Kifo cha Nusra wa UDOM Bado ni pasua kichwa, UDOM waikana taarifa iliyosambaa

Watanzania mnamakasiriko hata yasiyokuwa na maana. Navyojua mtoto wa chuo ni mtu mzima Sasa kama aliamua kujibanza kwa huyo muheshimiwa na likatokea lakutokea nyie inawahusu Nini. Hao waheshimiwa hawana time na nyie Sasa mnapata wapi muda wa kupoteza kwa ajili Yao?
 
yaani tunawapa uwaziri, halafu wanashinda na mademu wa chuo? hivi kwanini wasije na wake zao huku dodoma? na waandishi wa habari mpo wapi? au kanunua vyombo vyote vya habari? tunahitaji kuhabarishwa, kama kweli kafia kwenye gari waandishi mtuambie, na kama hajafia kwenye gari pia mtuambie ili isijekuwa waziri huyo anasingiziwa hadi afukuzwe kazi kwasababu ya uongo. na kama ni ukweli tujue. nendeni mkahoji ndugu zake huko kilimanjaro.
 
Ni Mimi tu naona au ni kweli mabinti wachuo wanatawanya mbususu sana siku hizi,na hawaogopi wa kumpa ilimradi awe na umate mate,huko nyumbani wakiagwa wanaambiwaga katafteni Hela Nini?Mimi sio mpiga ramli ila niamini manzi kafa akiwa anakitembeza.
Tatizo ni akili wanayotoka nayo huko o level na a level kuwa chuo ni Bata,chuo Kuna PC za kutosha chuo unawezakuishi kinyunba na hakuna WA kukukataza ,chuo unaweza kudoji halafu ikiwa poa tu,chuo mwanamke hutakiwi KUKOSA bwana wa kukuonga

Sasa hapo unadhani tutarajie nini?
 
Huyo demu kafia kwenye gar la naibu wazir watu wanaficja kitu Gani? Na hao wazaz au ndugu zako kwann hawajajitokeza kwenye hili jambo.

Kweli mkuu maana ingekuwa kweli ameuliwa taarifa kutoka kilimanjaro ingekuwa straight hadi jina la mtuhumiwa ila kwakuwa ishatokea binti amekufa kwenye ajali ya NW inabidi ipikwe pikwe mambo yasiwe mengi.
 
Rip
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…