Kifo cha Rais Nkurunziza kimepunguza kujiamini kwangu

Kosa la marehemu hakuvaa barakoa
 
Marehemu alikuwa mlokole.
 
bora serikali ingetolea neno hili, kwamba wanaoweza kuvaa na wavae barakoa na wasiojisikia kuvaa waache, ila wengine wajikinge na wasifuate mkumbo wala wasidhihakiwe wakati wakilinda afya zao
 
Siamini, naamini kila mtu anajulikana katika ulimwengu huu.
Hivyo watu wetu hawana tabia ya kusema ukweli. Taarifa zao huwa zinarekebishwa, hivyo hata sababu ya kifo Cha mheshimiwa hakiaminiki
 
Hivyo watu wetu hawana tabia ya kusema ukweli. Taarifa zao huwa zinarekebishwa, hivyo hata sababu ya kifo Cha mheshimiwa hakiaminiki
Amekufa au hajafa? au ikijulikana kafa kwa Corona ataoza na ikijulikana kafa kwa ugonjwa wa moyo hatooza?

Kwanini chanzo cha kifo cha mtu kikuumize sana kichwa? Unapata faida au hasara gani juu ya hilo?
 
Wengine wanaweka maji nje ya makanisa lakini sabuni ya unga wanayoyeyusha kwenye maji, ukiweka kiganjani wala huhisi kama kuna sabuni; ni kama wanaweka kugeresha tu - hawako seriuos kabisa!
yaani shida sana, ni watenda dhambi wakubwa ila kwa kujifanya wako sahihi hawajambo, waache kukejeli waumini wanaovaa barakoa,,,hicho kitendo kinanikera sana...wanaboa sana. mm ni mmojawapo ninaevaa barakoa kanisani wala siwezi acha kuvaa hadi pale nafsi yangu itakaponiambia niache kuvaa, ila sasa wahubiri wananikera kwa maneno yao..kuna mda nawaza nisihudhurie ibada
 
Sawa lakini ''tahadhali'' waachie watoto wadogo wasiojua kutamka maneno vizuri... wakubwa tunasema ''tahadhari''
 
Uamuzi unao... badilisha sehemu ya kusalia. Mungu yupo kila sehemu. Hao wahubiri wa aina hiyo ni matapeli.
 
Ripoti ya daktari inasema kafa kwa mshtuko wa Moyo wewe unasema Corona hivi wabongo tuta staarabika lini?
Mke wake alipatwa na korona ndiyo maana watu wanaona kuna uwezekano na yeye aliambukizwa na hasa ukizingatia viongozi wa kiafrika siyo wawazi. Alivyokuwa anadharau corona na kuacha kuchukuwa hatua kuna uwezekano mkubwa alikufa kwa korona na wakaona haya kusema. Pia kama ulikuwa hujui: virus wa corona wanafanya damu inakuwa ''sticky'' (nzito) kwa baadhi ya watu hivyo kuongeza uwezekano wa kufa kifo alichofariki.
 
Uamuzi unao... badilisha sehemu ya kusalia. Mungu yupo kila sehemu. Hao wahubiri wa aina hiyo ni matapeli.
asante kwa ushauri, ndio nafanya kuushauri moyo wangu uachane na kung'ang'ania sehemu ambazo sikuzaliwa nazo, nitaabudu pengine wala hakuna shida
 
Kama mke corona labda tu Kama walikuwa awachangii shuka
 
Kwa akili yako umeona korona tu ndiyo inaua magonjwa mengine yamefutwa pole saaaaaana mkuu
 
Kufa kwake kumeokoa uhai wa maelfu wasipigwe x,uwepo wake takribani watu elfu 20 wamepigwa x,japo alijifichia kwenye ulokole huku akitema injili Kama bashite, huwezi kuta uislam ukichezewa
 
Yeyote anayejua aliikejeli corona kwenye utawala wake ajiandae kabisa
 
Kurunziza kafa kwa ugonjwa wa moyo,Mama yake kafa kwa kisukari,Dada yake anaugua Kansa.Mke alipata Covid na hajafa.Unasemaje hapo?

Umeishia njiani. Bado kuna president elect, spika na wengi wengine:

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…