Kifo chenye utata cha mfanyakazi wa TRA, Shaba Ndoja chastua wengi, Polisi chunguzeni

Stress tu hzo hujalogwa Wala Nini, mchawi wa mtu Ni mtu mwenyewe
 
Sasa mmemsusia afu unakuja jf kulalamika!? Hivi wengine mkoje!? Ninyi wenyewe mmemtenga Sasa mtajuaje kilichotokea😠!
 
Weeee sio mchaga ni mgogo mwenzake, kila MTU yuko kivyake mpaka anakufa mama analala ghrofani baba analala chini, wangekuwa wanalala wrote kama nibheart attacks bangemsaidia
Mpaka mambo ya ndani unayajua, bahati mbaya hatuwezi kukusaidia katika hili, hatuwajui wote, na ni maisha yao.
 
Mbaya zaidi hakujulisha majirani yaliyotokea. Hata mjane huyu anayefanya kazi Amref huwa hajumuiki na watu tangia alipoingia Bunju beach. Mpaka hapa wakina mama wameususia msiba kwa kuwa mwanamke aendagi kwenye misiba
Ndio Mana kabeba maiti peke yake,atawajulisha vipi nyie majirani wanoko wakati anajua fika mmtamsusia?
Ona Sasa mmeshindwa hata kwenda msibani kisa mke wa marehemu hajumuiki,hapo mmemsusa marehemu sio mke,mngesubiri mke afe ndio msuse
 
Duh nyumba moja hlf wamegawana mapaa, mmoja juu mwingne chini!! duh haya mabati yanaficha mengi.

Ama kweli ukitaka ndoa njema hakikisha mkeo hakuzidi kipato hata kwa dakika 1.
Wanawake wamekuwa mashetani! Mtaani kwangu asilimia 80 ya wamama wamegawana vyumba na waume zao! Tuongeze maombi tuwakumbukena hao ma mama!
 
Ndio Mana kabeba maiti peke yake,atawajulisha vipi nyie majirani wanoko wakati anajua fika mmtamsusia?
Ona Sasa mmeshindwa hata kwenda msibani kisa mke wa marehemu hajumuiki,hapo mmemsusa marehemu sio mke,mngesubiri mke age ndio msuse
Km hujui hilo la kunyakua maiti mwenyewe ndo halitamuacha salama huyo mama japo unaweza kuchukulia kitu cha kawaida. Duh watu wana roho ngumu aiseee.
 
Mkuu una jina fikirishi sana.

Hivi kwa kukadiria pensheni ya mstaaf wa TRA ni kama ngapi vile? maana imesemwa kumbe alikuwa anaelekea kustaafu.

Ila nyny watu matata sasa[emoji23][emoji23][emoji23].

Asalamalekho bwana/bibi wewe.
 
Mange kimambi ni mpare pia
 
Ajaugua yaani alitoka zake kupata ka wine dorstof. Mida ya SAA tatubh hivi w akanunua mahitaji take, kaeñda kulala, asubuhi wafanyakazi wakaonabmtu afungu mlango kwenda kazini yapata SAA 12 wakaenda kumwamsha wakakuta wazamani
Weeee sio mchaga ni mgogo mwenzake, kila MTU yuko kivyake mpaka anakufa mama analala ghrofani baba analala chini, wangekuwa wanalala wrote kama nibheart attacks bangemsaidia
You sound kama ni mchepuko wa marehemu hivi, kwanini wasianze kukuhoji wewe maana unayajua mengi kuliko wana familia.
 
Kumbe wewe ni ME aisee ndo najua leo hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…