Kifo cha Rais Nkurunziza kimepunguza kujiamini kwangu

Amekufa au hajafa? au ikijulikana kafa kwa Corona ataoza na ikijulikana kafa kwa ugonjwa wa moyo hatooza?

Kwanini chanzo cha kifo cha mtu kikuumize sana kichwa? Unapata faida au hasara gani juu ya hilo?
Labda shida iko pale tu ambapo mheshimiwa kufa kwa ugonjwa ambao aliupuuza na hakuchukua hatua za kisayansi .
 
Labda shida iko pale tu ambapo mheshimiwa kufa kwa ugonjwa ambao aliupuuza na hakuchukua hatua za kisayansi .
Boost your immune system tu,
Sababu hata me na wewe hatupo salama.
 
Mke wake bado anatibiwa Corona huko kwa mtoto wa Kenyata,sijui hata kama anajua mumewe kafariki.
 
Ripoti ya daktari inasema kafa kwa mshtuko wa Moyo wewe unasema Corona hivi wabongo tuta staarabika lini?
Si alishtuka na kufa baada ya kujua kua ana depotivo la Corona!!
Sasa wewe unatetea nini?
 
Si alishtuka na kufa baada ya kujua kua ana depotivo la Corona!!
Sasa wewe unatetea nini?
Daktari ndio kasema hayo au ni wewe kwa hisia zako? Ulikuwepo? Unaijua historia ya mgonjwa?
 
Daktari ndio kasema hayo au ni wewe kwa hisia zako? Ulikuwepo? Unaijua historia ya mgonjwa?
Yaani maswali yooote hayo ni juhudi za kunizuia nisiseme kafa kwa corona au una jingine?
 
Binadamu Hujisahau sana hasa watawala wapumbavu wa Afrika hudhani wataishi milele
 
Umeandika vitu vingi muda mchache
 
Mkuu umekula naona bado unaakili za lumumbaa mnawananga mabeberu uku mnawakumbatia bulishit
Beberu akumbatiwi weeewe[emoji15] beberu ni zee la miba wewe, ukilikumbatia unatoboka matundu chaliiangu ona kilichomkuta Nkurunzinza chaliangu, kawa matobo tayari. Unakumbatia beberu??? Hapa tukiumwa ni hukihuku hata tukifa hatulii lakini hatuendi kutibiwa kwa beberu mangi[emoji848] mbulaa acha nijifukize kwanza..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…