omniscient
I guess na wewe hukuwa unafanya homework za English kama yule Sebastian wa Mbeya DayHapa umeniacha mkuu.
I guess na wewe hukuwa unafanya homework za English kama yule Sebastian wa Mbeya Day
Ngojea waje uone,wana maneno sana hao sijui millenials lkn usiniambie Joyce ni dada yako haaa haahWatu wanasema walikua primary schools wanatokea wengine wanasema kumbe jamii forum imevamiwa na watoto sasa mimi sijui utaniitaje maana sikuwa nimezaliwa [emoji23]
Mkuu Raimundo kimya sanaNo wonder!
Ofkoz ni sister tena mwaka huo yeye alikua kibosho badoNgojea waje uone,wana maneno sana hao sijui millenials lkn usiniambie Joyce ni dada yako haaa haah
Aisee msalimie sana,mwambie nmemmisiOfkoz ni sister tena mwaka huo yeye alikua kibosho bado
Mkuu Raimundo kimya sana
nitamwambia msaga sumu anakupa hiAisee msalimie sana,mwambie nmemmisi
tutakuwa sawa, kiumri na kimtazamo, ila pia tutakua tunaendana..Nilikua shuleni darasa la5, kengele ikapigwa ya dharura tukajulishwa msiba wa taifa tukarudishwa home
Njiani tunakutana na nyimbo za maombolezo basi tukaanza na sisi kulia hasa tulivosikia vita itakuja.,.
mhhhhh, mwezi wa kumi huwa kuna watu wamemaliza la saba na wanajiandaa na form 1?Maandalizi ya form 1 ndo nimemaliza la saba
Eti eetutakuwa sawa, kiumri na kimtazamo, ila pia tutakua tunaendana..
welcome
Acha kuumbua watu aiseemhhhhh, mwezi wa kumi huwa kuna watu wamemaliza la saba na wanajiandaa na form 1?
maana hapo mm nikiwa darasa la tano, sista alikuwa kilakala form 1 tayr ndio anamiez kadhaa kaondoka homu likizo ya kwanza