Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

Hii sidhani kama ni taarifa rasmi
Maana haija shiba.....inaacha maswali mengi

Madakatari wakishatoa ripoti yao mkuu kinachofuata ni polisi waliofika mazingira ya tukio kuangalia mazingira waliyoyakuta(definitely walipiga picha eneo la tukio),na "vitu" vyote walivyovikuta katika mazingira hayo..

Na kuangalia kama ripoti ya daktari inawiana na mazingira waliyoyakuta..na watarelate na mahojiano waliyafanya na watu waliokuwa eneo la tukio..
 
Jamani mbona mmeanza kuhukumu kabla nyie hamjahukumiwa..
Marehemu kishapumzika zake ni mungu pekee anayetoa huku yake ..
Kilichobaki ni sisi kuangalia matendo yetu kama yanampendeza mungu
 
Sasa huo mtikisiko wa Ubongo ulikujakujaje, na huwa kawaida unasababishwa na nini?
Je hakuna dalili za kugongwa kichwani?...mbona bado maelezo ni vague?



REST IN PEACE KANUMBA STEVE!

Umeshaambiwa unatokana na mtu kuangukia kichwa, car accident. Au kupigwa NA kitu kichwani. Ma Maelezo ya kifo cha kanumba umeambiwa alianguka na kugonga kichwa sehemu ya nyuma kutoka kwa dada mtu
 
kumbukeni Kanumba alitoka bafuni yawezekana miguu yake ikikuwa na majimaji na wakati wa purukushani labda Lulu alimsukuma kidogo akakosa balance akateleza na kuangukia uchogo.
 
Lulu kasafishwa kwa 100% kama taarifa ndio hii......
Nilikuwa namuonea huruma ..ila kashikashi aliyo kwisha ipata ni adhabu tosha kujitia utu uzima
Haswa inabidi atulie mtoto mdogo anataka Mambo ya ukubwa akiwa mkubwa sijui atafanya yapi Sasa. Ila chamoto kakipata guilty ndo itammaliza mrembo huyu
 
Alikuwa anasali AICT.Aliwahi na kuimba katika Neema gospel AICT chang'ombe.Mungu amlaze mahali pema peponi Ameni
 
Kwa hiyo hii ndio sababu ya serikali kutia nguvu zake katika mazishi yake??

serikali imeenda pale kwa sababu ya kutafuta tention ya watu..si unajua kuna mijitu kibao pale na wao ndio wanarushia mchele hapo hapo ...ila kanumbe ni the gret
 
watu wanadondoka kwenye minara ya simu hawapati hyo impate alie chini...mimi naamini lulu hana hatia kwa maamuzi yao,ila dogo wamtoe awape na wengine brain nini sijui.

Sasa si inategemea na umedondokaje? Na umedondokea wapi? Na ulipodondoka ukafikia mikono,miguu,magoti,kisogo,utosi,au uso?

Mnadhani mambo ya uchunguzi ni rahisi ndiyo maana..
 
Hivi sasa kila mtu ana majonzi kutokana na kifo cha Kanumba. Ni kifo kilichomgusa kila mtu mpaka rais wa nchi. Lakini kuna wasanii wengi na waliojijengea heshima katika nchi hii waliugua na kufa bila kupata msaada wowote kutoka kwa washabiki au serikali.
Nimeamini kweli hatuko fair......

mungu angemuweka hadi zama za jeikei
 
Wooote mnaombeza the great ni tamaa tu zinawasumbua na roho zenu za korosho, coz we ukifa ata balozi wa mtaa wako haji kwenye msiba. Puuu...vu!
 
alilegea akaanguka? Iyo brain concussion inatokea after sudden impact to head. So something happened before impact. Maelezo yake ni ya uongo. Jela iyooo! Inamuita.

Kuna baadhi ya comment zinaonyesha kuwa Lulu ana supernatural powers za kumfanya mtu yeyote aliyemzidi kimo,umbo na hata uzito,kumbwaga kama gunia la chumvi..
 
Kanumba alikuwa mtu wa wawatu na alikuwa na kipaji kilichokonga nyoyo za wengi ndani na nje ya nchi
 
Kweli dogo kasafishwa cz hiyo hali inatokea mtu anapokuwa na hasira ubongo una shake au alipojipigiza so mie nakwambia zitatafutwa namna nyingi tu ili dogo anasuliwe kwenye msala si mtaniambia

R.I.P Kanumba.
Lulu pole sana ila mpaka hapa huna hatia maybe kaakaa kwanza hapo kituoni kwa usalama wako.
 
Back
Top Bottom