Kifo cha Nusra wa UDOM Bado ni pasua kichwa, UDOM waikana taarifa iliyosambaa

Umeandika kwa uchungu na hasira kwa pamoja
Hasira hapana ila kwa hisia. Mi napenda binaadamu abaki na sifa zake za kiubinaadamu na mnyama awe mnyama. Rumors za mahusiano ya hovyo kati ya walimu na wanafunzi huko vyuoni zimeenea mno tena kwa muda mrefu. Mabint wamekuwa target ya supp kwa mtego wa kimapenzi. Halikadhalika watu wazima kwa mabinti wa vyuo, na bahati mbaya mabinti wenyewe siku hizi ni kama watoto wa form 4 huko nyuma.

Hali ya vyuo vya Tanzania mida za usiku mmmh, ajuaye Sir God
 
Safi kwake. Anakula bata. Alitakiwa ata alale na 8 usiku mmoja. Maisha mafupi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…