki hivyo kwenye Hansard hadi leo.
Qwy,Nami ndugu Mohamed naifahamu "psychology" ya watu walio brainwashed na doctrine za kiimani.
I've been around places na nimekaa/nimeishi na watu wa imani na non believers as well, tatizo la watu ambao wako religious sana huwa mawazo yao yamefungwa kwenye closed circuit kwa kuogopa kuuachia ubongo wao kujiuliza maswali nje ya box either kwa kuogopa 'dhambi' au kuogopa 'kukufuru'.
All in all naiheshimu imani yako, naulewa msimamo wa imani yako but let us agree to disagree on this very topic.
Huo ni uongo uliopikwa
Ndio maana spika wa bunge aliamua utupwe jalalani
Ati waislam 71%[emoji28][emoji28]
Hawa watu dini ikishawaingia wanakua km wajinga
Haa ha ha, huyu jamaa/mzee kwa kupika DATA ni noumer, alitaka kuniingiza cha kike aise, waislamu 71%? Khaa. Kuanzia sasa hvi sitakuja nisome nyuzi zake huyu mzee, ni muongo kumzidi hadi shetani, nitakua nasoma michango yake kwenye nyuzi za wengine tu but not UZI alioufungua yeye, hapana. Huyu HAPANA kabisa. Au sorry, labda DATA zake ni za Zanzibar sio huku bara?Ulimwamini kondo? Mzushi aliyekua anatembea ananuka udini
Ati 71% waislam
Na wewe ukaamini kabisa
Unajua nini, ile huku ya yule ayatola wa Iran, ilitaka Salmini Rashidie auawe but mshakaji bado yupo yupo hadi sasa hivi but aliyetoa HUKUMU hakumaliza miezi walau sita akadedi, chezea vingine sio Mungu. NArudia, Ayatola yeye ndio alikufa na Salminie bado yupoHiyo hukumu ya kifo inatolewaje na binadamu mwingine kwenye mapungufu lukuki kama ya Rushdie?
Je Rushdie kuendelea kuwa hai ina maana gani kwa Yule aliyemleta hapa duniani?
Haa ha ha, huyu jamaa/mzee kwa kupika DATA ni noumer, alitaka kuniingiza cha kike aise, waislamu 71%? Khaa. Kuanzia sasa hvi sitakuja nisome nyuzi zake huyu mzee, ni muongo kumzidi hadi shetani, nitakua nasoma michango yake kwenye nyuzi za wengine tu but not UZI alioufungua yeye, hapana. Huyu HAPANA kabisa. Au sorry, labda DATA zake ni za Zanzibar sio huku bara?