Kifo chenye utata cha mfanyakazi wa TRA, Shaba Ndoja chastua wengi, Polisi chunguzeni

Profession za watu hizi duh kuna watu skillful....jamaa kamwaga "maneno asali" hadi jinzi imetii sheria bila shuruti [emoji23][emoji23][emoji23] mamaeee....wait wait......hizi sio jinzi zetu zile?
Waganga kama wajumbe.
Ukiona tako lile halafu ati anaenda kulala , kamtibu mgonjwa!!
Wanawake wengi wanaliwa na hao waganga /wajumbe
 
Nimeponea chupuchupu kuuliwa na mpare hata sitaki kuwasikia,nimeishi nae 10yrs kumbe ananilia target nimalizie mjengo anirestishe in peace,mungu ni mkubwa na ahimidiwe kwa kweli.
Mmh pole mkuu

Ulishtukaje sasa mkuu?
 
Sasa utata wa hicho kifo upo wapi?


Kama mtu amebakiza mwaka kustaafu inamana huyo ni mzee, basi uenda alikuwa na maradhi yake kama presha, kisukari au moyo ndo yamemchukua uhai wake
Hayo maradhi ndiyo sifa za Uzee?
 
Waoe kwao wapi? Kimkoa au binamu binamu?
Aoe kwenye jamii ancestors wake wanapotoka....Kama ni Mmasai au Mmasai,kama Mnyakyusa aoe Mnyakyusa,etc probability ni kubwa ya cultural coherence....

Naona umegeukia unafiki...

Kuna mtu anaoa Binamu yake kweli?

Mkoa ni kipande cha ardhi tu na hakihakikishi jamii moja inapatikana mkoa mmoja tu...

Kama wa masai wapo Arusha and everywhere else!

Jamii ya mtu unajua nina maanisha nini,sema unafiki unataka kukuzidi sasa....!
 
Wachagga sjui wataacha lini hii tabia mamameeee zao, Hivi yule Uffoo Sarro steringi wao wa mauaji ya Ulafi wa mali yuko wapi
 
Nimeponea chupuchupu kuuliwa na mpare hata sitaki kuwasikia,nimeishi nae 10yrs kumbe ananilia target nimalizie mjengo anirestishe in peace,mungu ni mkubwa na ahimidiwe kwa kweli.
Mkeo au?
 
Una kwepesha mada na kuhalalisha matukio yanayoongelewa hapa.
Mkuu huu ni mjadala na moja yaliyoibuliwa ni kwamba mwanamme alikuwa analala chumba cha chini na mama alikuwa analala ghorofani chumba cha juu ,wadau wakasema kwamba wamegombana ,hapo ndio mie nikatia neno!

Mtoa mada amesema alitoka kunywa ,you never know huko alipotoka labda watu walimtilia sumu? Who knows? Umri ushaenda anakaribia kustaafu vipi kama alipata cardiac arrest? I hope ndugu watapata postmortem na kupewa report.
 
Mimi nna mama yangu mdogo kaolewa upareni aisee anateseka mno, mwanaume ameenda kuposa mpare mwenzie na familia yote wanajua. Wanamdharau mamdogo na kumtusi eti masikini mkubwa, mwanaume mpaka sasa ana watoto wa4 nje na wakati mwingine anawaleta mahawara nyumbani hapo hapo.

Kuna kipindi mamdogo alijifungua mwanaume ananunua nyama nusu ndo mzazi atengenezewe supu wiki nzima! Walipewa zawadi ya kiwanja mume akaenda kukiuza kwa siri akaenda kumpangia nyumba nzima hawara na biashara kamfungulia!

Ni mengi sana aisee hapo sijaweka yakwangu
 

Ndio tatizo la waswahili, usipohudhuria msiba siku ukifa wanakutosa 😁
 
Kijijini kwetu mke na mume hulala vyumba tofauti kabisa na Wala huwa hawana ugomvi saa nyingine watu hutaka personal space tu basi
 
Kijijini kwetu mke na mume hulala vyumba tofauti kabisa na Wala huwa hawana ugomvi saa nyingine watu hutaka personal space tu basi
Ni kweli kabisa watu hawajazoea kabisa kusikia haya!! Familia nyingi zenye uwezo kila mtu ana chumba chake!! Kuna chumba cha baba,chumba cha mama ,chumba cha watoto hata kama wanne kila mtu na chumba chake,chumba cha wageni na chumba cha mfanyakazi(servant quater). Sasa utakuta mtu ana ghorofa juu vyumba vinne ,chini vyumba vitatu kuna haja gani ya kubanana kitanda kimoja?
 
Ndio ilivo Wana ndoa hukutana tu mda wa tendo kila mtu anaenda kulala kwake
 
Kwa Kwa habari tulizozipata msibani, mama ni mkakisi kinoma hasalimiagi watu kwa ukaksi wake anaonyesha roho mbaya iliyopitiliza, wanaomfahamu toka anaishi tabata wanasema jamaa alioa balaa , mwañamke kama chizi fresh. Wakati Mme peace sana. Haijulikani kama kafa mwenyewe kwa kuwa wote wanauwezo.
 
Mama yako mdogo anaupendo wa agape
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…