Kifo cha Mwalimu Nyerere 14/10/1999, ulikuwa wapi?

Kifo cha Mwalimu Nyerere 14/10/1999, ulikuwa wapi?

Watu wanasema walikua primary schools wanatokea wengine wanasema kumbe jamii forum imevamiwa na watoto sasa mimi sijui utaniitaje maana sikuwa nimezaliwa [emoji23]
 
Watu wanasema walikua primary schools wanatokea wengine wanasema kumbe jamii forum imevamiwa na watoto sasa mimi sijui utaniitaje maana sikuwa nimezaliwa [emoji23]
Ngojea waje uone,wana maneno sana hao sijui millenials lkn usiniambie Joyce ni dada yako haaa haah
 
nilikuwa darasa la tano shule ya msingi Omumwani, bukoba mjini...

nakumbuka tukiwa tunajuandaa na mitihan ya muhula, tukifanya usafi wa kumwagilia maua mengineyo, Mwalimu wa zamu aligonga kengele na kutueleza juu ya kifo cha mwalimu...

nikiwa narud kwenda home nikanotice hali ya ukimya na tv na radio tanzania kukiwa na ratiba isiyo yakawaida, huku nyimbo na maombolezo yakiendelea, nilitokwa na machozi kiukweli...

kingine ambacho pia sitakuja kusahau ni baada ya kuona bendera kushushwa nusu mlingoti kwa siku 14, huku kukiripotiwa ujio wa wageni maraisi kutoka mataifa mbalimbali...

Mungu ailaze mahali pema peponi mwana heri Julius Kambarage Nyerere
 
Nilikua shuleni darasa la5, kengele ikapigwa ya dharura tukajulishwa msiba wa taifa tukarudishwa home

Njiani tunakutana na nyimbo za maombolezo basi tukaanza na sisi kulia hasa tulivosikia vita itakuja.,.
tutakuwa sawa, kiumri na kimtazamo, ila pia tutakua tunaendana..

welcome
 
Maandalizi ya form 1 ndo nimemaliza la saba
mhhhhh, mwezi wa kumi huwa kuna watu wamemaliza la saba na wanajiandaa na form 1?

maana hapo mm nikiwa darasa la tano, sista alikuwa kilakala form 1 tayr ndio anamiez kadhaa kaondoka homu likizo ya kwanza
 
Nilikuwa dalasa la tano baada ya mwalim kutoka dalasa iligongwa kengele parade tukatangaziwa mm nikaamliwa nishushe bendera had nusu mlingoti imezu p/s mbeya
 
mhhhhh, mwezi wa kumi huwa kuna watu wamemaliza la saba na wanajiandaa na form 1?

maana hapo mm nikiwa darasa la tano, sista alikuwa kilakala form 1 tayr ndio anamiez kadhaa kaondoka homu likizo ya kwanza
Acha kuumbua watu aisee
 
Back
Top Bottom