Kifo cha Rais Nkurunziza kimepunguza kujiamini kwangu

Pierre ni noma sana,siku ya maadhimisho ya kitaifa ya Mei mosi mbele ya wafanyakazi wote hapo uwanjani alimuita binti yake nakumpa medali ya kitaifa kwa kua binti msikivu na kufanya kazi za nyumbani kwa bidii.

Eti na bado tunashangaa Africa kua bara la giza.
 
Mke wake yupo Nairobi anaumwa Covid 19
 
Hao viongozi wa dini mnawaonea bure,shida ipo kwa Nkurunzinza
 
Mama yake kafariki tena ,dada yuko hoi ,rais aliyechaguliwa na spika wote wapo hospital
Hapa kwetu mbona wanadunda,je sisi tunakosa gani hasa?au siku bunge linavunjwa ndo muujiza utatokea?
 
Ripoti ya daktari inasema kafa kwa mshtuko wa Moyo wewe unasema Corona hivi wabongo tuta staarabika lini?
You mean heart attack? Isome Covid 19 vizuri nadhani hujaisoma.ungeisoma usingeandika ulixhoandika
 
Tatizo letu sio kustaarabika, bali tunaishi kwa hisia sana.
Heart attack ni moja ya njia zinazotumiwa na covid-19 kurestisha watu. Tunaweza kutafuta majina mengine mazuri Kama kushindwa kupumua,heart attack but watu wanaondoka everyday
 
Mkuu wasaidie hawa vilaza wa ccm maana hawajui Kama huyu clinical finisher ana tactics za kutisha. Anatupia nyavuni kwa style tofauti toufuti
 
Mkuu jiwe hajapata corona Wala mtoto wake ule ulikuwa uongo.Jiwe hawezi akapata corona tusimfukie? No way
 
Covid_ 19 ni clinical finisher,hapa Tanzania hapewi heshima yake ili kulinda uzembe wa Magufuli Ila Covid 19 ndo ana harakisha vifo vya ndugu zetu waliokuwa wanasimbuliwa na kisukari,kansa,ukimwi,pressure etc
 
Ivi ukisalia nyumbani kwako Mungu hakusikii? Kwanini mnajitia majaribuni?
Mungu yupo kila maali la msingi ni utayari wako na Imani.
 
You mean heart attack? Isome Covid 19 vizuri nadhani hujaisoma.ungeisoma usingeandika ulixhoandika
Kwa hiyo tangu Corona iingie magonjwa mengine yamesimama? Hatuna tena wagonjwa wa moyo bali tuna wagonjwa wa Covid 19 duniani.
 

Hivi umewahi kumuona Trump na wafuasi wake wamevaa barakoo au raisi wa china ni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…