M O N S T E R
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 8,825
- 20,941
-Kumshambulia Lissu kwa risasi.Magufuli alipambana dhidi ya ufisadi na mafisadi kama akina Kizigha. Aliua demokrasia kivipi?
-Kuhujumu chaguzi
-Kuanzisha genge la wasiojulikana.
-
-
-Kumshambulia Lissu kwa risasi.Magufuli alipambana dhidi ya ufisadi na mafisadi kama akina Kizigha. Aliua demokrasia kivipi?
Mbona alipoulizwa kuwa tril 1.5 zilipotea alikataaa? Mbona alikuja kusema mahesabu yalibalance hakuna hela iliyopotea?Alitoa hesabu kwa kiisilamu?
Anaulizwa hadharani ulitaka ajibu zimepotea atekwe siku ile ile? Ina maana yeye alikuwa hajui kuwa Magufuli alikuwa ndio mkuu wa kundi la watu wasiojulikana?Mbona alipoulizwa kuwa tril 1.5 zilipotea alikataaa? Mbona alikuja kusema mahesabu yalibalance hakuna hela iliyopotea?
JPM alipoamua kurudi Dar kutoka Chato kipindi kile Covid imepamba moto lilikuwa kosa kubwa kwa upande wake.Mpaka sasa Watanganyika wengi wanaamini kuwa hayati Magufuli alikufa kifo chenye utata.
Humphrey Polepole akaja kuweka wazi kuwa wanaCCM waovu ambao wana nia ya kuwaibiibia Watanganyika rasilimali zao walihusika na kifo cha hayati JPM.
Leo hii CHADEMA ina nguvu kila kona. Wananchi wanaikubali sabau CCM ya Samia ni CCM ya Mafisadi kama akina Kizigha.
Kizigha alishtakiwa kipindi Cha Magu?Magufuli alipambana dhidi ya ufisadi na mafisadi kama akina Kizigha. Aliua demokrasia kivipi?
Kwa hiyo ripoti kuwa kuna tril 1.5 hazionekani alizitoa kwenye uvungu wa Kitanda? Na kuhusu kuwa mahesabu yalikuwa hayajabalance alitamka chini ya uvungu wa kitanda?Anaulizwa hadharani ulitaka ajibu zimepotea atekwe siku ile ile? Ina maana yeye alikuwa hajui kuwa Magufuli alikuwa ndio mkuu wa kundi la watu wasiojulikana?
Kama alikuwa serious, mahesabu hayapigwi kwenye mkutano wa hadhara alipokuwa anasaka sifa, maana hata CAG mahesabu hakueleta pale kwenye mkutano, bali sehemu husika. Pale alikuwa anatumia madaraka yake vibaya kumtisha CAG.Kwa hiyo ripoti kuwa kuna tril 1.5 hazionekani alizitoa kwenye uvungu wa Kitanda? Na kuhusu kuwa mahesabu yalikuwa hayajabalance alitamka chini ya uvungu wa kitanda?
CAG Assad ni mwanamtandaoKwa hiyo ripoti kuwa kuna tril 1.5 hazionekani alizitoa kwenye uvungu wa Kitanda? Na kuhusu kuwa mahesabu yalikuwa hayajabalance alitamka chini ya uvungu wa kitanda?
Wewe kushindwa uchaguzi wa ubunge 2020 ndio sababu ya kumchukia hayati JPM
Mbona ccm hakuipiga bani?MTU yeyote anayesema kuwa vyama vya siasa vinaweza kuleta mabadiliko ujue ni MJINGA sana
JPM alikuwa sahihi kuvipiga ban vyama vyote .
Magufuli kamkataa nyalandu, kikwete na kundi lakeMimi ni shabiki sana wa chadema,ila kitendo cha Chadema kumteua Lowasa na CCM kumteua Magufuli,ilinifanya niamie CCM,ila nimegundua shida kubwa ni CCM ya Kikwete ina mizizi miovu sana kwa hii nchi
Magufuli alikuwa huwa anakawaida ya kuamisha hela sehemu moja kwenda kwenye sector yenye changamoto ya kifedha au upungufu ndio maana ukaona hiyo ya kihasibu ikajitokeza. Magufuli alikuwa anafanya hivyo kwa manufaa ya nchi ni mjinga pekee au ushabiki ndio unaweza kulipinga hili hiyo ndio inaleta utofauti wake na viongozi wengine wa CCM.Kama alikuwa serious, mahesabu hayapigwi kwenye mkutano wa hadhara alipokuwa anasaka sifa, maana hata CAG mahesabu hakueleta pale kwenye mkutano, bali sehemu husika. Pale alikuwa anatumia madaraka yake vibaya kumtisha CAG.
Nchi inaongozwa kwa taratibu za kisheria na sio kwa utashi wa kiongozi. Na ukifanya fund allocations kuna taratibu zake, na sio kupiga simu uagize kwa cheo chako. Je pesa alizopora kwenye bureau de change alizipeleka kwenye mfuko gani?Magufuli alikuwa huwa anakawaida ya kuamisha hela sehemu moja kwenda kwenye sector yenye changamoto ya kifedha au upungufu ndio maana ukaona hiyo ya kihasibu ikajitokeza. Magufuli alikuwa anafanya hivyo kwa manufaa ya nchi ni mjinga pekee au ushabiki ndio unaweza kulipinga hili hiyo ndio inaleta utofauti wake na viongozi wengine wa CCM.
Hayo ya kufuata utaratibu za kisheria kwenye Mambo yote ndio yamefanya Mambo mengi yasiende mfano mzuri tumekuwa na utaratibu wakutenga fedha kwaajili ya maadhimisho ya sikukuu ya uhuru ambao ni Kama upotevu wa hela lakini umeona kwa mara ya Kwanza Magufuli Aliamisha hela hizo zipelekwe kwenye ujenzi wa Barbara na ni jambo zuri kwa manufaa ya Taifa Mimi nilitegemea useme kwamba kwa Nia yake nzuri aliyonayo Magufuli angeweza kubadilisha utaratibu uwe wa kisheria ingawa Kuna sehemu alikuwa anabadilisha sheria.Nchi inaongozwa kwa taratibu za kisheria na sio kwa utashi wa kiongozi. Na ukifanya fund allocations kuna taratibu zake, na sio kupiga simu uagize kwa cheo chako. Je pesa alizopora kwenye bureau de change alizipeleka kwenye mfuko gani?
Nguvu Ya M4C Ipo Toka Zamani Tena Sio Ya Kubahatisha"Mpaka sasa Watanganyika wengi wanaamini kuwa hayati Magufuli alikufa kifo chenye utata.
Humphrey Polepole akaja kuweka wazi kuwa wanaCCM waovu ambao wana nia ya kuwaibiibia Watanganyika rasilimali zao walihusika na kifo cha hayati JPM.
Leo hii CHADEMA ina nguvu kila kona. Wananchi wanaikubali sabau CCM ya Samia ni CCM ya Mafisadi kama akina Kizigha.
Huna ujualo zaidi ya kupiga siasa mfu. Uadui wa Magufuli na upinzani ulianza kabla hata ya kuwa rais, ila alikosa nguvu hiyo maana hakuwa rais. Sasa tuje uadui rasmi ulianza lini kati ya Magufuli na upinzani. Siku Magufuli anafungua bunge wapinzani walipanga kuonyesha kuchukia kwao kwa uchaguzi wa Zanzibar kubwaka kwa CUF kuporwa ushindi wao, na wala Magufuli hakuwa mlengwa. Wapinzani waliamua kutoka nje kuonyesha kuchukia kilichotokea kwenye uchaguzi wa Zanzibar. Je ulitaka wamfurahishe Magufuli wakati demokrasia imebakwa?Ngoja nikujibu Tindo na wenzako wako wanaamini kuwa Magufuli alikuwa sio muumini wa demokrasia na ni kweli kabisa Magufuli alikuwa haamini kwenye demokrasia kwasababu anaona inachelewesha maendeleo na Kuna sababu kwanini Magufuli alipiga pin vyama vya upinzani.
Kama unakumbukumbu vizuri Magufuli alivyoingia tu madarakani aliruhusu mikutano ya vyama upinzani lakini maamuzi yake yalichange kutokana na siasa za Chadema mlijikita kumshambulia yeye kama yeye na kumwita maneno mabaya kama nyapara na mengineo badala na kudili na sera zake, mkamzomea wakati anafungua bunge alikuwa anawaangalia na hamkuishia hapo mkawa mnampinga kila kitu anachofanya hata kama ni mazuri ikiwemo kuwatetea wale wote alikuwa anawatumbua kwa hiyo style hakuwaona kama ni watu mtakaoweza kumsaidia kwenye utekelezaji wake wa maendeleo ndio maana akawachukia hayo yote mliyataka kwa kuendekeza siasa za kijinga
Amani2002
DR HAYA LAND
Nyankurungu2020
Sio mara moja au mbili alikuwa anaambiwa abadilishe sheria ili kusiwe na mkanganyiko, na sehemu kubwa ilitakiwa iwe ni kwenye katiba haswa rasimu ya Warioba. Ila Magufuli alikuwa hataki mambo ya katiba, maana yeye hakuwa muumini wa sheria wala katiba, bali msaka sifa binafsi. Alikuwa anajua katiba itaondoa sifa ya one man show, na kupeleka nguvu kwenye taasisi, jambo ambalo lingepunguza kupenda kwake sifa. Nasema hivi, Magufuli alikuwa rais mchapakazi, lakini hakuwa rais mzuri wala bora, bali msaka sifa binafsi.Hayo ya kufuata utaratibu za kisheria kwenye Mambo yote ndio yamefanya Mambo mengi yasiende mfano mzuri tumekuwa na utaratibu wakutenga fedha kwaajili ya maadhimisho ya sikukuu ya uhuru ambao ni Kama upotevu wa hela lakini umeona kwa mara ya Kwanza Magufuli Aliamisha hela hizo zipelekwe kwenye ujenzi wa Barbara na ni jambo zuri kwa manufaa ya Taifa Mimi nilitegemea useme kwamba kwa Nia yake nzuri aliyonayo Magufuli angeweza kubadilisha utaratibu uwe wa kisheria ingawa Kuna sehemu alikuwa anabadilisha sheria.
Acha uongo wako. Wakati kilikuwa kinajulikana kama CCM B huko miaka ya nyuma. Dk Slaa akaja kukinusuru. Mbowe akala rushwa ili Lowassa agombee. Kikawa kinaitwa Saccos na wewe kama mpambe wa Mbowe ni mnufaikaCdm ilikuwa inakubalika hata kabla Magufuli hajawa rais, na kwa taarifa yako Magufuli alitumia vibaya sana madaraka yake kuihujumu cdm. Usidhani kama tumesahau, hata tabia ya Magufuli kupora chaguzi za nchi hii, ni katika kuficha ukweli wa jinsi cdm ilivyokuwa inakubalika.