trachomatis
JF-Expert Member
- Jun 7, 2011
- 3,758
- 744
Hii sidhani kama ni taarifa rasmi
Maana haija shiba.....inaacha maswali mengi
Madakatari wakishatoa ripoti yao mkuu kinachofuata ni polisi waliofika mazingira ya tukio kuangalia mazingira waliyoyakuta(definitely walipiga picha eneo la tukio),na "vitu" vyote walivyovikuta katika mazingira hayo..
Na kuangalia kama ripoti ya daktari inawiana na mazingira waliyoyakuta..na watarelate na mahojiano waliyafanya na watu waliokuwa eneo la tukio..