Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

Ni mtu mzima anayo maamuzi pia,
kwanini afuate kuzika huku wakati ana kwake
kwanini wasimpelekee mwanaye akazika mwenyewe,
Pole sana mzazi mwenzetu.
 
1.jpg
 
Imeshakula kwake huyo,kesi itaenda hadi miaka mitano hii,atapigwa nyundo then watakata rufaa atakuja kushinda kesi baada ya miaka 10. So mtegemeeni kuwa uraiani baada ya miaka 10.
 
Mbona wengi sana wanamshuku huyu mdogo wake?...mnakaribia kunipandikiza hisia za aina hiyo na mimi!
Mkuu, inapokuja suala la mali kuna binaadamu wengine 'tunaweza' kufanya mambo ya ajabu sana. Si ajabu kusikia mtu kamuua mwanae, babake nk kisa mali. So inawezekana polisi wametumia busara tu kutoonesha mashaka yoyote kwa sasa juu ya huyo Seth ili msiba uishe lakini very likely wakawa wanamonitor mienendo yake yote! Tunaweza kusikia mengi kwenye harakati za kurithi mali za marehemu maana hakuacha mtoto!
 
was just jokng,
kwanza hua siamin hayo mambo, ngoja 2subir atasemaje,
ila mi nimezoea 'mama ni mama'
baba ni baba am nt sure

Haahaahaa..Baba ni baba! Waswahili wanasema mwanamke hasingiziwi mtoto
 
Wadau kama kuna mwenye fununu kuwa Lulu alikuwa anoongea na nani kwenye simu amwage mambo pwaaaaaaaa hapa kuna tetesi mtaani kuwa alikuwa anazungumza na waziri fulani na alipobanwa na kanumba akamtaja...unaambiwa kanumba kusiia hilo jina hakaishiwa nguvu hapo hapo inawezekana huyo waziri ndo chanzo mtajeni jameni tumkamate.....
 
Riport ya madaktari waliomfanyia post mortam marehemu Kanumba wanasema kifo chake kimesababishwa na Brain concusion lakini nijuavyo mimi Brain concusion inapoteza fahamu kwa muda mfupi siyo sudden death labda kama wangesema ilikuwa Brain contusion ambapo ubongo unakuwa umeumia sana na mtu anakuwa unconcious kwa muda mrefu,halafu brain inakuwa protected na skull( fuvu) ambalo ni gumu sana ambapo kuvunjika inahitajika nguvu kubwa ambayo mimi naamini Lulu hana nguvu nyingi kihivyo za kuweza kumsukuma Kanumba na kujibamiza ukutani,halafu kwa nini marehemu alitoa mapovu badala ya damu mdomoni? may be there was a third person who did a clean job,professional,lets think out the box.

Madaktari wa bongo bwana! Mkuu afadhali wende uchukue kazi, tutakuamini wewe zaidi!
 
Mliosema hatafikishwa mahakamani mko wapi? hv watu wanafikiri waTZ wote wamelewa? we pray 4 a fair trial basi na Mungu afungue ukweli. kama ana kosa apate stahili yake, na kama hana kosa basi aachiwe. Zito na Mdee msiingilie mambo ambayo hamyajui coz ukweli bado haujulikani. jengeni chama mambo ya vishanshuda hata kama huwa mna hang nae achaneni nayo. Mind u kuna watu wamepoteza ndugu yao na mfadhili wao. Halafu kwa nchi ilivyo ikigeuka kuwa political the pinch wil b detrimental 2 that kadada.
 
Mitaani anajulikana kwa jina la Lulu steven Kanumba au Mrs lulu kanumba the great
 
Hivi huko rumande kuna mabafu na vitanda vya kulalia?

NN,

Anaonekana bado anang'aa eeh! na tulishazoea mtu akiingia rumande hata siku mbili tu akitoka hafai.

Inawezekana kuna mabafu na vitandab vya kulalia, si unaona hata usafiri wamebadilishiwa siku hizi wanapandishwa kwenye mabasi badala ya malori (karandinga).
 
View attachment 51534

Wadau kama kuna mwenye fununu kuwa Lulu alikuwa anoongea na nani kwenye simu amwage mambo pwaaaaaaaa hapa kuna tetesi mtaani kuwa alikuwa anazungumza na waziri fulani na alipobanwa na kanumba akamtaja...unaambiwa kanumba kusiia hilo jina hakaishiwa nguvu hapo hapo inawezekana huyo waziri ndo chanzo mtajeni jameni tumkamate.....
 
Aulizwe mdogo wake nadhani na yeye alitakiwa kushikiliwa kwa wema ili kuisaidia polisi coz mkemia akisema ni sumu then itakuwaje na yeye ndiye aliyekuwa naye before?
May be na polisi wana clue muhimu hapa ndio maana wanamshikilia LULU pekee.

mdogo wake alikuwa mwepesi sana kumsukumia lawama Lulu kwanini asione ya kuwa kaka yake ameanguka tu kutokana na afya yake kuwa ina mushkeli. mdogo mtu anatupotosha kwa kudai kanumba hakuwa mgonjwa..........sasa zile hiv cocktail alizokuwa akizitumia......for more than a year zilikuwa ni za nini?

Yule daktari wake aliyekuwa anamtafutia madawa bila ya kumweleza madhara ya pombe mbona hachukuliwi hatua. Polisi wamekubali maelezo ya kaka wa marehemu kwa dhana potofu kuwa hawezi kumdhuru kaka yake............now we know better that Lulu is innocent should be free with monetary compensation kwa kumchafulia jina na usumbufu kibao.........
 
Utata wa umri wa hiki kitoto ndio unaongeza mkorogano wa kumuamini.

Mara 18, mara 17, mara bado miezi michache atimize miaka 17. Sasa sijui ataaminika kwa lipi ikiwa umri tu umezua mzozo.

Wasiwasi wangu ni kwamba hata kakiamua kusema ukweli wote, nani atakaamini??
 
Back
Top Bottom