Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu mbona michango mingine inasema kesi imeahirishwa hadi april 24, wewe unasema april 23? ipi ni sahihi?
kesi imeahirishwa hadi April 24 au 23?
Mkuu, inapokuja suala la mali kuna binaadamu wengine 'tunaweza' kufanya mambo ya ajabu sana. Si ajabu kusikia mtu kamuua mwanae, babake nk kisa mali. So inawezekana polisi wametumia busara tu kutoonesha mashaka yoyote kwa sasa juu ya huyo Seth ili msiba uishe lakini very likely wakawa wanamonitor mienendo yake yote! Tunaweza kusikia mengi kwenye harakati za kurithi mali za marehemu maana hakuacha mtoto!Mbona wengi sana wanamshuku huyu mdogo wake?...mnakaribia kunipandikiza hisia za aina hiyo na mimi!
was just jokng,
kwanza hua siamin hayo mambo, ngoja 2subir atasemaje,
ila mi nimezoea 'mama ni mama'
baba ni baba am nt sure
Riport ya madaktari waliomfanyia post mortam marehemu Kanumba wanasema kifo chake kimesababishwa na Brain concusion lakini nijuavyo mimi Brain concusion inapoteza fahamu kwa muda mfupi siyo sudden death labda kama wangesema ilikuwa Brain contusion ambapo ubongo unakuwa umeumia sana na mtu anakuwa unconcious kwa muda mrefu,halafu brain inakuwa protected na skull( fuvu) ambalo ni gumu sana ambapo kuvunjika inahitajika nguvu kubwa ambayo mimi naamini Lulu hana nguvu nyingi kihivyo za kuweza kumsukuma Kanumba na kujibamiza ukutani,halafu kwa nini marehemu alitoa mapovu badala ya damu mdomoni? may be there was a third person who did a clean job,professional,lets think out the box.
Hivi huko rumande kuna mabafu na vitanda vya kulalia?
Aulizwe mdogo wake nadhani na yeye alitakiwa kushikiliwa kwa wema ili kuisaidia polisi coz mkemia akisema ni sumu then itakuwaje na yeye ndiye aliyekuwa naye before?
May be na polisi wana clue muhimu hapa ndio maana wanamshikilia LULU pekee.