wazunguwawili
JF-Expert Member
- May 29, 2019
- 3,984
- 4,132
Tena anakunywa pombe hatarishi.Sasa utata wa hicho kifo upo wapi?
Kama mtu amebakiza mwaka kustaafu inamana huyo ni mzee, basi uenda alikuwa na maradhi yake kama presha, kisukari au moyo ndo yamemchukua uhai wake
Ila dada zenu wana flavour flaniMi mwenyewe ni dada zangu Ila siwataki
Jibu kuhusu zile picha...Hapana,huku ndo ofisin kwangu,Wala sijapigwa vitasa.Mjadala kule umenipa Data nyingi sana ambazo sikutarajia kuzipata.na naendelea kujifunza zaidi.nafikiri hata nisipoenda field tayari ni 50% ya information muhimu.
Hata kile ki nandy ni kipareMange kimambi ni mpare pia
Leo in siku ya tatu tukiwa tumegubikwa na sintomfahamu juu ya kifo hiki.
Marehemu alikuwa bukheri wa afya na alionekana Mara mwisho saa tatu na nusu alipoamua kwenda kulala alipita dukani akanunua mahitaji, asubuhi tunaambiwa Shaba Ndoja hatuko naye, ujasiri wa mke wake kumbeba yeye na mfanyakazi wa ndani bila hata kuwaita majirani wa karibu.
Mbaya zaidi hakujulisha majirani yaliyotokea. Hata mjane huyu anayefanya kazi Amref huwa hajumuiki na watu tangia alipoingia Bunju beach. Mpaka hapa wakina mama wameususia msiba kwa kuwa mwanamke aendagi kwenye misiba.
Maiti imesafirishwa leo kuelekea Dodoma kwao
Turudi kule hapa tutaaribu huu uzi na nafikiri sio busara kufanya hivi.Jibu kuhusu zile picha...
Kiukweli wako njema..Ila si wakuoaIla dada zenu wana flavour flani
Duh nyumba moja hlf wamegawana mapaa, mmoja juu mwingne chini!! duh haya mabati yanaficha mengi.
Ama kweli ukitaka ndoa njema hakikisha mkeo hakuzidi kipato hata kwa dakika 1.
Kumbe walishafikaa huku.?? Bhasi majanga...
Wanawake wamekuwa mashetani! Mtaani kwangu asilimia 80 ya wamama wamegawana vyumba na waume zao! Tuongeze maombi tuwakumbukena hao ma mama!
Wewe na yeye Nani ana uchungu na marehemu?Km hujui hilo la kunyakua maiti mwenyewe ndo halitamuacha salama huyo mama japo unaweza kuchukulia kitu cha kawaida. Duh watu wana roho ngumu aiseee.
Sawa mkuu, mi nimeokota haya kwene maelezo yako;Swala la kulala mke na mme vyumba tofauti ina mambo mengi not only kuwa wamegombana wakuu.
Utakuta watu wana nyumba ina vyumba zaidi ya vitano na wana watoto wawili au watatu ,kuna kipindi mama anakuwa mjamzito au amejifungua ,lazima awe na chumba chake alale kwa kujirelax...
😀😀Dah..wanaume na wanawake wepi ni majanga zaidi?Mi mwenyewe ni dada zangu Ila siwataki
Kiukweli wako njema..Ila si wakuoa
Wanawake ni zaidi...wanaunafiki...majivuno...kiburi....wanaume hasa ubahiri na majivuno..Ila ndumba wanashare wote wako vizuri😀😀Dah..wanaume na wanawake wepi ni majanga zaidi?
Kaukweli kako mbali sana na hali tunayoishuhudia huku mtaani kwangu!Swala la kulala mke na mme vyumba tofauti ina mambo mengi not only kuwa wamegombana wakuu.
Utakuta watu wana nyumba ina vyumba zaidi ya vitano na wana watoto wawili au watatu ,kuna kipindi mama anakuwa mjamzito au amejifungua ,lazima awe na chumba chake alale kwa kujirelax.
Vyumba masters vinakuwa full equipped na TV ndani , Mshua anakuwa awe free kufanya kazi zake za kiofisi ,kuongea kuhusu bizness ,kufanya meeting online lazima awe free kwake akitulia , ushawahi kufanya kazi halafu mtu unamuona kitandani amelala hauoni concentration itapungua?
Kulala vyumba tofauti haimaanishi kwamba "Hamuwezani" ,mnaweza kulala kitanda kimoja na "Msiwezane" ,Kuna watu wametenga kabisa chumba cha "kuwezana only" wakimaliza "kuwezana" kila mtu anaenda kulala chumba chake au Mme au mke anaweza kwenda chumba cha mwenzake "akampea" wakishamaliza anaenda chumba chake kulala.
Bado kijana Mdogo wewe. Haujayajua maisha ndo maana unaropoka tuDuh nyumba moja hlf wamegawana mapaa, mmoja juu mwingne chini!! duh haya mabati yanaficha mengi.
Ama kweli ukitaka ndoa njema hakikisha mkeo hakuzidi kipato hata kwa dakika 1.
Ni yeyeWewe ni ukoo mmoja na Pdidy?