Ushirombo
JF-Expert Member
- Jan 22, 2013
- 3,558
- 2,702
Tunalingana broNilikua nimemaliza darasa la7 mwaka huo tukazuiwa hadi kufanya sherehe yetu ya kuhitimu elimu ya msingi kisa maombolezo ya siku 30 aliotoa bwana ben
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunalingana broNilikua nimemaliza darasa la7 mwaka huo tukazuiwa hadi kufanya sherehe yetu ya kuhitimu elimu ya msingi kisa maombolezo ya siku 30 aliotoa bwana ben
Nilikuwa namjua, Mkuu kichwa changu nakijua mwenyewe, kipindi hicho ndio nilikuwa nimeanza kuvuta bangi, so nilihisi ni mwalimu mkuu wa shule, nilikwenda shule nikiwa tayari nishavuta[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377][emoji1] [emoji1] [emoji1] mwalimu mkuu wa shule yako ulikua humjui loh
Yaani kweli humu kuna watoto wengi[emoji23]Kumbe watoto wadogo wengi humu la pili, la tatu???
Hata mie nimshangaa,ndio maana post nyingi zimejaa utoto mwingiJf imevamiwa na watoto siku hizi!
ndio maana ufacebook mwingi sana humu
Me nilikuwa nasoma vidudu katika jengo moja hivi la duara lina gorofa moja lipo karibu na uwanja wa mpira wa kambarage........... nilikuwa naishi naishi majengo ya zamani karibu na buchosa bar mtaa wa maduka mengi
HahahaLazima niwe mkweli nilikuwa darasa la sita shule ya msingi Mbuyuni hapo njia ya kuelekea posta, tulirudishw home kisa nyerere kafa, nilipofika nyumbani nilimkuta mwenye nyumba analia mithili ya mtu aliyebakwa
[emoji23][emoji15]
Uwe unapiga magoti kisha unaniamkiaChaaa.....
Nilikuwa form one