Kifo chenye utata cha mfanyakazi wa TRA, Shaba Ndoja chastua wengi, Polisi chunguzeni

Kifo chenye utata cha mfanyakazi wa TRA, Shaba Ndoja chastua wengi, Polisi chunguzeni

Hapana,huku ndo ofisin kwangu,Wala sijapigwa vitasa.Mjadala kule umenipa Data nyingi sana ambazo sikutarajia kuzipata.na naendelea kujifunza zaidi.nafikiri hata nisipoenda field tayari ni 50% ya information muhimu.
Jibu kuhusu zile picha...
 
Leo in siku ya tatu tukiwa tumegubikwa na sintomfahamu juu ya kifo hiki.

Marehemu alikuwa bukheri wa afya na alionekana Mara mwisho saa tatu na nusu alipoamua kwenda kulala alipita dukani akanunua mahitaji, asubuhi tunaambiwa Shaba Ndoja hatuko naye, ujasiri wa mke wake kumbeba yeye na mfanyakazi wa ndani bila hata kuwaita majirani wa karibu.

Mbaya zaidi hakujulisha majirani yaliyotokea. Hata mjane huyu anayefanya kazi Amref huwa hajumuiki na watu tangia alipoingia Bunju beach. Mpaka hapa wakina mama wameususia msiba kwa kuwa mwanamke aendagi kwenye misiba.

Maiti imesafirishwa leo kuelekea Dodoma kwao

Acheni umbea jamani!
 
Duh nyumba moja hlf wamegawana mapaa, mmoja juu mwingne chini!! duh haya mabati yanaficha mengi.

Ama kweli ukitaka ndoa njema hakikisha mkeo hakuzidi kipato hata kwa dakika 1.
Kumbe walishafikaa huku.?? Bhasi majanga...

Wanawake wamekuwa mashetani! Mtaani kwangu asilimia 80 ya wamama wamegawana vyumba na waume zao! Tuongeze maombi tuwakumbukena hao ma mama!

Swala la kulala mke na mme vyumba tofauti ina mambo mengi not only kuwa wamegombana wakuu.

Utakuta watu wana nyumba ina vyumba zaidi ya vitano na wana watoto wawili au watatu ,kuna kipindi mama anakuwa mjamzito au amejifungua ,lazima awe na chumba chake alale kwa kujirelax.

Vyumba masters vinakuwa full equipped na TV ndani , Mshua anakuwa awe free kufanya kazi zake za kiofisi ,kuongea kuhusu bizness ,kufanya meeting online lazima awe free kwake akitulia , ushawahi kufanya kazi halafu mtu unamuona kitandani amelala hauoni concentration itapungua?

Kulala vyumba tofauti haimaanishi kwamba "Hamuwezani" ,mnaweza kulala kitanda kimoja na "Msiwezane" ,Kuna watu wametenga kabisa chumba cha "kuwezana only" wakimaliza "kuwezana" kila mtu anaenda kulala chumba chake au Mme au mke anaweza kwenda chumba cha mwenzake "akampea" wakishamaliza anaenda chumba chake kulala.
 
Km hujui hilo la kunyakua maiti mwenyewe ndo halitamuacha salama huyo mama japo unaweza kuchukulia kitu cha kawaida. Duh watu wana roho ngumu aiseee.
Wewe na yeye Nani ana uchungu na marehemu?
 
Swala la kulala mke na mme vyumba tofauti ina mambo mengi not only kuwa wamegombana wakuu.

Utakuta watu wana nyumba ina vyumba zaidi ya vitano na wana watoto wawili au watatu ,kuna kipindi mama anakuwa mjamzito au amejifungua ,lazima awe na chumba chake alale kwa kujirelax...
Sawa mkuu, mi nimeokota haya kwene maelezo yako;

»Mama ni mjamzito anahitaji utulivu, hataki usmbufu (kutoka kwa baba[emoji26]!?).

»Mzee yy kaamua kujitenga,analal chin pekeake, ili afanye kaz kwa utuliv ila akipata ham anapanda juu, anapeana fasta na kurudi chin kuendelea na kaz([emoji56]).

»Marehem na mkew walikuwa "wanawezana" (bila shaka ukimaanisha wanapendana)[emoji848]
 
Afanyiwe postmortem, kama ni poisoning, stangulation, Suffocation nk. itagundulika
 
Swala la kulala mke na mme vyumba tofauti ina mambo mengi not only kuwa wamegombana wakuu.

Utakuta watu wana nyumba ina vyumba zaidi ya vitano na wana watoto wawili au watatu ,kuna kipindi mama anakuwa mjamzito au amejifungua ,lazima awe na chumba chake alale kwa kujirelax.

Vyumba masters vinakuwa full equipped na TV ndani , Mshua anakuwa awe free kufanya kazi zake za kiofisi ,kuongea kuhusu bizness ,kufanya meeting online lazima awe free kwake akitulia , ushawahi kufanya kazi halafu mtu unamuona kitandani amelala hauoni concentration itapungua?

Kulala vyumba tofauti haimaanishi kwamba "Hamuwezani" ,mnaweza kulala kitanda kimoja na "Msiwezane" ,Kuna watu wametenga kabisa chumba cha "kuwezana only" wakimaliza "kuwezana" kila mtu anaenda kulala chumba chake au Mme au mke anaweza kwenda chumba cha mwenzake "akampea" wakishamaliza anaenda chumba chake kulala.
Kaukweli kako mbali sana na hali tunayoishuhudia huku mtaani kwangu!
 
Back
Top Bottom