Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bujibuji,
Kifo na kuzikwa kwa Kemal Ataturk ni somo linalobeba maneno mengi sana.
Kuna wanaosema kuwa ardhi imemkataa kwa kule yeye kutozikwa ardhini.
Waliomuhifadhi ndani ya nyumba kuwa kaburi lake wanasema Ataturk alikuwa mtu mkubwa mwenye hadhi kubwa kujengewa jumba akahifadhiwa humo ndiyo stahili yake kuheshimu ukubwa na historia yake kama Baba wa Taifa la Uturuki.
Lakini jibu linaloshinda hoja hiyo ni kuwa Mtume Muhammad SAW kazikwa ardhini Madina juu ya kuwa yeye cheo chake ni Mtume wa Allah aliyeumba mbingu na ardhi na mitume yote imezikwa ardhini isipokuwa Issa bin Mariam ambae Allah alimnyanyua mbinguni.
Muislam hachomwi wala hahifadhiwi popote ila sheria inataka azikwe ardhini.
![]()
New item by Mohamed Said
photos.app.goo.gl
Memo...Nikusahihishe Maalim, Mtume Mohamed ni nabii,siyo cheo kutoka cha Mtume kutoka kwa Mungu
Ndugu zangu,
Huu mjadala utakuwa wenye manufaa kama tutajiepusha na kejeli na ghadhabu
tukauliza maswali kiungwana na kutoa majibu kiungwana vilevile.
Historia ya Kemal Ataturk ina mengi ya kuzingatiwa lakini ikiwa mwelekeo ni huu
tutaishia kutukanana na kukashifiana dini zetu.
Issa bin Mariam!😌 kwanini kwenye historia ya huyu jamaa ambaye mnamtambua kama Yesu Kristo kuna vitu vingi vinakinzana na Biblia?Bujibuji,
Kifo na kuzikwa kwa Kemal Ataturk ni somo linalobeba maneno mengi sana.
Kuna wanaosema kuwa ardhi imemkataa kwa kule yeye kutozikwa ardhini.
Waliomuhifadhi ndani ya nyumba kuwa kaburi lake wanasema Ataturk alikuwa mtu mkubwa mwenye hadhi kubwa kujengewa jumba akahifadhiwa humo ndiyo stahili yake kuheshimu ukubwa na historia yake kama Baba wa Taifa la Uturuki.
Lakini jibu linaloshinda hoja hiyo ni kuwa Mtume Muhammad SAW kazikwa ardhini Madina juu ya kuwa yeye cheo chake ni Mtume wa Allah aliyeumba mbingu na ardhi na mitume yote imezikwa ardhini isipokuwa Issa bin Mariam ambae Allah alimnyanyua mbinguni.
Muislam hachomwi wala hahifadhiwi popote ila sheria inataka azikwe ardhini.
![]()
New item by Mohamed Said
photos.app.goo.gl
Memo...
Tusibishane katika hili.
Hata mimi nashangaa wakati marehemu mtume Muhammad naye aliugua na kufa.Mohamed
Naona ushaanza kua emotional,which shows that you are a problem already!
Ataturk ndio baba wa taifa la Turkey!
No one can take that from him!
Yeye kuugua na kufariki halafu mnachekelea eti anaadhibiwa mnaonesha utoto sana maana binadamu wote huumwa magonjwa mbalimbali na hufa ata uwe nani!
Wewe mwenyewe huumwa na kufa lazima ufe kwa staili yoyote ile!
Hata mtume wenu (if at all) aliumwa na akafa kama kenge wengine wowote duniani!
Nataka nikuulize,hivi idea ya kutenganisha dini na serikali ni idea bora au sio bora?
Yaani unaona serikali kutawaliwa na ideas za dini moja ni sahihi?
Wanadamu wengine wasiokua na dini na wenye dini zingine kwenye nchi hiyo wao wafate serikali ipi!?
Dini zenu ni vitu personal,salini vyumbani mwenu,mkitoka nje ubinadamu ushike hatamu!
Nyie watu wa dini ni so selfish na focused kwenye dini zenu mnataka dunia nzima ifate mawazo yenu nyie which is nonsense!
Hiyo ni form of violence na dictatorship inaitwa Theocracy!
Uwiiiiii hizo ndizo zinaitwa story za kusadikika kama uliwahi kusikia.
.
Vijijini enzi za kama muongo mmoja tu uliopita wengine hadi sasa wanaamini kwamba maiti akifa akawa anatokwa damu puani wanasema eti maiti hakufa kihalali hivyo ataanza kusumbua usiku kama kukimbiza watu na kweli mida ya usiku watu hawapiti eneo la kaburi upunguani ulioje.
.
Kwanini sasa hivi hizo ardhi hazikatai watu au wazikwe watokee juu ya kaburi kesho yake huo ni uongo na unajua imani zingine za kishenzi shenzi tu
NdioWewe unahakika na hicho unachosema?!!!
Jibu swali Simon mtume wa Kristo naona umerejea jamvini, Kwanini hizo ardhi haziwakatai watu hivi sasa na kwanini watu wakizikwa hawakutwi juu ya makaburi yao siku hizi?Usianzishe vita ya mawe wakati unataraji kujificha kwenye nyumba ya vioo
Ww unajuaUnajua historia ya mafarao??
Sijaelewa hapo alikunywa tembo kwa wingi ndo akaugua maini. Tembo ni nini?
Keyser...Kuna kijana tangia azaliwe yeye ni magonjwa tu.., na kuhangaika.., afya yake ina matatizo na maisha yake yemekuwa ni ya mateso kwake yeye na ndugu zake..., na huyo alimkosea nini Mungu ?
Tuache kuunganisha dots..., when it comes to Uturuki the guy is a hero....
![]()
Mustafa Kemal Atatürk - Wikipedia
en.wikipedia.org
Na kuongelewa kwake hapa tunaona ni vipi alitumia muda wake duniani kufanikisha mambo lukuki

Empires comes and goes..., ones persons hero / freedom fighter is another ones traitor / terrorist...Keyser...
Inahitaji kuijua historia ya Ottoman Empire ili kuweza leo kusema kuwa Mustafa Kemal
Ataturk ni ''shujaa.''
Viongozi wa mfano wa Ataturk kama ilivyo wengi wengine kama Adolf Hitler kuna kipindi
huwa wanaonekana ni waokozi wa mataifa yao.
Kwa nini iwe hivi?
Turkey hadi leo haijaweze kuukandamiza Uislam kwa namna ambayo labda nchi za Magharibi
zitaweza kuridhika.
Ili kumweka Ataturk peupe ajulikane ni muhimu mtu akajiuliza ni nini tofauti baina ya Erdogan na Gulen na kati ya hawa wawili Ataturk anasimama wapi?