Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,480
- 7,443
- Thread starter
-
- #61
Kuwa na utendaji madhubuti na kusimamia pesa za umma ili zitumike kwa maendeleo ni kusaka sifa? Acha uongo na chuki za kishambaSio mara moja au mbili alikuwa anaambiwa abadilishe sheria ili kusiwe na mkanganyiko, na sehemu kubwa ilitakiwa iwe ni kwenye katiba haswa rasimu ya Warioba. Ila Magufuli alikuwa hataki mambo ya katiba, maana yeye hakuwa muumini wa sheria wala katiba, bali msaka sifa binafsi. Alikuwa anajua katiba itaondoa sifa ya one man show, na kupeleka nguvu kwenye taasisi, jambo ambalo lingepunguza kupenda kwake sifa. Nasema hivi, Magufuli alikuwa rais mchapakazi, lakini hakuwa rais mzuri wala bora, bali msaka sifa binafsi.
Kiliwahi kujilikana kama ccm B mwaka gani? Maana hata uchaguzi wa 2015 kilipata kura nyingi za urais, ubunge na madiwani? Ule upuuzi wa Mbowe kumpokea Lowassa unadhani kila mtu alikubaliana nao? Pitia post zangu kama kuna popote niliwahi kumuunga mkono Mbowe kwa huo upuuzi wa kumpeleka Lowassa ndani ya cdm. Na Magufuli alipooana bado cdm inaungwa mkono na wananchi, ikabidi apore chaguzi za 2019 na 2020 kimachomacho.Acha uongo wako. Wakati kilikuwa kinajulikana kama CCM B huko miaka ya nyuma. Dk Slaa akaja kukinusuru. Mbowe akala rushwa ili Lowassa agombee. Kikawa kinaitwa Saccos na wewe kama mpambe wa Mbowe ni mnufaika
Ripoti za CAG ndio zinatoa uhakika wa jinsi pesa za umma zinavyotumika kwa usahihi. Wakati wake sifa hizo hazikuwepo. Hizo nyingine ni porojo za kisiasa alikuwa anawapa nyie washamba wenzake.Kuwa na utendaji madhubuti na kusimamia pesa za umma ili zitumike kwa maendeleo ni kusaka sifa? Acha uongo na chuki za kishamba
Akili ndogo haiwezi kujadili mambo makubwa.Team Magu mshaanza kunyolewa sasa mnatafuta pa kutokea..!!
Nyie malizaneni wenyewe msianze kujisogeza kwa Chadema.
Lile bunge la kijani tupu la 2020 liliwekwa na nani mpaka leo mseme Chadema inapendwa kwasababu ya kifo cha jiwe?
CAG aliyetimuliwa ni muislamu siasa kali. Asingeweza kuona hospital, barabara na miundo mbinu aliyoijenga Magufuli. Lakini rais wa Benki ya Afrika alionaRipoti za CAG ndio zinatoa uhakika wa jinsi pesa za umma zinavyotumika kwa usahihi. Wakati wake sifa hizo hazikuwepo. Hizo nyingine ni porojo za kisiasa alikuwa anawapa nyie washamba wenzake.
Chadema hawana msaada na wewe endelea kuugulia maumivu.Akili ndogo haiwezi kujadili mambo makubwa.
Nimekuambia Magufuli alikuwa anafanya kazi na wakristo tu, ama hizo figure alikuwa anaandika kwa kiarabu? Rais wa Bank ya Afrika ni mkaguzi wa pesa za ndani ya Tanzania? Unaongea utoto gani dogo?CAG aliyetimuliwa ni muislamu siasa kali. Asingeweza kuona hospital, barabara na miundo mbinu aliyoijenga Magufuli. Lakini rais wa Benki ya Afrika aliona
Unajichosha kujibizana na mijinga iliyotupwa na veggies..!!Nimekuambia Magufuli alikuwa anafanya kazi na wakristo tu, ama hizo figure alikuwa anaandika kwa kiarabu? Rais wa Bank ya Afrika ni mkaguzi wa pesa za ndani ya Tanzania? Unaongea utoto gani dogo?
Hoja yangu sio ukaguzi wa fedha za ndani. Maana tangu CAG akague hizi pesa tangu tumepata uhuru hakuna lolote zaidi ya kusoma hayo madodoso yake.Nimekuambia Magufuli alikuwa anafanya kazi na wakristo tu, ama hizo figure alikuwa anaandika kwa kiarabu? Rais wa Bank ya Afrika ni mkaguzi wa pesa za ndani ya Tanzania? Unaongea utoto gani dogo?
We kenge kumiliki smartphone ndio umekuwa na akili. ?Unajichosha kujibizana na mijinga iliyotupwa na veggies..!!
Unatakiwa ukubaliane na matokeo, kila zimwi na zama zake. Na zama za jiwe zimeshapita nyie wafuasi wake ni muda mjifunze kumove on..!!We kenge kumiliki smartphone ndio umekuwa na akili. ?
Na alipokuwa huko Chato akakutana na bonge la uwanja wa kimataifa wa ndege, ambao hiyo pesa ya Benki yake ilisaidia kuujenga?.Hoja yangu ni kuwa rais wa Benki ya Afrika kwa kuheshimu namna rais Magufuli alidhibiti ufisadi na akatumia pesa za umma kuleta maendeleo alienda Chato kwenye kaburi la hayati JPM
Hilo hawezi kulisemea huyo chawa mstaafu 😹Na alipokuwa huko Chato akakutana na bonge la uwanja wa kimataifa wa ndege, ambao hiyo pesa ya Benki yake ilisaidia kuujenga?.
Bila shaka uzalendo wa marehemu ulimgusa sana huyo mgeni.
Sawa kabisa.Na alipokuwa huko Chato akakutana na bonge la uwanja wa kimataifa wa ndege, ambao hiyo pesa ya Benki yake ilisaidia kuujenga?.
Bila shaka uzalendo wa marehemu ulimgusa sana huyo mgeni.
We kenge wa Mwanza. Unataka kujifanya kuwa hujui kazi kubwa ya maendeleo aliyofanya JPM kwenye taifa letu?Na alipokuwa huko Chato akakutana na bonge la uwanja wa kimataifa wa ndege, ambao hiyo pesa ya Benki yake ilisaidia kuujenga?.
Bila shaka uzalendo wa marehemu ulimgusa sana huyo mgeni.
Nilipenda sana baadhi ya mambo aliyofanya huyo mtu kwa manufaa ya nchi hii. Usiniweke kwenye kundi la kushabikia bila kutumia akili.We kenge wa Mwanza. Unataka kujifanya kuwa hujui kazi kubwa ya maendeleo aliyofanya JPM kwenye taifa letu?
Noooo!!!Mpaka sasa Watanganyika wengi wanaamini kuwa hayati Magufuli alikufa kifo chenye utata.
Humphrey Polepole akaja kuweka wazi kuwa wanaCCM waovu ambao wana nia ya kuwaibiibia Watanganyika rasilimali zao walihusika na kifo cha hayati JPM.
Leo hii CHADEMA ina nguvu kila kona. Wananchi wanaikubali sabau CCM ya Samia ni CCM ya Mafisadi kama akina Kizigha.