Mandondocha kama wewe ndio huwa mnanifanya hata nisikanyage hili jukwaa, unaleta hadithi za Salon hapa kwa Great Thinkers!!Habari ndiyo hiyo men and women!!
Mbunyee!!....hiyo hapo kwenye red ni lugha gani na unamaanisha nini?
Alikuwa mdogo mwaka aliyopigwa hiyo picha lakini siyo sasa hivi, amekomaa viungo vyote vya uzazi na yeye mwenyewe alishasema yeye sio watoto show tena bali wakubwa show.nyie mnamwona kanumba tu. Ray je? Ila pia kabinti ni kadogo kweli!
Kichwa cha habari kimekaa kiudaku sana,hakiendani na habari husika,kwa mara nyingine jitahidi heading yako iendane na habari husika. tunashukuru lakini kwa kutujuza.
Kanumba AMEKOSEA simtetei kabsaa.Lakini lulu anastahili afungwe japo 5 years iwe funzo kwake,pia kwa wazazi wazembe kama wazazi wa lulu na wasichana wengine wanaorukaruka mabarabarani wakiwa na umri mdogo.HAKIKA endapo lulu ataachiwa watoto wakike wataaribikiwa sana mitaani
Haya hayaaaa... Siiiiirii... Imefichukaaa! Eti,kwenye gazeti moja la Makorokocho!
Yule Mwigizaji wa Nigeria Ramsey Noah aliyeshiriki kwenye Filamu ya Kanumba known as Devil Kingdom anahusishwa na Kifo cha Kanumba,Kufungwa kwa Kajala na Lulu.
Ni hivi.. RAMSEY alipokuja bongo ku act movie hiyo alipata chance ya kupiga picha na Kajala..ona sasa Kajala anatumikia kifungo kwa kutakatisha fedha chafu. Lulu naye alipata nafasi ya kupiga naye picha... Ona sasa yupo rock up pia.
Kanumba kaigiza naye...ona sasa amededi. Ina maana hata hao Kajala na Lulu wangeigiza naye huenda tusingekuwa nao mpaka sasa!
Je,RAMSEY tumhusishe na kitu cha tunguli?? Kazi kwenu.
Ur 100% right, she is underage,Kanumba alikuwa anatembea na minor hivyo alikuwa MBAKAJI,najua nawaudhi wengi lkn huo ndio ukweli ambao wengi wanaukwepa kwenye tuhuma hizi