Kifo chenye utata cha Hayati Magufuli ndio chanzo cha CHADEMA kupata nguvu na kupendwa na Watanganyika

Nilipenda sana baadhi ya mambo aliyofanya huyo mtu kwa manufaa ya nchi hii. Usiniweke kwenye kundi la kushabikia bila kutumia akili.

Magufuli angeweza kuwa kiongozi mzuri sana wa kukumbukwa katika taifa hili; rekodi yake ya mazuri ipo na haiwezi kupotea.

Lakini ni jambo lisilokuwa na ubishi kuwa Magufuli alikuwa ni kichaa. Baadhi ya mambo aliyofanya yalikuwa ya hovyo kabisa yaliyoharibu taswira nzuri ya mazuri aliyotekeleza katika utumishi wake ndani ya serikali na baadae akiwa kiongozi mkuu.

Sasa usinisumbue tena na takataka hizo za uchawa, ambazo ni za kipuuzi.
We mpuuzi nini? Nimeeleza kuwa kazi nzuri alizozifanya zilimfanya akubalike na kuibeba CCM masuala ya uchawa yanatoka wapi?
 
"...zilimfanya akubalike na kuibeba CCM..." hadi wapi?

Unaweza kusema popote kwamba CCM ilikubalika kwa wananchi?

Kama ingekuwa hivyo, matumizi ya vyombo vya dola yangekuwa ya nini tena?

Hizi akili za kipuuzi mnazojivisha na kutaka kuhadaa watu mnafikiri wengine hatuzioni?
 
Mpaka sasa Watanganyika wengi wanaamini kuwa hayati Magufuli alikufa kifo chenye utata.

Humphrey Polepole akaja kuweka wazi kuwa wanaCCM waovu ambao wana nia ya kuwaibiibia Watanganyika rasilimali zao walihusika na kifo cha hayati JPM.

Leo hii CHADEMA ina nguvu kila kona. Wananchi wanaikubali sabau CCM ya Samia ni CCM ya Mafisadi kama akina Kizigha.
Mjane wa Marehemu siku hzi angalau umepata kwa kushikilia
 
Wemashawe ni Maku sababu pesa za umma amabazo CAG Aambazo zinatumika vibaya CAG huwa anaweka mashaka yake. Yakikibiwa hakuna la kufanya . Hiii ni kwa mujibu wa sheria. Sasaa tangu hata hayati Magufuli sio rais CAG alisha weka mashaka au madodoso mangapi ambayo yalishafanyiwa kazi?
JPM alijua sana kuishi na watu alijua namna ya kulinda heshima ya jina lake. Alimuondoa CAG Assad baada ya kuhoji kuhusiana na utendaji wa Lugumi (aliyekuwa na JPM) kwa maana ya faida ya biashara aliyopewa na serikali ilikuwa ndogo kwa maana ya ufanisi lakini malipo yalikuwa makubwa kumbe baadhi ya pesa iliingia mifukoni mwa hayati JPM mwenyewe.

Baada ya Assad kumkataa Lugumi na kampuni yake ambayo ilikuwa ni mali ya JPM mwenyewe, ndipo JPM akamuondoa kwenye nafasi yake kwa sababu ya hasira aliyokuwa nayo baada ya kuambiwa ukweli kuhusiana na Lugumi.

Machoni pa watu Profesa Assad hafai kabisa pia Mama Angela Kizigha hafai kabisa, sababu sio kwamba hawafai bali wanao uwezo mkubwa wa kile wanachokifanya tatizo watanzania wa leo tunatawaliwa na propaganda chafu za vyombo vya habari.

CAG hakuwa mchafu kama tulivyodanganywa na propaganda za media, watu wa karibu wa JPM walimtengenezea mizengwe akaishia kuchafuka jina lake sawa na ambavyo Angelah Kizigha alivyotengenezewa mizengwe akachafuliwa jina lake pia.
 
We utakuwa ni Shoga. Shwine mkubwa.
Majina huwa yanatambulisha the way ulivyo.
Kangala ni pombe chafu yenye wanywaji wapumbavu na wasiojua duniani wapo kufanya nini. Na mara nyingi hubakwa na kulawitiwa pindi zinapowazidia..!!

Sina msaada na nguchiro pole sana utazoea..!!
 
Machoni pa watu Profesa Assad hafai kabisa pia Mama Angela Kizigha hafai kabisa, sababu sio kwamba hawafai bali wanao uwezo mkubwa wa kile wanachokifanya tatizo watanzania wa leo tunatawaliwa na propaganda chafu za vyombo vya habari.

CAG hakuwa mchafu kama tulivyodanganywa na propaganda za media, watu wa karibu wa JPM walimtengenezea mizengwe akaishia kuchafuka jina lake sawa na ambavyo Angelah Kizigha alivyotengenezewa mizengwe akachafuliwa jina lake pia.
Hawa wote wanatofauti gani na wewe, mnafiki na laghai mkubwa kabisa.
Maisha yote yanategemea urtapelitapeli tu!

Haya uliyoeleza kwenye bandiko hili unajichanganya kama kichwani huna akili kabisa, sababu tu ya unafiki. Huna chochote unachokisimamia, bali kutimiza malengo ya kinafiki tu!

Mmekibadili chama chote kuwa shimo la uchafu, sababu ya unafiki na ulaghai juu ya kila jambo.

CAG Assad asingeweza kufanya kazi popote chini ya uozo wa CCM; kwa sababu siyo mnafiki wala laghai kama mlivyo nyinyi wote.
 
JPM alijua sana kuishi na watu alijua namna ya kulinda heshima ya jina lake. Alimuondoa CAG Assad baada ya kuhoji kuhusiana na utendaji wa Lugumi (aliyekuwa na JPM) kwa maana ya faida ya biashara aliyopewa na serikali ilikuwa ndogo kwa maana ya ufanisi lakini malipo yalikuwa makubwa kumbe baadhi ya pesa iliingia mifukoni mwa hayati JPM mwenyewe.

Baada ya Assad kumkataa Lugumi na kampuni yake ambayo ilikuwa ni mali ya JPM mwenyewe, ndipo JPM akamuondoa kwenye nafasi yake kwa sababu ya hasira aliyokuwa nayo baada ya kuambiwa ukweli kuhusiana na Lugumi.

Machoni pa watu Profesa Assad hafai kabisa pia Mama Angela Kizigha hafai kabisa, sababu sio kwamba hawafai bali wanao uwezo mkubwa wa kile wanachokifanya tatizo watanzania wa leo tunatawaliwa na propaganda chafu za vyombo vya habari.

CAG hakuwa mchafu kama tulivyodanganywa na propaganda za media, watu wa karibu wa JPM walimtengenezea mizengwe akaishia kuchafuka jina lake sawa na ambavyo Angelah Kizigha alivyotengenezewa mizengwe akachafuliwa jina lake pia.
Pumbavu. Huna akili.
 
Maisha bila unafiki hayaendi, kawaulize wote wenye kufanya kazi kwa uaminifu waliishia wapi.
 
Cdm ilikuwa inakubalika hata kabla Magufuli hajawa rais, na kwa taarifa yako Magufuli alitumia vibaya sana madaraka yake kuihujumu cdm. Usidhani kama tumesahau, hata tabia ya Magufuli kupora chaguzi za nchi hii, ni katika kuficha ukweli wa jinsi cdm ilivyokuwa inakubalika.
Punguza mahaba ya kikanda na elewa mada.

Hajasema Chadema haikubaliki kabla ya JPM.

JPM alipokuwepo kuna mtu CDM alikuwa anasema fyee fyeee??
 
Soma kichwa cha habari kinasema nini, kisha uje tuendelee na mjadala.
 
Maisha bila unafiki hayaendi, kawaulize wote wenye kufanya kazi kwa uaminifu waliishia wapi.
Unapotumia sifa hiyo kuumiza waTanzania huna maisha tena.
Samia na wengi wenu ni mambo matatu yanawasubiri sasa hivi.
Hasa Samia kwa uhakika kabisa hana maisha tena hapa Tanzania. Kati ya mambo matatu ndiyo hatma yake inayogonga mlango kwa nguvu wakati huu:
1. Kuwa marehemu, kwa ukaidi na kiburi kingi alicho nacho.

2. Kukaa Jela maisha yake yote yaliyobaki

3. Kukimbia nchi na kwenda kumaliza maisha kwa uduni mkubwa huko kwa wajomba

Nguruwe kama akina Hamza Johari, jela inawasubiri; wakikaza kichwa ni kaburi lipo wazi.
 
JPM alijua sana kuishi na watu alijua namna ya kulinda heshima ya jina lake. Alimuondoa CAG Assad baada ya kuhoji kuhusiana na utendaji wa Lugumi (aliyekuwa na JPM) kwa maana ya faida ya biashara aliyopewa na serikali ilikuwa ndogo kwa maana ya ufanisi lakini malipo yalikuwa makubwa kumbe baadhi ya pesa iliingia mifukoni mwa hayati JPM mwenyewe.

Baada ya Assad kumkataa Lugumi na kampuni yake ambayo ilikuwa ni mali ya JPM mwenyewe, ndipo JPM akamuondoa kwenye nafasi yake kwa sababu ya hasira aliyokuwa nayo baada ya kuambiwa ukweli kuhusiana na Lugumi.

Machoni pa watu Profesa Assad hafai kabisa pia Mama Angela Kizigha hafai kabisa, sababu sio kwamba hawafai bali wanao uwezo mkubwa wa kile wanachokifanya tatizo watanzania wa leo tunatawaliwa na propaganda chafu za vyombo vya habari.

CAG hakuwa mchafu kama tulivyodanganywa na propaganda za media, watu wa karibu wa JPM walimtengenezea mizengwe akaishia kuchafuka jina lake sawa na ambavyo Angelah Kizigha alivyotengenezewa mizengwe akachafuliwa jina lake pia.
CAG Assad ni team mtandao acha kudanganya watu ndo maana hata kipindi hiki cha mama yupo kimya akaishia kusifia mkataba wa Dp world. Unataka kutufanya wajinga Lugumi alikua ameoa mdogo wake Saidi Mwema IGP wakati ule Lugumi hakuwai kupata tenda wakati wa JPM wadanganye wajinga
 
CCM haiwezi kukabidhi madaraka kwa chadema.naomba mwnyewe uwezo asajili chama kingine cha siasa kabla ya katiba mpya tafadhali.Anifuate inbox nimpe ideology na nembo ya chama
 
Back
Top Bottom