Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Taarifa za kintelegensia zinasema ni wassira
hivi ile filamu ya 'the lost twins' aliyocheza na msichana Lucky Peter (ambaye character wake alipokuwa mdogo alichezwa na LULU) pia ilikuwa ya SK au alishirikishwa tu?
wakuombee kwanza wewe uliemtamani kabla ya kuleta hii habari
wewe kama mtu mzima unaangaliaje picha za uchi za mtoto mdogo kama lulu kama huna matatizo tena unaelezea kabisa akiwa uchi unapenda kuangalia uchi za wengine??nimesoma kote sijaona watu wakiongelea uchi wa lulu sasa huku ni kutamaniana na pepo hilolishindwe Kwa jinala YESU HATA KABLA AJASHINDA KESI UWE HURU IN JESUS NAME
awakupata bahati ya kufia kifuani mwa lulu huyu aliefia kwake atatusaidia iweje mwalimu kutembea na mwanafunzi wake anashatkiwa nani???Ni mapya? Mwalimu kutembea na mwanafunzi ni jambola kawaida. Lakini baba Lulu mbona hajasema kitu juu ya hao wengine ambao binti yake anadaiwa kutemeba nao siku zote hizi?:yell:
naskia Uwoya ndio alishinda,alizimia mara sita..yani alizimia akazinduka akazimia tena akazinduka,akazimia tena akazinduka akazimia tena akazinduka,waliokuwa wanampepea wakachoka nae akapumzika kidogo... baada ya kuona Wema anamkalibia kumfunika akaendelea kuzimia mfululizo..