Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,480
- 7,443
Wewe kushindwa uchaguzi wa ubunge 2020 ndio sababu ya kumchukia hayati JPMCdm ilikuwa inakubalika hata kabla Magufuli hajawa rais, na kwa taarifa yako Magufuli alitumia vibaya sana madaraka yake kuihujumu cdm. Usidhani kama tumesahau, hata tabia ya Magufuli kupora chaguzi za nchi hii, ni katika kuficha ukweli wa jinsi cdm ilivyokuwa inakubalika.
Sijawahi hata kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa, nagombea vipi uchaguzi. Usidhani watu ni wajinga wa kutokujua mchango wa Magufuli katika kuharibu demokrasia ya nchi hii. Mpe Magufuli sifa nyingine ila sio za demokrasia. Na hata huu ushenzi wote wa demokrasia ya nchi yetu sasa, Magufuli ndio muasisi.Wewe kushindwa uchaguzi wa ubunge 2020 ndio sababu ya kumchukia hayati JPM
Magufuli alipambana dhidi ya ufisadi na mafisadi kama akina Kizigha. Aliua demokrasia kivipi?Sijawahi hata kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa, nagombea vipi uchaguzi. Usidhani watu ni wajinga wa kutokujua mchango wa Magufuli katika kuharibu demokrasia ya nchi hii. Mpe Magufuli sifa nyingine ila sio za demokrasia. Na hata huu ushenzi wote wa demokrasia ya nchi yetu sasa, Magufuli ndio muasisi.
Walioharibu demokrasia kwa kiwango kikubwa tunawaona mpaka Leo na hakuna Mambo ya maana wanayofanya zaidi ya kujimilikisha Mali, genocide na kupendeleana kwenye madaraka na taasisi za kiserikali.Sijawahi hata kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa, nagombea vipi uchaguzi. Usidhani watu ni wajinga wa kutokujua mchango wa Magufuli katika kuharibu demokrasia ya nchi hii. Mpe Magufuli sifa nyingine ila sio za demokrasia. Na hata huu ushenzi wote wa demokrasia ya nchi yetu sasa, Magufuli ndio muasisi.
Demokrasia si kupambana na mafisadi, labda hujui unaongea nini. Ww ni wale mliokuwa mnachotwa na porojo zake kuwa kujenga madarasa, barabara, hospital ndio demokrasia.Magufuli alipambana dhidi ya ufisadi na mafisadi kama akina Kizigha. Aliua demokrasia kivipi?
Magufuli alikuwa ni mmojawapo.Walioharibu demokrasia kwa kiwango kikubwa tunawaona mpaka Leo na hakuna Mambo ya maana wanayofanya zaidi ya kujimilikisha Mali, genocide na kupendeleana kwenye madaraka na taasisi za kiserikali.
Ama kweli mapenzi upofu🙆♂️🙆♂️Aliua demokrasia kivipi?
Kwahiyo magufuli alihusika na mauaji ya oct 29, wewe ni kirazaMagufuli alikuwa ni mmojawapo.
Ndiye aliyeanza kuiua cdm kiukweli….Cdm ilikuwa inakubalika hata kabla Magufuli hajawa rais, na kwa taarifa yako Magufuli alitumia vibaya sana madaraka yake kuihujumu cdm. Usidhani kama tumesahau, hata tabia ya Magufuli kupora chaguzi za nchi hii, ni katika kuficha ukweli wa jinsi cdm ilivyokuwa inakubalika.
Demokarasia na maendeleo ni vitu mtambuka. Leo watu wanapita daraja la Wami na daraja Magufuli sababu ya kutumia pesa vyema za umma. Hii yote ni sababu ya hayati JPM. Acha kuleta siasa za chukiDemokrasia si kupambana na mafisadi, labda hujui unaongea nini. Ww ni wale mliokuwa mnachotwa na porojo zake kuwa kujenga madarasa, barabara, hospital ndio demokrasia.
Nimesoma andiko lake nikabaki nacheka anataka kuhama CDM Kijana janja wakati tunamjua vizuriCdm ilikuwa inakubalika hata kabla Magufuli hajawa rais, na kwa taarifa yako Magufuli alitumia vibaya sana madaraka yake kuihujumu cdm. Usidhani kama tumesahau, hata tabia ya Magufuli kupora chaguzi za nchi hii, ni katika kuficha ukweli wa jinsi cdm ilivyokuwa inakubalika.
HahahaDemokarasia na maendeleo ni vitu mtambuka. Leo watu wanapita daraja la Wami na daraja Magufuli sababu ya kutumia pesa vyema za umma. Hii yote ni sababu ya hayati JPM. Acha kuleta siasa za chuki
aliyekuwa anaiua CDM ni mboyeNdiye aliyeanza kuiua cdm kuikweli….
Ndiye aliyeanza kuiua cdm kuikweli….
Madaraja nchi hii hayakuanza wakati wa Magufuli we peasant, madaraja yako toka enzi za wakoloni. Kujenga madaraka ni wajibu wa serekali kupitia kodi za nchi, na sio mshahara wa rais. Nyie washamba ndio mlikuwa mnasema daraja kajenga Magufuli na sio serekali kupitia kodi za wananchi.Demokarasia na maendeleo ni vitu mtambuka. Leo watu wanapita daraja la Wami na daraja Magufuli sababu ya kutumia pesa vyema za umma. Hii yote ni sababu ya hayati JPM. Acha kuleta siasa za chuki