Kambarage kigomaLong time nilikuwa STD III Kambarage P/S
Mm pia nmesoma chem chem enzi za mwalimu mkuu sailesNilikuwa darasa la 2 shule ya msingi chemchem, Iringa mjini. Nilimuuliza mama yangu huyo Nyerere atapokelewa wapi, akanambia kaenda moja kwa moja kwa Mungu maana hana dhambi, kuskia hivyo nikafarijika. Hahahahaaa utoto raha sana haya kama wapo waliosoma chemchem enzi hizo hebu tuwasiliane.
Habari za FFU hapo?Nilikuwa darasa la kwanza Kamunyonge s/m..ile nafika shule mida ya saa 7 siku hyo alhamisi namkuta mwl matete paredi na bendera tayari ikiwa robo tatu ya mlingoti
Shinyanga mkuuKambarage kigoma
Ha ha ha haLazima niwe mkweli nilikuwa darasa la sita shule ya msingi Mbuyuni hapo njia ya kuelekea posta, tulirudishw home kisa nyerere kafa, nilipofika nyumbani nilimkuta mwenye nyumba analia mithili ya mtu aliyebakwa
Mm nilikuwa form 3Ulikuwa wapi?,mimi nilikuwa darasa la pili shule moja maarufu jijini Mwanza, mwalim akapiga kengele akasema tunarudi nyumbani sababu Nyerere kafariki,nilikuwa hata sijui Nyerere ni nani, mimi nilikuwa namjua Ben Mkapa pekee,kurudi nyumbani jioni yake tunakuta Komba tayari ameshafanya yake (Jamaa alikuwa fasta sana) japo Tv tulikuwa tunaangalia kwa jirani.
Nyerere pumzika kwa amani