Kifo cha Mustafa Kamal Ataturk laana za allah zimshukie

Bujibuji,
Kifo na kuzikwa kwa Kemal Ataturk ni somo linalobeba maneno mengi sana.
Kuna wanaosema kuwa ardhi imemkataa kwa kule yeye kutozikwa ardhini.
Waliomuhifadhi ndani ya nyumba kuwa kaburi lake wanasema Ataturk alikuwa mtu mkubwa mwenye hadhi kubwa kujengewa jumba akahifadhiwa humo ndiyo stahili yake kuheshimu ukubwa na historia yake kama Baba wa Taifa la Uturuki.
Lakini jibu linaloshinda hoja hiyo ni kuwa Mtume Muhammad SAW kazikwa ardhini Madina juu ya kuwa yeye cheo chake ni Mtume wa Allah aliyeumba mbingu na ardhi na mitume yote imezikwa ardhini isipokuwa Issa bin Mariam ambae Allah alimnyanyua mbinguni.
Muislam hachomwi wala hahifadhiwi popote ila sheria inataka azikwe ardhini.

Nikusahihishe Maalim, Mtume Mohamed ni nabii,siyo cheo kutoka cha Mtume kutoka kwa Mungu
 
Ndugu zangu,
Huu mjadala utakuwa wenye manufaa kama tutajiepusha na kejeli na ghadhabu
tukauliza maswali kiungwana na kutoa majibu kiungwana vilevile.

Historia ya Kemal Ataturk ina mengi ya kuzingatiwa lakini ikiwa mwelekeo ni huu
tutaishia kutukanana na kukashifiana dini zetu.

Mohamed

Naona ushaanza kua emotional,which shows that you are a problem already!

Ataturk ndio baba wa taifa la Turkey!

No one can take that from him!

Yeye kuugua na kufariki halafu mnachekelea eti anaadhibiwa mnaonesha utoto sana maana binadamu wote huumwa magonjwa mbalimbali na hufa ata uwe nani!

Wewe mwenyewe huumwa na kufa lazima ufe kwa staili yoyote ile!

Hata mtume wenu (if at all) aliumwa na akafa kama kenge wengine wowote duniani!

Nataka nikuulize,hivi idea ya kutenganisha dini na serikali ni idea bora au sio bora?

Yaani unaona serikali kutawaliwa na ideas za dini moja ni sahihi?

Wanadamu wengine wasiokua na dini na wenye dini zingine kwenye nchi hiyo wao wafate serikali ipi!?

Dini zenu ni vitu personal,salini vyumbani mwenu,mkitoka nje ubinadamu ushike hatamu!

Nyie watu wa dini ni so selfish na focused kwenye dini zenu mnataka dunia nzima ifate mawazo yenu nyie which is nonsense!

Hiyo ni form of violence na dictatorship inaitwa Theocracy!
 
Bujibuji,
Kifo na kuzikwa kwa Kemal Ataturk ni somo linalobeba maneno mengi sana.

Kuna wanaosema kuwa ardhi imemkataa kwa kule yeye kutozikwa ardhini.

Waliomuhifadhi ndani ya nyumba kuwa kaburi lake wanasema Ataturk alikuwa mtu mkubwa mwenye hadhi kubwa kujengewa jumba akahifadhiwa humo ndiyo stahili yake kuheshimu ukubwa na historia yake kama Baba wa Taifa la Uturuki.

Lakini jibu linaloshinda hoja hiyo ni kuwa Mtume Muhammad SAW kazikwa ardhini Madina juu ya kuwa yeye cheo chake ni Mtume wa Allah aliyeumba mbingu na ardhi na mitume yote imezikwa ardhini isipokuwa Issa bin Mariam ambae Allah alimnyanyua mbinguni.

Muislam hachomwi wala hahifadhiwi popote ila sheria inataka azikwe ardhini.
Issa bin Mariam!😌 kwanini kwenye historia ya huyu jamaa ambaye mnamtambua kama Yesu Kristo kuna vitu vingi vinakinzana na Biblia?
Mfano

1. Quran hakufa wala kufufuka,Biblia inasema alikufa na kufufuka siku ya tatu.
2. Quran siku atakayokuja ataowa mke na atakufa, Biblia inasema yeye ni Messiah (masihi) siku atakayokuja ndipo utakuwa mwisho wa dunia kwani atakuja kuwanyakua wana wa walioahidiwa kurithi ufalme wa mbingu (Waliomkubali kama bwana na mwokozi wa maisha yao) na kuketi nae mkono wa kuume wa Mungu baba.
.
Unaongeleaje hili nimejaribu kutafuta tofauti chache tu baina ya Issa bin Mariam wa Quran na Yesu Kristo wa kwenye Biblia naona ni kama watu wawili tofauti kabisaaa.
.
Kwenye Biblia tuna watu wengi (mitume na manabii) wa maajabu Yesu Kristo hakuwa mtu pekee aliyenyakuliwa na Mungu akiwa hai alikuwepo kabla yake aliyeitwa ELIA (ELIJAH) na kuna merkzedeki huyu hana baba wala mama
 
Mohamed

Naona ushaanza kua emotional,which shows that you are a problem already!

Ataturk ndio baba wa taifa la Turkey!

No one can take that from him!

Yeye kuugua na kufariki halafu mnachekelea eti anaadhibiwa mnaonesha utoto sana maana binadamu wote huumwa magonjwa mbalimbali na hufa ata uwe nani!

Wewe mwenyewe huumwa na kufa lazima ufe kwa staili yoyote ile!

Hata mtume wenu (if at all) aliumwa na akafa kama kenge wengine wowote duniani!

Nataka nikuulize,hivi idea ya kutenganisha dini na serikali ni idea bora au sio bora?

Yaani unaona serikali kutawaliwa na ideas za dini moja ni sahihi?

Wanadamu wengine wasiokua na dini na wenye dini zingine kwenye nchi hiyo wao wafate serikali ipi!?

Dini zenu ni vitu personal,salini vyumbani mwenu,mkitoka nje ubinadamu ushike hatamu!

Nyie watu wa dini ni so selfish na focused kwenye dini zenu mnataka dunia nzima ifate mawazo yenu nyie which is nonsense!

Hiyo ni form of violence na dictatorship inaitwa Theocracy!
Hata mimi nashangaa wakati marehemu mtume Muhammad naye aliugua na kufa.
.
Eti huyu kisa alifanya wasivyovipenda basi wamegeuza kuumwa kwake kama ni laana, hapa Biblia inatukumbusha enzi za torati za Musa haya mambo ndipo yalikuwako
 
Hakika binaadamu asimuombee mwanaadam mwenziwe laana kwasababu sisi wenyewe hatujui mwisho wetu. Ungeelezea historia lakini usinge mlaani.

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Usianzishe vita ya mawe wakati unataraji kujificha kwenye nyumba ya vioo
Uwiiiiii hizo ndizo zinaitwa story za kusadikika kama uliwahi kusikia.
.
Vijijini enzi za kama muongo mmoja tu uliopita wengine hadi sasa wanaamini kwamba maiti akifa akawa anatokwa damu puani wanasema eti maiti hakufa kihalali hivyo ataanza kusumbua usiku kama kukimbiza watu na kweli mida ya usiku watu hawapiti eneo la kaburi upunguani ulioje.
.
Kwanini sasa hivi hizo ardhi hazikatai watu au wazikwe watokee juu ya kaburi kesho yake huo ni uongo na unajua imani zingine za kishenzi shenzi tu
 
Usianzishe vita ya mawe wakati unataraji kujificha kwenye nyumba ya vioo
Jibu swali Simon mtume wa Kristo naona umerejea jamvini, Kwanini hizo ardhi haziwakatai watu hivi sasa na kwanini watu wakizikwa hawakutwi juu ya makaburi yao siku hizi?
.
Kumbuka 1938 ni juzi tu hapa usizungumzie mambo ya kina pharaoh ambayo huwezi kuyanasibisha na Uislamu hata kidogo kwa kuwa yalikuwepo miaka maelfu kwa maelfu iliyopita Uislamu ukiwa wala haujazaliwa wazo
 
Sijaelewa hapo alikunywa tembo kwa wingi ndo akaugua maini. Tembo ni nini?
 
Kuna kijana tangia azaliwe yeye ni magonjwa tu.., na kuhangaika.., afya yake ina matatizo na maisha yake yemekuwa ni ya mateso kwake yeye na ndugu zake..., na huyo alimkosea nini Mungu ?

Tuache kuunganisha dots..., when it comes to Uturuki the guy is a hero....

Na kuongelewa kwake hapa tunaona ni vipi alitumia muda wake duniani kufanikisha mambo lukuki
 
Keyser...
Inahitaji kuijua historia ya Ottoman Empire ili kuweza leo kusema kuwa Mustafa Kemal
Ataturk
ni ''shujaa.''

Viongozi wa mfano wa Ataturk kama ilivyo wengi wengine kama Adolf Hitler kuna kipindi
huwa wanaonekana ni waokozi wa mataifa yao.

Kuna kuja kipindi viongozi hawa huwa si waokozi wa taifa tena bali ni watu wa kulaaniwa.
Kuwa Ataturk kuitwa Baba wa Taifa anaitwa hivyo lakini kuna wanaomuona kama adui
kwa kuupa mgongo Uislam.

Ingawa Turkey imejaribu kuwa nchi ya kidemokrasia lakini historia yake imevurugwa mara
kadha na mapinduzi na serikali za kijeshi toka WWII.

Kwa nini iwe hivi?

Turkey hadi leo haijaweze kuukandamiza Uislam kwa namna ambayo labda nchi za Magharibi
zitaweza kuridhika.

Waturuki bado wana hamu kubwa ya kuiona nchi yao inakuwa ya Kiislam zaidi kuliko ilivyo hivi sasa na bado wanakumbuka utawala wa Ottoman Empire.

Ukipenda unaweza kumsoma M. Fethullah Gulen na fikra za Gulen Movement na kuna harakati nyingi ambazo ukizunchunguza kwa ndani utagundua kuwa zinapinga yote yaliyoletwa na Ataturk.

Kiongozi ambae anasikika na kusomwa na Waturuki wengi ndani ya nchi na wafuatiliaji wa siasa si Kemal Ataturk bali ni M. Fethullah Gulen.

Ili kumweka Ataturk peupe ajulikane ni muhimu mtu akajiuliza ni nini tofauti baina ya Erdogan na Gulen na kati ya hawa wawili Ataturk anasimama wapi?

1567184165742.png

Istanbul Book Fair 2015​
 
Empires comes and goes..., ones persons hero / freedom fighter is another ones traitor / terrorist...

Uturuki ya leo isingekuwa Uturuki tunayoijua kama sio huyu bwana.., na yote aliyoyafanya ni kutokana na utashi wake.., na kidunia alifanya hivyo kwa ajili ya nchi yake kama makosa yake aliyoyafanya, yalifanya nchi isiwe ya kiimani au kidini zaidi atajuana na muumba wake / na imani yake huko alipo ila kidunia aliyoyafanya ndio yalisababisha Uturuki tunayoijua leo na wengine wengi wanaomlaumu be it conspiracies au vinginevyo kuna wengine wengi wanaomsifu
 
Back
Top Bottom