Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,480
- 7,443
- Thread starter
-
- #21
We matako unadhani bila kuwa na kiiongozi jasiri kama Magufuli Tanzania ingekuwa hapa kwa maendelleo ya miundominu?Madaraja nchi hii hayakuanza wakati wa Magufuli we peasant, madaraja yako toka enzi za wakoloni. Kujenga madaraka ni wajibu wa serekali kupitia kodi za nchi, na sio mshahara wa rais. Nyie washamba ndio mlikuwa mnasema daraja kajenga Magufuli na sio serekali kupitia kodi za wananchi.
Usingepanick ningeshangaa sana. Mshamba wa aina yako ndio ulidhani maandeleo yalianza wakati wa Magufuli, au yangekoma baada ya Magufuli. Ni hivi, cdm ilikuwa na uungwaji mkubwa wa wananchi hata wakati wa dhalimu Magufuli, na kwa wivu wake wa kisiasa akaamua kuwahujumu na propaganda chafu, huku akiendesha kundi la watu wasiojulikana ili kuteka wakosoaji.We matako unadhani bila kuwa na kiiongozi jasiri kama Magufuli Tanzania ingekuwa hapa kwa maendelleo ya miundominu?
Angeifuta na ccm ili maendeleo yapatikane, mbona alikuwa anatulazimisha tuamini maendeleo yanaletwa na ccm, au unajicontradict?MTU yeyote anayesema kuwa vyama vya siasa vinaweza kuleta mabadiliko ujue ni MJINGA sana
JPM alikuwa sahihi kuvipiga ban vyama vyote .
Huyo jamaa anachuki na Magufuli sanaWe matako unadhani bila kuwa na kiiongozi jasiri kama Magufuli Tanzania ingekuwa hapa kwa maendelleo ya miundominu?
Yaani yule baba sikuwahi kumwelewa kwenye suala la democracy na baadhi ya vingine aendelee kwendraa kulee sababu ya wapinzani kutekwa na kuuawa, asa akaacha kijiti kwa bi maimuna jini mkata kamba akaamua kutumia mtutu kabisaSijawahi hata kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa, nagombea vipi uchaguzi. Usidhani watu ni wajinga wa kutokujua mchango wa Magufuli katika kuharibu demokrasia ya nchi hii. Mpe Magufuli sifa nyingine ila sio za demokrasia. Na hata huu ushenzi wote wa demokrasia ya nchi yetu sasa, Magufuli ndio muasisi.
Mbona hakupiga ban ccm?MTU yeyote anayesema kuwa vyama vya siasa vinaweza kuleta mabadiliko ujue ni MJINGA sana
JPM alikuwa sahihi kuvipiga ban vyama vyote .
Twende taratibu wewe pimbi na mburula. Kwa nini marais waliopita Kabla yake hawakusimamia fedha za umma kama yeye? Kwa nini daraja la Lami kama mfano lisijengwe kwa zaidi ya miaka 50? Acha ushoga we falaUsingepanick ningeshangaa sana. Mshamba wa aina yako ndio ulidhani maandeleo yalianza wakati wa Magufuli, au yangekoma baada ya Magufuli. Ni hivi, cdm ilikuwa na uungwaji mkubwa wa wananchi hata wakati wa dhalimu Magufuli, na kwa wivu wake wa kisiasa akaamua kuwahujumu na propaganda chafu, huku akiendesha kundi la watu wasiojulikana ili kuteka wakosoaji.
Utakuwa ni bonge la dunya, ulikuwa unasikia ripoti za CAG kipindi chake hadi akamtoa kwa mizengwe? Ama matumizi pesa za umma alikuwa anakuambia ww na mke wako? Pesa za umma mahesabu yake yanatolewa na CAG, sio hizo sifa za kijinga alizokuwa anawalisha nyie washamba wenzake.Twende taratibu wewe pimbi na mburula. Kwa nini marais waliopita Kabla yake hawakusimamia fedha za umma kama yeye? Kwa nini daraja la Lami kama mfano lisijengwe kwa zaidi ya miaka 50? Acha ushoga we fala
Mimi ni shabiki sana wa chadema,ila kitendo cha Chadema kumteua Lowasa na CCM kumteua Magufuli,ilinifanya niamie CCM,ila nimegundua shida kubwa ni CCM ya Kikwete ina mizizi miovu sana kwa hii nchiCdm ilikuwa inakubalika hata kabla Magufuli hajawa rais, na kwa taarifa yako Magufuli alitumia vibaya sana madaraka yake kuihujumu cdm. Usidhani kama tumesahau, hata tabia ya Magufuli kupora chaguzi za nchi hii, ni katika kuficha ukweli wa jinsi cdm ilivyokuwa inakubalika.
Alipambana na washenzi kama wakina Mbowe na wajinga wajinga kama wakina Wenje,Magufuli alikuwa mbele sana ya muda,alipenda sana kushirikiana na Chadema,tatizo Chadema ilikuwa imetekwa na wana mtandaoWewe kushindwa uchaguzi wa ubunge 2020 ndio sababu ya kumchukia hayati JPM
Kama kuna mahali niliidharau cdm chini ya Mbowe ni kumuokota Lowassa kwa njia ya vodafasta, na kisha kumpa Lowassa nafasi adhimu ya kugombea urais. Sikuwahi kuwaunga ccm mkono kwa lolote boss.Mimi ni shabiki sana wa chadema,ila kitendo cha Chadema kumteua Lowasa na CCM kumteua Magufuli,ilinifanya niamie CCM,ila nimegundua shida kubwa ni CCM ya Kikwete ina mizizi miovu sana kwa hii nchi
Wemashawe ni Maku sababu pesa za umma amabazo CAG Aambazo zinatumika vibaya CAG huwa anaweka mashaka yake. Yakikibiwa hakuna la kufanya . Hiii ni kwa mujibu wa sheria. Sasaa tangu hata hayati Magufuli sio rais CAG alisha weka mashaka au madodoso mangapi ambayo yalishafanyiwa kazi?Utakuwa ni bonge la dunya, ulikuwa unasikia ripoti za CAG kipindi chake hadi akamtoa kwa mizengwe? Ama matumizi pesa za umma alikuwa anakuambia ww na mke wako? Pesa za umma mahesabu yake yanatolewa na CAG, sio hizo sifa za kijinga alizokuwa anawalisha nyie washamba wenzake.
Ni kipi kilifanya amtoe CAG kwa mizengwe, kama taarifa za CAG kabla yake hazikufanyiwa kazi na wakati wake hazikufanyiwa kazi, kipi kinakufanya utuonyeshe yeye ni wa tofauti kwenye pesa za umma kuliko wengine , ama unajichanganya?Wemashawe ni Maku sababu pesa za umma amabazo CAG Aambazo zinatumika vibaya CAG huwa anaweka mashaka yake. Yakikibiwa hakuna la kufanya . Hiii ni kwa mujibu wa sheria. Sasaa tangu hata hayati Magufuli sio rais CAG alisha weka mashaka au madodoso mangapi ambayo yalishafanyiwa kazi?
CAG alikuwa anafanya kazi kwa udini. Ni mdini sana yule jamaaNi kipi kilifanya amtoe CAG kwa mizengwe, kama taarifa za CAG kabla yake hazikufanyiwa kazi na wakati wake hazikufanyiwa kazi, kipi kinakufanya utuonyeshe yeye ni wa tofauti kwenye pesa za umma kuliko wengine , ama unajichanganya?
Ni bora demokrasia iliyoharibika, lakini kazi ikawa inachapwq kweli kweli lakini si sasa demokrasia inaendelea kuharibika na kazi inaharibikaSijawahi hata kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa, nagombea vipi uchaguzi. Usidhani watu ni wajinga wa kutokujua mchango wa Magufuli katika kuharibu demokrasia ya nchi hii. Mpe Magufuli sifa nyingine ila sio za demokrasia. Na hata huu ushenzi wote wa demokrasia ya nchi yetu sasa, Magufuli ndio muasisi.
Alitoa hesabu kwa kiisilamu?CAG alikuwa anafanya kazi kwa udini. Ni mdini sana yule jamaa
Kazi ikichapwa ni wajibu wala si hisaniaNi bora demokrasia iliyoharibika, lakini kazi ikawa inachapwq kweli kweli lakini si sasa demokrasia inaendelea kuharibika na kazi inaharibika