Swts
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 3,062
- 1,294
Atakuwa mzee Kanu mwenyewe!
mabwaku!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakuwa mzee Kanu mwenyewe!
Kwani wewe hujui kama pasco ni mwanasheria?kwa taarifa yako huyu jamaa ni mwanasheria wa kujitegemea!Yaani umeelezea kama vile mwanasheria kumbe bogas tu!Vitabu gani vya sheria umefundishwa kuwa ubora wa mwanasheria unasaidia kupata dhamana katika murder case??????????????????????????????????
Riport ya madaktari waliomfanyia post mortam marehemu Kanumba wanasema kifo chake kimesababishwa na Brain concusion lakini nijuavyo mimi Brain concusion inapoteza fahamu kwa muda mfupi siyo sudden death labda kama wangesema ilikuwa Brain contusion ambapo ubongo unakuwa umeumia sana na mtu anakuwa unconcious kwa muda mrefu,halafu brain inakuwa protected na skull( fuvu) ambalo ni gumu sana ambapo kuvunjika inahitajika nguvu kubwa ambayo mimi naamini Lulu hana nguvu nyingi kihivyo za kuweza kumsukuma Kanumba na kujibamiza ukutani,halafu kwa nini marehemu alitoa mapovu badala ya damu mdomoni? may be there was a third person who did a clean job,professional,lets think out the box.
Msaniii ambaye amejizidishiwa umaarufu ndani na nje ya mipaka yetu hasa kufuatia kuhusishwa na kifo cha msanii nguri Kanumba, bibi Elizabeth Michael almaarufu kama LULU, amefikishwa leo mbele ya pirato pale mahakama ya Kisutu. Kwa mujibu wa mtoa habari, Lulu amesema ana miaka 17.. kesi imeahirishwa mpaka tarehe 23/4/2012..
Kama kuna mtu ana habari zaid ya hizi naomba atujuze kwa uzuri tu,, maana mi nimesikia ikiishia ishia..
Souce Radio One mchana huu.
Nawsilisha wakuu
kama ni mauwaji ya kukusudia naona ni noma kweli kweli hapo.
Haka katoto kalikua kanaenda choo kweli loh!ebu kaangalieni huo mbinuko wake hapo nyuma.
Yani kakivu tu hata kabla ya refa kupuliza kipyenga lazima upige la offside loh!
Ngoja nii-print hii picha niiweke ukutani ili niwe nalumangia kwa picha ya ukutani.
Hofstede na wewe unamjua huyo mdada?
Hakana kesi kaachiwe tuuu!
Namfahamu. Refer my previous post.