Kifo chenye utata cha Hayati Magufuli ndio chanzo cha CHADEMA kupata nguvu na kupendwa na Watanganyika

We mpuuzi nini? Nimeeleza kuwa kazi nzuri alizozifanya zilimfanya akubalike na kuibeba CCM masuala ya uchawa yanatoka wapi?
 
We mpuuzi nini? Nimeeleza kuwa kazi nzuri alizozifanya zilimfanya akubalike na kuibeba CCM masuala ya uchawa yanatoka wapi?
"...zilimfanya akubalike na kuibeba CCM..." hadi wapi?

Unaweza kusema popote kwamba CCM ilikubalika kwa wananchi?

Kama ingekuwa hivyo, matumizi ya vyombo vya dola yangekuwa ya nini tena?

Hizi akili za kipuuzi mnazojivisha na kutaka kuhadaa watu mnafikiri wengine hatuzioni?
 
Mjane wa Marehemu siku hzi angalau umepata kwa kushikilia
 
JPM alijua sana kuishi na watu alijua namna ya kulinda heshima ya jina lake. Alimuondoa CAG Assad baada ya kuhoji kuhusiana na utendaji wa Lugumi (aliyekuwa na JPM) kwa maana ya faida ya biashara aliyopewa na serikali ilikuwa ndogo kwa maana ya ufanisi lakini malipo yalikuwa makubwa kumbe baadhi ya pesa iliingia mifukoni mwa hayati JPM mwenyewe.

Baada ya Assad kumkataa Lugumi na kampuni yake ambayo ilikuwa ni mali ya JPM mwenyewe, ndipo JPM akamuondoa kwenye nafasi yake kwa sababu ya hasira aliyokuwa nayo baada ya kuambiwa ukweli kuhusiana na Lugumi.

Machoni pa watu Profesa Assad hafai kabisa pia Mama Angela Kizigha hafai kabisa, sababu sio kwamba hawafai bali wanao uwezo mkubwa wa kile wanachokifanya tatizo watanzania wa leo tunatawaliwa na propaganda chafu za vyombo vya habari.

CAG hakuwa mchafu kama tulivyodanganywa na propaganda za media, watu wa karibu wa JPM walimtengenezea mizengwe akaishia kuchafuka jina lake sawa na ambavyo Angelah Kizigha alivyotengenezewa mizengwe akachafuliwa jina lake pia.
 
We utakuwa ni Shoga. Shwine mkubwa.
Majina huwa yanatambulisha the way ulivyo.
Kangala ni pombe chafu yenye wanywaji wapumbavu na wasiojua duniani wapo kufanya nini. Na mara nyingi hubakwa na kulawitiwa pindi zinapowazidia..!!

Sina msaada na nguchiro pole sana utazoea..!!
 
Hawa wote wanatofauti gani na wewe, mnafiki na laghai mkubwa kabisa.
Maisha yote yanategemea urtapelitapeli tu!

Haya uliyoeleza kwenye bandiko hili unajichanganya kama kichwani huna akili kabisa, sababu tu ya unafiki. Huna chochote unachokisimamia, bali kutimiza malengo ya kinafiki tu!

Mmekibadili chama chote kuwa shimo la uchafu, sababu ya unafiki na ulaghai juu ya kila jambo.

CAG Assad asingeweza kufanya kazi popote chini ya uozo wa CCM; kwa sababu siyo mnafiki wala laghai kama mlivyo nyinyi wote.
 
Pumbavu. Huna akili.
 
Maisha bila unafiki hayaendi, kawaulize wote wenye kufanya kazi kwa uaminifu waliishia wapi.
 
Punguza mahaba ya kikanda na elewa mada.

Hajasema Chadema haikubaliki kabla ya JPM.


JPM alipokuwepo kuna mtu CDM alikuwa anasema fyee fyeee??
 
Punguza mahaba ya kikanda na elewa mada.

Hajasema Chadema haikubaliki kabla ya JPM.


JPM alipokuwepo kuna mtu CDM alikuwa anasema fyee fyeee??
Soma kichwa cha habari kinasema nini, kisha uje tuendelee na mjadala.
 
Maisha bila unafiki hayaendi, kawaulize wote wenye kufanya kazi kwa uaminifu waliishia wapi.
Unapotumia sifa hiyo kuumiza waTanzania huna maisha tena.
Samia na wengi wenu ni mambo matatu yanawasubiri sasa hivi.
Hasa Samia kwa uhakika kabisa hana maisha tena hapa Tanzania. Kati ya mambo matatu ndiyo hatma yake inayogonga mlango kwa nguvu wakati huu:
1. Kuwa marehemu, kwa ukaidi na kiburi kingi alicho nacho.

2. Kukaa Jela maisha yake yote yaliyobaki

3. Kukimbia nchi na kwenda kumaliza maisha kwa uduni mkubwa huko kwa wajomba

Nguruwe kama akina Hamza Johari, jela inawasubiri; wakikaza kichwa ni kaburi lipo wazi.
 
CAG Assad ni team mtandao acha kudanganya watu ndo maana hata kipindi hiki cha mama yupo kimya akaishia kusifia mkataba wa Dp world. Unataka kutufanya wajinga Lugumi alikua ameoa mdogo wake Saidi Mwema IGP wakati ule Lugumi hakuwai kupata tenda wakati wa JPM wadanganye wajinga
 
CCM haiwezi kukabidhi madaraka kwa chadema.naomba mwnyewe uwezo asajili chama kingine cha siasa kabla ya katiba mpya tafadhali.Anifuate inbox nimpe ideology na nembo ya chama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…